Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaume watano wauwawa Moyale, Kenya

Wanaume watano wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa Al-Shabaab wapigwa risasi na kuuwawa nchini Kenya karibu na mpaka wa Ethiopia

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Watu 20 wauwawa Wajir, Kenya

Kaskazini-mashariki mwa Kenya koo mbili zapambana na watu wengi wauwawa katika ugomvi kuhusu mpaka

 

10 years ago

BBCSwahili

Zaidi 28 wauwawa na wanamgambo Kenya

Polisi nchini Kenya wanasema kuwa wanamgambo wanaoshukiwa kuwa wa kundi la Al Shabaab wamewauwa kwa kuwapiga risasi zaidi ya watu 28 waliokuwa wakisafiri kwenye basi moja karibu na mpaka wa Somalia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wauwawa Turkana, Kenya

Polisi wauwawa na kutoweka kaskazini mwa Kenya wakati wa operesheni za usalama

 

10 years ago

Vijimambo

Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi


Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wanaume “vicheko” Kenya



WANAUME nchini hapa wamepokea kwa furaha kusainiwa kwa sheria itakayokabiliana na vitendo vya unyanyasaji hususan majumbani. Sheria hiyo iliyosainiwa na wiki iliyopita na rais Uhuru Kenyata, inatarajiwa kuwapa ahuweni wanaume waliokuwa wakipigwa na wake zao na kushindwa kuripoti matukio hayo polisi.Matukio ya wanaume nchini Kenya kupigwa na wake zao yamezidi kuongezeka na kuhatarisha amani katika familia.Baadhi ya wanaume walisema wamekuwa wakipigwa na wake zao mara kwa mara na kuwafanya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tahadhari kwa wanaume Kenya

Wanaume wanaowatelekeza watoto wao wakati wenyewe wana kazi za kuwawzesha kukimu maisha yao wawe macho maana wameanza kuanikwa

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanaume wakimbia tohara Kenya

Wanaume wanaokwepa kutahiriwa wajikuta taabani kwa kufanyiwa kitendo hicho kwa lazima Kenya

 

10 years ago

Mwananchi

Wakodi wanaume kutoka Kenya

>Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo amesema tatizo la ulevi kupindukia wilayani humo, limewaathiri wanaume kiafya na kuwataka watendaji kulivalia njuga.

 

10 years ago

BBCSwahili

Je wanaume watasusia ngono Kenya?

Wanaume nchini Kenya wameelezea hisia mseto kuhusu wito wa kiongozi wa shirika la maendeleo la wanaume nchini humo kwamba wasusie tendo la ndoa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani