Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania hawajachoka na amani

KATIKA dunia hii kila jambo hutanguliwa na ishara.

Maggid Mjengwa

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Habarileo

Watanzania waaswa kulinda amani

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete ameongoza Watanzania katika kuadhimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika, huku msisitizo katika sherehe hizo ukiwa ni kuwataka kutokubali kurubuniwa na kuharibu amani iliyopo na badala yake waidumishe na kujituma.

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania waonywa kuhusu amani

Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba.VIONGOZI wa dini, wanasiasa na wazee nchini wamewaonya Watanzania kujiepusha na viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani.

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Bilal: Watanzania tudumishe amani

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal amewataka Watanzania wote kudumisha amani, mshikamano na upendo ili kudumisha matumaini ya maendeleo kwa vizazi vijavyo.

 

9 years ago

StarTV

Watanzania watakiwa kuendeleza amani

 

WATANZANIA wametakiwa kuutumia mwaka mpya wa 2016 kuendeleza Sifa na Historia njema ya Tanzania katika kulinda na kudumisha amani iliyopo.

Kanisa la Tanzania Assemblies of God, TAG, mkoa wa Mbeya limesema kuingia mwaka mpya siyo sababu kwa Watanzania kuacha utamaduni wao wa kudumisha amani bali wanapaswa kuiendeleza sifa hiyo iliyoijengea Tanzania heshima Kimataifa.

Ushauri huo umetolewa na Mchungaji Kiongozi wa kanisa la TAG mkoa wa Mbeya, Addison Mwaijunga, wakati wa ibada maalum ya...

 

9 years ago

StarTV

Watanzania wahimizwa kudumisha amani

Kiongozi Mkuu Kanisa la Jeshi la Wokovu Duniani Jenerali Adre Cox amewataka Watanzania kuendeleza kudumisha Amani iliyopo inayotamaniwa na Nchi nyingi Ulimwenguni kwa kuhakikisha wanashiriki Uchaguzi kwa Salama.

Kiongozi huyo Mkuu wa Kanisa la Jeshi la wokovu Duniani pia amewataka viongozi wa dini Nchini kwa Imani zote kuhakikisha wanaketi pamoja na kuwa na Lugha moja ya kuliombea Taifa ili Uchaguzi uwe Huru na Haki

Kiongozi huyo ambaye kwa mara ya mwisho alizuru nchi Tanzania mwaka 2002,...

 

9 years ago

Mwananchi

Amani ya Burundi ni muhimu kwa Watanzania

Wiki hii Tanzania imeanza mchakato wa kutafuta suluhu ya mgogoro wa Burundi ulioibuka baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Julai 21 na mgombea wa chama cha CNDD-FDD, Pierre Nkurunziza kutetea kiti chake cha urais.

 

9 years ago

StarTV

Magufuli awataka watanzania kudumisha amani

 

Katika harakati za kufanya kampeni katika mikoa tofauti nchini Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dokta John Pombe Magufuli amefanya kampeni katika jimbo la Chato ambalo amelitumikia kwa miaka ishirini kama Mbunge.

Akihutubia wananchi waliojitokeza kumlaki na kusikiliza vipaumbele vilivyoainishwa katika ilani ya Chama cha Mapinduzi, Dokta Magufuli amezungumzia maendeleo yaliyofikiwa na jimbo hilo chini ya uwakilishi wake kuwa ni kielelezo cha utendaji na ufanisi alionao katika...

 

10 years ago

Michuzi

Watanzania watakiwa kudumisha Amani na Mshikamano

Frank Mvungi-Maelezo
Watanzania wametakiwa kuendeleza amani na mashikamano uliopo kwa maslahi ya Kizazi hiki na Kizazi Kijacho kwa kuenzi misingi ya Amani na Uzalendo iliyojengwa na Waasisi wa Taifa hili.
Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es salaam na aliyekuwa Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Amon Mpanju ambaye pia ni mwenyekiti wa wa shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania.
Nchi ni zaidi ya itikadi na Mihemko ya watu wachache hivyo ni lazima tuwaepuke wote wanaotaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani