Watangazania wajipime kwanza kwa haya machache
Wiki ijayo nitaendelea kujadili hasa kwenye runinga, redioni na kwenye hadhara mbalimbali juu ya mchakato wa ndani ya Chama cha Mapinduzi wa kumpata mtu atakayepewa dhamana na chama ya kuwa mgombea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, mwaka huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo01 Jun
NesiWangu: YAMEBAKI MASAA MACHACHE KUPATA HUDUMA YA MENO KWA...
10 years ago
Mwananchi17 Jun
Uzuri na ubaya wa CCM kuwa na watangazania wengi
10 years ago
Mwananchi21 Jun
Ahadi za watangazania CCM ni unafiki, uongo au wameokoka?
11 years ago
CloudsFM14 Jun
Reharsal ya Mwisho kwa wasanii katika uwanja wa jamhuri hapa Dodoma masaa machache kabla ile show kubwa. #Tanzania Naiaminia
wasanii wakielekea katika jukwaa kuu.
10 years ago
Mtanzania11 Feb
Filikunjombe ataka wanasiasa wajipime
Na Mwandishi Wetu, Ludewa
MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), amewataka viongozi wa siasa kujitafakari kuhusu nafasi wanazoziongoza kuona kama wapo kwa ajili yao binafsi ama kwa ajili ya jamii iliyowachagua.
Filikunjombe alitoa kauli hiyo juzi wakati akitoa salamu zake za pole kwa wakazi wa Ludewa katika mazishi ya aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wilayani hapo, Elizabeth Haule yaliyofanyika kijijini kwake Luana.
Alisema lazima viongozi kujenga utamaduni wa...
9 years ago
Habarileo29 Nov
Serikali yataka vigogo wajipime
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ametoa ufafanuzi mpya kuhusu maagizo ya Rais John Magufuli, kwa watendaji wakuu na maofisa masuhuli wote wa wizara, idara na taasisi za Serikali, katika suala zima la kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ya fedha za umma. Katika ufafanuzi huo uliotumwa jana na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Balozi Sefue ametaka kila mtendaji wa Serikali kujihoji mwenyewe, kwamba endapo Rais Magufuli ataamua kufika katika eneo lake la kazi, ni kwa kiasi gani atakuta...
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Mzee Moyo awataka CCM wajipime
10 years ago
Dewji Blog15 Sep
Kinana aunguruma Mkuranga awataka viongozi waliojilimbikizia vyeo wajipime
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutumia katika mkutano wa hadhara mjini Kimanzichana, wilayani Mkuranga, Pwani , alipoanza zira ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.Kinana aliwataka viongozi wa chama na serikali waliojilimbikizia vyeo na kushindwa kutekeleza wajibu wao, waanze kujiuzulu baadhi ya vyeo ili wapatiwe wengine wasio na vyeo kwa lengo la...
9 years ago
Habarileo08 Oct
Mkwasa alia mabao machache
KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa anasema pamoja na kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Malawi, lakini lengo lao halikutimia kwani walitaka kushinda mabao mengi.