Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake 250 kukutana leo

MKE wa Rais, Mama Salma Kikwete leo anaongoza wanawake zaidi ya 250 kutoka kada mbalimbali katika kuangalia mafanikio ya ukombozi wa mwanamke nchini kiuchumi na kijamii.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mama Salma kuwakutanisha wanawake 250

MKE wa Rais, Mama Salma Kikwete, leo anatarajiwa kuongoza hafla inayowakutanisha wanawake zaidi ya 250 kutoka kada mbalimbali wakiwemo wasomi, wake wa viongozi, wajasiriamali na wanasiasa yenye lengo la kuangalia...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanawake 250 kushiriki kongamano Dar

 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano maalumu la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani itakayofanyika Machi 8 mwaka huu na kuhudhuriwa na wageni zaidi ya 250.

 

11 years ago

KwanzaJamii

Kansa inaua wanawake 250,000 kila mwaka

Na Albano Midelo TAKWIMU zinaonyesha kuwa kila mwaka nchini Tanzania akina mama zaidi ya 8,000 hufariki dunia kutokana na matatizo mbalimbali ya uzazi. Wanawake pia wanakabiliwa na tatizo jingine la kiafya ambalo ni ugonjwa wa saratani au kansa ya kizazi ambayo inaelezwa ndiyo inayoongoza katika kusababisha vifo vitokanavyo na kansa kwa akina mama waliopo katika nchi zinazoendelea. Utafiti unaonyesha kwamba akina mama zaidi ya 500,000 hupatwa na ugonjwa wa kansa ya uzazi kila mwaka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake viongozi wa michezo Afrika kukutana Dar es Salaam

WIZARA ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kwa kushirikiana na Asasi ya Right to Play Tawi la Tanzania, wameandaa kongamano la wanawake viongozi wa michezo Afrika (Africa Women Sports Leaders),...

 

10 years ago

Michuzi

MH. LOWASSA ATUA KIGOMA LEO, AKOMBA WADHAMINI 11,250

Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiusalimia umati wa wanaCCM pamoja na wananchi wa Mji wa Kigoma, wakati alipowasili kwenye ofisi za CCM Mkoa wa Kigoma, kusaka wadhamini wa kumsainia fomu za kupata ridhaa za Chama kuwania Urais wa Tanzania. Mh. Lowassa amedhaminiwa na wanaCCM 11,250 wa Mkoa wa Kigoma, leo Juni 13, 2015.Umati wa WanaCCM pamoja na wananchi wa Mji wa Kigoma, ukiwa umefurika kwenye Uwanja wa Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa Kigoma, kuja kumuona Mh. Edward Lowassa (anaeonekana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara kukutana leo

MKUTANO mkuu wa kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili wafanyabiashara ukiwamo mfumo mbaya wa uendeshaji biashara nchini unafanyika leo jijini Dar es Salaam. Katibu wa Umoja wa Wafanyabiashara Kariakoo, Sued Chemchem, alisema...

 

10 years ago

Mwananchi

TCD, JK kukutana leo Dodoma

Masikio ya Watanzania leo yanaelekezwa mjini hapa kusikia kile ambacho Rais Jakaya Kikwete alisema ni hatima ya mchakato wa Katiba, atakapokutana na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD).

 

10 years ago

Habarileo

Bunge kuendelea kukutana leo

MKUTANO wa 16 na 17 wa Bunge, unaendelea leo ambao pamoja na mambo mengine, Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu fedha za akaunti ya Escrow, zinatarajiwa kukabidhiwa.

 

10 years ago

Habarileo

Bunge kuanza kukutana leo

MIKUTANO wa 16 na 17 ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaanza mjini Dodoma leo hadi Novemba 4 hadi 28 mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani