Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania wengi waonyesha matumaini uteuzi wa Mguful.

Baadhi ya Watanzania wameonyesha imani na matarajio yao makubwa ya maendeleo kutoka kwa Rais mteule wa Jamhuri ya Muaungano wa Tanzania, Dk John Pombe Joseph Magufuli.

Dk Magufuli alitangwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa ndiye mshindi wa urais katika uchaguzi uliofanyika Oktoba 25.

Katika hekaheka za kutafuta rikizi mkono uende kinywani hali ya Jiji la Dar es salaam katika maeneo ya kufanyia biashara inaonekana kuwa tulivu na maisha yanaendelea.

Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Utafiti chanjo ya ugonjwa wa dengue waonyesha matumaini

Majaribio ya chanjo mpya ya ugonjwa wa homa ya dengue yameonyesha mafanikio kwa asilimia 56, miezi kadhaa baada ya Taifa kukumbwa na janga la ugonjwa huo ulioathiri watu zaidi ya 400 na kusababisha vifo.

 

9 years ago

Habarileo

Uteuzi mawaziri wagusa wengi, wapongezwa

WATU wa kada mbalimbali wamepongeza uamuzi wa Rais John Magufuli kupunguza ukubwa wa Baraza la Mawaziri kwamba hatua hiyo itasaidia kuwa na watu wachache watakaofanya kazi ya kusaidia kuinua uchumi wa nchi. Aidha, uteuzi wake wa Baraza la Mawaziri umewagusa viongozi wa taasisi mbalimbali na wasomi nchini ambao wamelitaja baraza hilo kuwa ni la viwango lililozingatia weledi.

 

9 years ago

Mwananchi

MAMBO HALISI : Mwaka 2016 umebeba matumaini ya walio wengi

Ninawapongeza ndugu zangu Watanzania nyote kwa kuumaliza vyema mwaka 2015 na kuanza vizuri mwaka mwingine, ambao tayari umepewa majina mengi.

 

10 years ago

Mwananchi

RIPOTI: Watanzania wapoteza matumaini

Zaidi ya nusu ya Watanzania wamekata tamaa ya maisha, badala yake wanafikiri hali zao zitakuwa bora miaka kumi ijayo, kwa mujibu wa ripoti ya taasisi ya Twaweza pamoja na Jumuiya ya Maendeleo ya Kitaifa (SID).

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Alma Clara Corsini, ajuza aliepona virusi vya corona atoa sura ya matumaini kwa wengi

Katika majumaa ya hivi karibuni , Italia imekuwa na sababu za kuwa na matumaini, baada ya bibi mwenye umri mkubwa kupona Covid-19.

 

10 years ago

Mwananchi

Tido: Ni wakati wa matumaini mapya kwa Watanzania

“ Tutawapatia watanzania matangazo ya moja kwa moja ya uchaguzi, ambayo hawajawahi kuona katika historia ya nchi hii. Kuanzia uchaguzi  wa CCM  hadi kwenye Uchaguzi Mkuu.”

 

11 years ago

Mwananchi

Matumaini ya medali Madola kwa Watanzania yazidi kupeperuka

Pigo kwa Tanzania! Ndivyo ilivyokuwa jana kwenye kambi ya wanamichezo wa Tanzania nchini Scotland baada ya mwanariadha mzoefu, Fabiano Joseph kushindwa kung’ara kwenye mbio za marathon za Michezo ya Jumuiya ya Madola.

 

9 years ago

Michuzi

Kujiuzulu kwa Makamu Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV, Kufuatia Uteuzi Mpya..


Ndugu Zangu Wana-DMV, Napenda kuchukua fursa hii kuwafahamisha kwamba tarehe 14/9/2015, niliteuliwa rasmi kuwa makamu mwenyekiti wa African Affairs Advisory Group (AAAG) iliyopo chini ya serikali ya kata ya Montgomery, Maryland (Montgomery County). Nafasi hii inausika na nyanja zote za maswala ya wahamiaji toka barani Afrika hususani; elimu,uchumi,uhamiaji, afya, tamaduni, bajeti,sera na miswada itakayoboresha huduma za jamii kwa Waafrika. Kutokana na majukumu haya, nimejiuzulu katika nafasi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Malaria kuumiza Watanzania wengi

IMEELEZWA kuwa asilimia 91 ya Watanzania wapo hatarini kupata ugonjwa wa malaria kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo mazingira wanayoishi. Takwimu hizo zilibainishwa na Kaimu Meneja wa Mpango wa Taifa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani