Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaodai kutibu Ukimwi kukiona

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imeagiza vyombo vya dola, kukamata waganga wa jadi, wanaojitangaza kutibu magonjwa ya Ukimwi, kisukari na shinikizo la damu. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid alipokuwa akiwasilisha bungeni hotuba ya bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa fedha 2014/15.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wanasayansi wabaini njia mpya ya kutibu Ukimwi

Wanasayansi wanaendeleza na uchunguzi wa kina ya tiba ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) hivi karibuni wamegundua dawa nyingine yenye kuleta matumaini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Matangazo ya ‘kutibu’ ukimwi yawavunja moyo watafiti

MATANGAZO ya waganga wa jadi wanaotibu ukimwi kwa dawa za asili, yanawavunja moyo watafiti na wanasayansi wanaoendelea kutafuta tiba ya ugonjwa huo. Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Tanga,...

 

11 years ago

Habarileo

Wanaodai serikali ya Tanganyika ni dhaifu

Livingstone LusindeMJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Livingstone Lusinde amesema mtu yeyote anayedai serikali ya Tanganyika ni dhaifu na mwoga na hilo limedhihirishwa kwa wajumbe wa Ukawa kutoka nje ya Bunge na kwamba nchi hii haidaiwi na watu wanaokimbia.

 

10 years ago

Bongo Movies

Nora Awananga Wanaodai Ameshazeeka

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, mkali wa sanaa ya uigizaji hapa Bongo, Nora amefunguka haya kwa wale wote wanaomponda eti amezeeka

Hivi nyinyi mnaoniambia mzee amuoni aibu loooo..hahahahhaaa mana mnafanya siku yangu iwe nzuri ni jinsi gani nawaumiza mpaka mnalopoka kama mmetoka usingizini.Hivi mimi mnaweza kujifananisha na nyinyi, hoooo ninamiaka mingi kweli na nimewazidi vingi sana, tabia, muonekano…haaaa mi sijagalagazwa ovyo nilijiheshimu tangu usichana wangu,...

 

10 years ago

Habarileo

Viongozi wanaodai fedha kwa wajane waonywa

MWENYEKITI wa halmashauri ya mji wa Masasi ambaye pia ni Diwani wa kata ya Nyasa, Andrew Mtumusha ametoa onyo kwa watendaji wa kata, mtaa wenye tabia ya kudai malipo kutoka kwa vikundi vya wajasiriamali wajane pale vikundi hivyo vinapohitaji huduma ikiwemo ya kupitishiwa mihtasari yao ya benki.

 

10 years ago

Bongo5

Alikiba awajibu wanaodai video ya ‘Mwana’ ni mbovu

Hatimaye Alikiba ameamua kuwajibu baadhi ya wapenzi wa muziki walioikosoa video ya wimbo wa ‘Mwana’ wanaodai kuwa haiendani na kile kinachoimbwa. Akizungumza na 255 ya XXL ndani ya Clouds FM, Alikiba amesema alichokifanya alimaanisha hivyo kuleta picha mpya kwenye vichwa vya watu. “Utofauti wa video ndio uzuri wake kwa sababu kila mtu kwenye mind yake […]

 

11 years ago

Mwananchi

Mwingine awageuka wanaodai posho zaidi Bunge la Katiba

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba anayewakilisha kundi la wafanyakazi, Dotto Mashaka ametofautiana na wabunge wenzake na kusikitishwa na kelele zilizoibuka hivi karibuni za wabunge kulilia posho kuongezwa.

 

10 years ago

Bongo Movies

Ray Awashangaa Wanaodai Kanumba Ameondoka na Tasnia ya Filamu

Staa mkubwa wa Bongo Movies, Vicent Kigosi 'Ray' hivi juzi kati kupitia kukursa wake kwenye mtando picha wa Instagram amendika mtazamo juu ya tasnia ya filamu na wadau wote kwa ujumla.

Napenda kuchukua furrsa hii kuwashukuru wadau wote kwa michango na sapoti yenu iliyosaidia kuifikisha tasnia ya filamu hapa ilipo.

Bila nyinyi pengine hadithi ingekuwa tofauti leo kikubwa ni kujenga moyo wa kizalendo kwa wasanii wetu leo kuna misemo kila kona eti Kanumba kafa na tasnia imekufa, najaribu...

 

10 years ago

Vijimambo

ALIKIBA AWAJIBU WANAODAI VIDEO YAKE YA WIMBO WA ‘MWANA’ NI MBOVU

Hatimaye Alikiba ameamua kuwajibu baadhi ya wapenzi wa muziki walioikosoa video ya wimbo wa ‘Mwana’ wanaodai kuwa haiendani na kile kinachoimbwa.Akizungumza na 255 ya XXL ndani ya Clouds FM, Alikiba amesema alichokifanya alimaanisha hivyo kuleta picha mpya kwenye vichwa vya watu.“Utofauti wa video ndio uzuri wake kwa sababu kila mtu kwenye mind yake amejenga video, ame-make video itakuwa vipi,” amesema. Kwa sababu nyimbo imeelezea vitu vingi ni pana kama unavyoona na ina vitu vingi madawa,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani