Wasichana shupavu washinda wanaume
Wasichana wawili wa India walipambana na wanaume waliowasumbua na kuwashinda
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili16 Nov
Je,wanaume huvutiwa na wasichana wadogo?
10 years ago
BBCSwahili27 Jan
Twitter:Wanaume na wasichana wagombana
10 years ago
Habarileo12 Nov
Mwamunyange: Rais Kikwete ni shupavu
MKUU wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange amemsifu Rais Jakaya Kikwete akisema ni shupavu, huku akiwataka vijana waogope kupotoshwa kimawazo na kifikra ili wawe wazalendo.
10 years ago
Habarileo28 Apr
Askari shupavu wa kike atunukiwa nishani
RAIS Jakaya Kikwete ametunuku watu 42 nishani akiwamo askari wa kike, Koplo Laura Mushi (32) kwa ushupavu alioonesha baada ya kupambana na kujiokoa dhidi ya majambazi waliomvamia hivi karibuni katika kituo cha ulinzi Mikumi, Morogoro.
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Wako wapi wanawake shupavu wa TANU?
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-HJGcOwaHYSc/XswRF87VdoI/AAAAAAALrfU/e54MWPIS90AX6KJT9z-o-q765zMf_GrIwCLcBGAsYHQ/s72-c/20200524085347_1153918174_5704606628706549347_375_282_80_webp.jpg)
CLAUDIO VIERA, MLEMAVU SHUPAVU ALIYETIMIZA NDOTO ZAKE
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
WENGI hufikiri kuwa kuzaliwa kawaida ni kawaida, ila kwa Claudio Viera de Oliveira ni tofauti kabisa, yeye amezaliwa kichwa kikiwa kimeangalia juu pamoja na ulemavu wa mikono na miguu,na alipozaliwa madaktari walimshauri mama yake Maria Jose Vieira amuache Claudio afe kwani angemsumbua mno katika malezi lakini mama yake alipuuzia ushauri huo.
Licha ya ulemavu huo Claudio hakukata tamaa, akiwa na miaka 40 aliweza kuandika kitabu kilichohusu maisha yake...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Whmxln6S1Zo/XomRB-yYDYI/AAAAAAALmDA/MnQMXNbzxb0nvdVCQ2nksZMRqszMXMy6ACLcBGAsYHQ/s72-c/32944855-519c-4acd-a77d-b9b2637b6bb0.jpg)
MAMA TABITHA SIWALE: MWANAMKE SHUPAVU NA WA KWANZA KUWA WAZIRI TANZANIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-Whmxln6S1Zo/XomRB-yYDYI/AAAAAAALmDA/MnQMXNbzxb0nvdVCQ2nksZMRqszMXMy6ACLcBGAsYHQ/s400/32944855-519c-4acd-a77d-b9b2637b6bb0.jpg)
By MZEE WA ATIKALI ✍️✍️✍️
1. Usuli:
Katika miaka ya karibuni, kwenye "social media" kumetamalaki picha na habari za utani dhidi ya Wanyakyusa@ "WANYAKI" zikionesha kwamba Wanyakyusa ni watu ambao hawajaenda shule na ni washamba kupindukia!.
Hata hivyo, ukweli ni kwamba mikoa ya Mbeya, Kilimanjaro na Bukoba ndiyo iliyokuwa ikitoa wasomi wengi na wa hali ya juu toka enzi za ukoloni na baada ya uhuru.
Haishangazi basi, tarehe 9.11.1975, mkoa wa Mbeya ulitoa mwanamke wa kwanza na kuweka historia...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-gl49bYfuLRU/VV4Ef12encI/AAAAAAAAuI4/VXWFgPJinb8/s72-c/07dcmbege.jpg)
Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi
![](http://4.bp.blogspot.com/-gl49bYfuLRU/VV4Ef12encI/AAAAAAAAuI4/VXWFgPJinb8/s640/07dcmbege.jpg)
Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...
10 years ago
Vijimambo12 Feb
Chelsea, Man U, City washinda
![ngumi](http://www.tanzaniasports.com/wp-content/uploads/2015/02/ngumi-634x400.jpg)
Mzunguko wa 25 wa Ligi Kuu ya England (EPL) umemalizika kwa ushindi kwa timu kubwa, huku kocha wa Aston Villa, Paul Lambert akifukuzwa kazi.
Chelsea walipata ushindi kwa tabu dhidi ya Everton kwa bao la dakika za mwisho la Willian, hivyo kujiweka pointi saba mbele ya mabingwa watetezi, Manchester City.
Gareth Barry alipewa kadi nyekundu iliyozua mzozo na kocha wa Everton, Roberto Martinez alisema kwamba Chelsea wanajaribu kuwashawishi waamuzi.
Kadhalika...