Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake wa kitanzania wanavyohadaiwa ughaibuni

Leo tuangalie habari tatu zinazokabana kabali na maisha yetu magumu Waafrika. Ingawa ni za kuchoma moyo zitatupa azma ya kujaribu kujua nini hasa chanzo cha adha zetu na kutafuta ufumbuzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAMA KIKWETE AWATAKA WANAWAKE WAISHIO UGHAIBUNI KUPENDANA

 Wanawake wa kitanzania waishio Ughaibuni wamewatakiwa kuondoa tofauti zao za mitizamo, maoni, dini na makabila bali wapendane, kuaminiana na kushirikiana ili kwa pamoja waweze kukabiliana na changamoto mbalimbali  zinazowakabili na hivyo kujiletea maendeleo.
Rai hiyo imetolewa  jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wanawake wafanya biashara na wajasiriamali  kutoka majimbo ya Washington DC, Wilaya ya Colombia, Maryland na Virginia katika ukumbi wa mikutano wa ubalozi wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Fursa kwa Wanawake wa Kitanzania. Njoo ujiajiri mwenyewe, Jikomboe sasa

 

Wanawake wa Kitanzania Miliki Biashara yako sasa.Njoo upate elimu ya Biashara kisha Ujiajiri na kukuza Kipato chako mwenyewewe.Jiandikishe kuwa mshiriki wa Manjano Dream-makers na kuingia katika Tasnia ya Vipodozi nchini kwa kujiongezea kipato kupitia kipodozi pendwa cha LuvTouch Manjano.

Washiriki watakaochaguliwa watapata mafunzo yenye ueledi wa biashara na ujasiriamali pamoja na jinsi ya kupamba, yaani Professional Makeup-up artist BURE! Application deadline ni tarehe 24 December...

 

9 years ago

Habarileo

Mtoto wa Kitanzania kuhutubia UN

MTOTO mwenye umri wa miaka 16, Suhaila Mwarimwana anatarajiwa kuhutubia katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa mjini New York, Marekani kuhusu masuala mbalimbali yanayowakabili watoto nchini Tanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

Muziki wa kitanzania na changamoto zake (1)

>Licha ya kufariki miongo kadhaa iliyopita, wanamuziki kama Marijani Rajab, Mbaraka Mwishehe, Juma Kilaza, Muhidin Maalim Gurumo na wengine wengi, kazi zao bado zinaendelea kuishi.

 

11 years ago

Mwananchi

Nikijiangalia namwona kijana wa Kitanzania

Wakati maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ikifikia kilele jana, baadhi ya wanawake wamefanikiwa kupamba vyombo vya habari mbalimbali duniani kutokana na michango yao katika jamii kupitia nyanja mbalimbali.

 

10 years ago

Michuzi

Boxi ughaibuni

Mdau akibeba boxi ughaibuni...

 

10 years ago

Vijimambo

KIJANA WA KITANZANIA AUNDA REDIO STESHENI

DJ Tee (19) ni kijana mwenye ndoto kubwa katika maisha yake. Baada ya kuona mahangaiko ya vijana kuelekea kwenye mafanikio, wengi wakiwa wamemaliza shule na vyuo bila kupata kazi, ameamua kuunda redio stesheni ghetoni kwake aliyoipa jina la Shujaaz, ili aweze kushea ideas na vijana wote nchini Tanzania kuhusu mbinu mbalimbali za kuingiza pesa, kuwapa stori za vijana wanaochakarika katika maisha yao pamoja na kuwaburudisha.
"Nimeamua kuiita Shujaaz kwa sababu, naamini kuwa kijana ambaye...

 

10 years ago

Habarileo

Mtoto wa Kitanzania ashinda insha SADC

Rais Jakaya Kikwete akimpongeza mwanafunzi wa kidato cha nne Neema Mtwanga (16), anayesoma Shule ya Sekondari Naboti, Makambako Mkoa wa Njombe, baada ya kuibuka mshindi wa kwanza kwenye utunzi wa insha, katika shindano lililoandaliwa na Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Afrika (SADC), katika ufunguzi wa mkutano wa 34 wa wakuu wa nchi za SADC mjini Victoria Falls, Zimbabwe jana. (Picha na Fred Maro, Ikulu).WATOTO wa Kitanzania kutoka shule za kawaida na zile za kata, wameendelea kuipa nchi heshima kimataifa, kwa kuongoza katika mashindano ya kitaaluma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani