Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wassira: Maisha bora yanahitaji jitihada

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Steven Wassira,  amesema serikali haiwezi kuleta maisha bora kwa kila Mtanzania bila  mtu husika kujituma ili kuweza kujiletea maendeleo yake binafsi....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kiwango maisha bora chapanda

Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi chapisho la tatu la taarifa za msingi za kidemografia, kijamii na kiuchumi pamoja na tovuti katika kupata taarifa za Sensa na Makazi katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana. Kutoka kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, mwakilishi wa UNFPA, Mariam Khan, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum na Kamishna wa Sensa na Makazi, Amina Mrisho. (Picha na Freddy Maro).MAENDELEO ya Watanzania na kuongezeka kwa ubora wa maisha yao sasa ni dhahiri baada ya chapisho la tatu la Taarifa za Msingi za Kidemografia, Kijamii na Kiuchumi, linalotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012, kuonesha hatua walizopiga katika maisha yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Wasali kuombea maisha bora

>Wachungaji kutoka ndani na nje ya nchi wamekusanyika kwenye  Kiwanja cha Cathedral of Joy International Kiluvya-Gogoni  kuwaombea Watanzania walioumizwa na hali mbaya ya uchumi,  utawala, dini, migongano ya kijamii na kisiasa.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Sera bora ya nishati itarahisisha maisha’

Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema ikiwa Serikali itaandaa sera nzuri ya gesi na mafuta, Watanzania wengi watanufaika na rasilimali hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania wanataka maisha bora si maadhimisho

LEO Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaadhimisha miaka 37 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977, ambapo sherehe zake zitafanyika katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. CCM iliundwa Februari 5, mwaka 1977 chini...

 

10 years ago

Mwananchi

Maisha bora ni yale unayopanga ungali kijana

Kitabu kimoja kilichoandikwa zaidi ya miaka 1,000 iliyopita kinasema kwamba mtu hujifunza uvumilivu kipindi cha ujana, hakuna uvumilivu kwenye uzee.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtindo bora wa maisha unavyoleta mageuzi kiafya

>Tabia na mienendo ya watu kimaisha imekuwa ni sababu ya matatizo kwao, jamii na hata kwa uchumi wa nchi ambao unahitaji sana nguvu kazi inayotokana na afya njema.

 

10 years ago

Michuzi

Watanzania waaswa kutunza vipato vyao wawe na maisha bora

Mwezeshaji wa Taasisi ya MAYEPS Tanzania Lucas Marco (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) hivi karibuni jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa kitabu kiitwacho “NITUNZE NIKUTUNZE FAINALI UZEENI”, chenye maudhui ya kuwasaidia watu wanaofanyakazi ya kujiajiri au kuajiriwa kufanya maamuzi yaliyosahihi ili waweze kuishi maisha bora wakati wakiwa kwenye ajira na baada ya kustaafu. Katikati ni Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Rose Mang’enya na kushoto ni Meneja wa...

 

9 years ago

StarTV

Maisha bora uzeeni  Wazee wengi nchini walalamikia kutelekezwa

Licha ya Serikali na wadau mbalimbali kuweka mikakati ya kuwahudumia wazee kwa kuwapatia pensheni, mazingira bora ya makazi na matibabu, wazee wengi nchini wanakabiliwa na matatizo mengi ambayo yanadaiwa kuwakatisha tamaa kutokana na kutelekezwa na kutothamini na jamii licha ya kulitumikia Taifa wakati wa ujana wao.

Kilio kikubwa cha wazee hao ni kutokupata huduma au usaidizi pindi wanapopata matatizo.

Baadhi ya Wazee wengi nchini hasa waishio vijijini bado wanakabiliwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani