Wasomi: Miaka 52 ya uhuru taifa haliko huru
WASOMI wamesema kuwa pamoja na kuadhimisha miaka 52 ya uhuru bado taifa halionyeshi kuwa huru. Wamesema ingawa kuna uhuru wa bendera, lakini ni lazima kuhakikisha kuwa watu wanakuwa huru kiakili,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania10 Dec
Miaka 54 ya uhuru, Watanzania hawakuwa huru
NA ELIZABETH HOMBO
LEO Watanzania wanasherehekea miaka 54 baada ya Taifa hili kujinasua kutoka kwenye minyororo ya wakoloni wa Uingereza.
Historia inaonyesha kuwa baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, Umoja wa Mataifa(UN) uliwapa dhamana Uingereza kuitawala Tanganyika mpaka hapo wananchi wake watakapopata ufahamu wa kudai uhuru wao.
Kabla ya Uingereza kupewa dhamana ya kuiongoza Tanganyika, nchi hii ilikuwa chini ya himaya ya koloni la Ujerumani.
Uhuru wa Taifa hili umepita katika mapito...
10 years ago
Habarileo14 Dec
Wasomi waiponda PAC, wataka Tume huru
WAKATI Ikulu ikitoa taarifa na kusema kuwa Rais Jakaya Kikwete atafanya maamuzi juu ya sakata la akaunti ya Escrow kuhusu maazimio ya Bunge, Jumuiya ya Wanazuoni wameibuka na kuponda maazimio ya Bunge yaliyotokana na Ripoti ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC).
9 years ago
Mwananchi14 Oct
UKWELI UTAKUWEKA HURU: Miaka 54 mmeshindwa, miaka mitano mtaweza?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-TI4uM2ffQhFZmrjVFk2v5EQSkvhtOa82tTlzw*SelvIl8Rz4inTGHxStY7qey0KROkbfom3b6w7oSXk-T7i392QZQQX*ytX/jkuhuru.jpg?width=650)
RAIS JK AWASILI UWANJA WA UHURU KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANGANYIKA
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-om561hzSRNY/Vmpl9tFQjXI/AAAAAAAILk8/wpaANuZO4M0/s72-c/AgG3Ui2mwJMoHx2WJlSJJgjIF0KeuZ6_kgEXoCXOc0DP.jpg)
MFUKO WA PENSHENI WA GEPF WAUNGANA NA KAMPUNI YA SARUJI YA DANGOTE KUFANYA USAFI SIKU YA UHURU NA BAADAE BONANZA LA MICHEZO KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 54 YA UHURU WA TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-om561hzSRNY/Vmpl9tFQjXI/AAAAAAAILk8/wpaANuZO4M0/s640/AgG3Ui2mwJMoHx2WJlSJJgjIF0KeuZ6_kgEXoCXOc0DP.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-_UfMJOEQiIc/Vmpl_lWbDXI/AAAAAAAILlU/__MwgOyGPPQ/s640/AqveZdopwZHFBpiPoepzMj4VLm0Lma6XEp9hMFXY6CdU.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-T6qK-ie3y0U/Vmpl9qcON0I/AAAAAAAILlE/tuC2elMDZk4/s640/AofBcxIlfHHONd4L3WBx3D_DBxJ0YFsX4NHd4jQysETK.jpg)
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Uhuru Kenyatta: Mazungumzo na Marekani hayataathiri makubaliano ya biashara huru Afrika
11 years ago
BBCSwahili27 Apr
Afrika Kusini huru yatimiza miaka 20
11 years ago
BBCSwahili18 Mar
Urusi yatambua Crimea kama taifa huru
10 years ago
BBCSwahili09 Jun
Alifungwa miaka 40 upweke sasa yuko huru