Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanyarwanda wanapiga kura kubadili Katiba

Vituo vya kupigia kura vinafunguliwa asubuhi hii ili Wananchi wa Rwanda zaidi ya milioni sita leo wapige kura ya maoni kukubali ama kukataa kubadili katiba ili kumruhusu Rais wa nchi hiyo Paul Kagame kugombea tena kiti cha urais.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Wanyarwanda waidhinisha marekebisho ya katiba

Wanyarwanda wameunga mkono kwa wingi marekebisho ya katiba ambayo yatamruhusu Rais Paul Kagame kuendelea kuongoza, matokeo ya awali ya kura ya maoni yanaonyesha.

 

9 years ago

Global Publishers

Wanyarwanda Waunga Mkono Mabadiliko ya Katiba

rwanda (5)Rais wa Rwanda, Paul Kagame.

Wanyarwanda wameunga mkono kwa wingi marekebisho ya katiba ambayo yatamruhusu Rais Paul Kagame kuendelea kuongoza, matokeo ya awali ya kura ya maoni ya mabadiliko ya katiba iliyopigwa jana nchini humo yanaonesha hivyo.

rwanda (1)Raia akipiga kura.

Kwa mujibu wa taarifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Rwanda inasema, asilimia 98 ya wapiga kura wameunga mkono marekebisho hayo ya katiba ambayo yatamruhusu Rais Paul Kagame kuwania kwa muhula mwingine mwaka 2017, baada yake...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sitta ataweza kubadili filamu ya Katiba?

WENGI walipenda kuiita ni vichekesho ‘comedy’ lakini kwangu naomba niende mbele zaidi na kuita kuwa ni filamu, hili ni Bunge Maalumu la Katiba ambalo tangu limeanza mkoani Dodoma niliamua kujiondoa...

 

11 years ago

Mwananchi

Warioba: Kazi ya Bunge la Katiba siyo kubadili Rasimu

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema litakuwa jambo lisilo la kawaida kwa Bunge Maalumu la Katiba kubadili hoja ya msingi iliyopo kwenye Rasimu ya Katiba, akisisitiza kuwa jukumu lake ni kuifanyia marekebisho.

 

5 years ago

BBCSwahili

Ni kwanini wachezaji wa Liverpool wanapiga goti?

Liverpool wapiga goti moja kutetea mauwaji ya mmarekani mweusi George Floyd aliuewawa na polisi

 

10 years ago

Vijimambo

MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA INAYOPENDEKEZWA

Dar es Salaam, Oktoba 16, 2014
UTANGULIZI
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekutana katika kikao chake cha kawaida na kujadili, pamoja na mambo mengine, mchakato wa Katiba Mpya. Kamati Kuu imepata taarifa ya kina juu ya mchakato ulivyoendeshwa katika hatua mbali mbali wakati wa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na marekebisho yake na, baadaye, Sheria ya Kura ya Maoni.
Aidha, Kamati Kuu imepata taarifa ya mchakato ulivyokuwa katika hatua ya kuundwa kwa Tume...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kukumbatiana ni salamu inayoenziwa na Wanyarwanda

Kukumbatiana ni ishara kuu ya salamu ya watu wa kabila la Wanyarwanda, salamu hii ikiwa ishara ya furaha na upendo miongoni mwa watu wa jamii hii.

 

10 years ago

Habarileo

Wanyarwanda walioshtakiwa ICTR `walowea’ Arusha

BAADHI ya watu ambao walifungwa baada ya kupatikana na hatia ya kushiriki kwenye mauaji ya halaiki ya Rwanda na sasa wamemaliza kifungo chao na wale ambao wameachiwa huru na mahakama ya kimataifa ya ICTR baada ya kubainika hawana makosa, hawataki kurejea kwao Rwanda.

 

9 years ago

Mwananchi

Kagame:Uamuzi upo mikononi mwa Wanyarwanda

Rais wa Rwanda Paul Kagame amewataka raia wa nchi hiyo kuendelea kuwa na ujasiri na kujiamini wakati wa kufanya maamuzi yanayohusiana na mustakbali wa taifa hilo kwani wao ndiyo wenye dhamana ya kufanya hivyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani