Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waomba mwekezaji apunguziwe ardhi

WANANACHI wa Kijiji cha Kwamsisi wilayani Handeni, Tanga wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kubadilisha hati ya umiliki wa eneo la Mwekezaji wa Kampuni ya Susumua Holding inayojishughulisha na masuala ya kilimo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Waomba Waziri aingile kati mgogoro na mwekezaji

WAKAZI 250 wa Kitongoji cha Chaduma, Kata ya Maneromango, Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani wamemuomba Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Anna Tibaijuka aingilie kati mgogoro ulioibuka baada ya kutakiwa kuhama kwenye eneo hilo kwa madai ya kuishi hapo kinyume cha Sheria za Ardhi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwekezaji auza ardhi kinyemela Arumeru

>Serikali imemwagiza mwekezaji kwenye shamba la Karangai, Pradep Zodia kurejesha kwa wananchi zaidi ya hekari 2,000  ambazo ameziuza kwa wawekezaji wengine.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwekezaji aliyepokwa ardhi kudai fidia

BAADA ya Halmashauri ya wilaya ya Kilosa kuligawa eneo la mwekezaji Mees Estate Ltd kwa wanakijiji cha Mbigili, Kitongoji cha Mateteni kwa madai kuwa imefutiwa umiliki, uongozi wa mwekezaji huyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwekezaji adaiwa kupora ardhi hekari 3,700

BAADHI ya wananchi wa Kijiji cha Bihata, Kata ya Kyebitembe Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, wamedai kuporwa ardhi yao ipatayo hekari 3,700 na mwekezaji, Diolex Joseph. Pia wananchi hao wanalalamikia...

 

10 years ago

Habarileo

Lukuvi amaliza mgogoro wa ardhi Chasimba, mwekezaji

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William LukuviHATIMAYE Serikali imekata mzizi wa fitina kwa kumaliza mgogoro wa ardhi wa muda mrefu uliokuwepo baina ya wakazi wa Chasimba na mwekezaji wa kiwanda cha saruji cha Wazo Hill, kwa kuirudisha ardhi hiyo kwa wananchi.

 

10 years ago

GPL

MKUU WA WILAYA KINONDONI PAUL MAKONDA AKUTANA NA WANA UMOJA WA MAFUNDI MAGARI TEGETA KUTATUA MGOGORO WA ARDHI DHIDI YA MWEKEZAJI‏

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akiwa na Viongozi wa Umoja wa Mafundi Magari Tegeta wakati akikagua eneo lenye mgogoro wa ardhi kati ya wanaumoja huo pamoja na mwekezaji alipokwenda kuwasikiliza kuhusu mgogoro huo Dar es Salaam jana.  DC Paul Makonda akiwahutubia wana umoja huo.  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda… ...

 

5 years ago

Michuzi

OFISI YA ARDHI MKOA WA MARA KUWEZESHWA VIFAA VYA UPIMAJI ARDHI

Na Munir Shemweta, WANMM MUSOMA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesema wizara yake itaipatia ofisi ya ardhi mkoa wa Mara vifaa vya upimaji ili viweze kutumiwa na halmashauri za mkoa huo  kwa lengo la kuongeza kasi ya upimaji. Dkt Mabula alitoa kauli hiyo jana wilayani Musoma mkoa wa Mara alipokwenda kukagua ofisi mpya ya ardhi ya mkoa Mara ikiwa ni jitihada za wizara ya ardhi kusogeza huduma za ardhi kwa wananchi. Awali huduma za ardhi zilikuwa...

 

5 years ago

CCM Blog

OFISI ZA ARDHI ZA MIKOA ZATAKIWA KUWA NA DAFTARI LA MIGOGORO YA ARDHI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua ofisi ya ardhi ya mkoa wa Manyara jana. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexzander Mnyeti na kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Mary Makondo. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akioongozwa na Kamishna Msaidizi wa Ofisi ya Ardhi mkoa wa Manyara Leonard Msafiri (kushoto) wakati wa uzinduzi wa ofisi ya ardhi ya mkoa huo jana. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Manyara...

 

5 years ago

CCM Blog

LUKUVI AWATAKA WATENDAJI IDARA ZA ARDHI KUPIMIA WANANCHI ARDHI

IMG_20200624_122816Waziri wa Ardhi Wiliam Lukuvi akiwasili kwenye uzinduzi wa Ofisi ya Ardhi mkoa wa Arusha mapema leo akiwa maeongozana na mkuu wa mkoa wa Arusha Idd Kimanta pamoja na katibu tawala mkoa wa Arusha Richard Kwitega nyuma wakiwa na mkuu wa wilaya ya Monduli Edward Balele picha na Ahmed Mahmoud Arusha.
Na Ahmed Mahmoud Arusha

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Makazi, William Lukuvi amewataka maafisa ardhi kuwapa hati Mara moja watu wote waliopimiwa viwanja ili idadi iliyo kwenye michoro iwe na hati kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani