WATANZANIA TUNAWEZA!
![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx-86xUrDzM156fNXZGDlHHs8NcnSXLBPNw20VlY004uYM8D3I95F7biGSUuP6IzpsB0i2sZEVLTMKyAwGa*07bC/10402441_10154212434270577_6392459384565989146_n.jpg)
Penye nia pana njia, fikiri, panga mikakati na utafaikiwa. Mzee Mengi hakuzaliwa katika familia tajiri. Alizaliwa katika familia ya mtoto kutembea pekupeku, hata kuvaa ndala ni anasa, lakini leo hii ni Bilionea. BIG UP Mzee, unaonesha njia...!
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
Kitima: Tunaweza kuchimba gesi
WATANZANIA wametakiwa kuondokana na dhana potofu, kwamba hawana uwezo wa kuvuna gesi kutokana na kukosa mtaji na teknolojia. Kauli hiyo ilitolewa jana na Makamu mstaafu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu...
10 years ago
Tanzania Daima13 Sep
‘Tunaweza kupunguza kasi ya ajali’
CHAMA cha Kutetea Abiria nchini (Chakua), kimesema kinaweza kupunguza kwa kiwango kikubwa ajali ndani ya miezi miwili. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu wa chama...
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Tukiamua tunaweza kunusuru elimu
10 years ago
Zitto Kabwe, MB09 Jan
Tunaweza kujitosheleza kwa Sukari
Tunaweza kujitosheleza kwa Sukari
Leo siku nzima kamati ya PAC ilikuwa inazungumza na Bodi ya Sukari, Wizara ya Kilimo na Wakulima wa Miwa Wilayani Kilombero. Tanzania huzalisha wastani wa tani 300,000 za Sukari kwa mwaka ilhali mahitaji ni tani 420,000 kwa mwaka. Hii hupelekea uagizaji wa Sukari kutoka nje ambao umekumbwa na malalamiko makubwa sana kutoka kwa wadau mbalimbali.
Masuala kadhaa yameibuliwa katika kikao cha leo
Wakulima wamelalamikia sana uingizaji holela wa Sukari nchini. Bei...
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
Tunaweza kumwacha Mwalimu apumzike?
MWAKA huu tuna kwenda kufanya uchaguzi, miaka 20 baada ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi. Katika Uchaguzi huo Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alikuwa ndiyo dira elekezi ya sifa za aina ya Rais tumayemtaka kwa wakati huo.
Oktoba 25, siku ya Uchaguzi Mkuu, tutakuwa tunatimiza miaka 16 na siku 11 ya Tanzania bila Baba wa taifa, hilo lakini halimaanishi kwamba hayupo kabisa kabisa, Mwalimu bado anaishi, yuko kwenye fikra zetu, kwenye mioyo yetu na kwa kweli kila mahali, watu aina...
10 years ago
GPLMOI TUNAWEZA KWA ZAIDI YA 95%
9 years ago
BBCSwahili03 Jan
Van Gaal: Tunaweza kuimarika 2016
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Tunaweza kufanikiwa zaidi mwaka 2015
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Dewji: Afrika tunaweza kutokomeza umaskini
MFANYABIASHARA maarufu hapa nchini, na Mbunge wa Singida Mjini, Mohamed Dewji (CCM), amesema nchi za Afrika zina uwezo mkubwa wa kujikomboa katika lindi la umaskini iwapo sera nzuri zitatungwa na...