Watu 50 pekee wanapomiliki asilimia 50 ya ardhi ya wilaya
Unajua kuwa migogoro ya ardhi imekuwa ikiongezeka nchini kila kukicha hata baadhi ya maeneo zaidi ya asilimia 50Â ya ardhi kumilikiwa na watu wachache?
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU, WIZARA YA ARDHI AFANYA JITIHADA KUBORESHA MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA YA WILAYA
9 years ago
Dewji Blog16 Dec
Hernandez aweka wazi kilichomkimbiza Man United, VLG alimpa asilimia moja pekee ya kucheza
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Javier Hernandez “Chicharito” (pichani) ameweka wazi sababu iliyomfanya aondoke Manchester United kuwa ni baada ya kocha wa timu hiyo Louis Van Gaal kumwambia kuwa hana nafasi katika kikosi chake na kama akimpa nafasi basi ana asilimia moja pekee kucheza katika nafasi ya ushambuliaji ambayo ndiyo anacheza mchezaji huyo.
Akinukiliwa na gazeti la Hispania la Marca, Hernandez alisema kuwa kocha LVG alimuita kuzungumza nae...
10 years ago
Dewji Blog08 Jul
Mgimwa: Niliahidi kuwatumikia wananchi wa kalenga nimefanikiwa kwa asilimia 99 ndani ya mwaka mmoja pekee
![](http://2.bp.blogspot.com/-HAYCythkYck/VZuyEn-PZbI/AAAAAAAB-lc/sc3kAbdoR1s/s640/1.jpg)
Mbunge Mgimwa katikati akitazama nguzo za umeme katika kata ya Mgama.
WAKATI wabunge wakiwa mbioni kumaliza muda wao mbunge wa jimbo la Kalenga Bw. Godfrey Mgimwa amesema kuwa kwa kipindi chake cha mwaka mmoja kama mbunge wa jimbo hilo la Kalenga amesema anamshukuru Mungu katika safari yake ya kuwatumikia wananchi wa jimbo la Kalenga kwa kufanikisha kutekeleza ahadi zake kwa asilimia 99.9 ndani...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lk_J7fF17gI/Xrg7Bpq1M1I/AAAAAAALprs/GXTFuwX_dLUBMpjuNDMrZFYU_gMiBrXZwCLcBGAsYHQ/s72-c/RTS32VL3.jpg)
LICHA YA KUWA NA MAAMBUKIZI YA VVU KWA ASILIMIA 25.00, LESOTHO NI NCHI PEKEE AFRIKA AMBAYO HAIJAKUMBWA NA VIRUSI VYA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-lk_J7fF17gI/Xrg7Bpq1M1I/AAAAAAALprs/GXTFuwX_dLUBMpjuNDMrZFYU_gMiBrXZwCLcBGAsYHQ/s400/RTS32VL3.jpg)
HADI sasa Lesotho haijatangaza kisa cha maambukizi ya homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19) licha ya majirani zao Afrika kusini kuwa na kesi za Covid-19 zaidi ya elfu saba na vifo zaidi ya mia moja, pia Lesotho inakua nchi pekee kati nchi 54 barani Afrika ambayo haijaripoti maambukizi ya virusi hivyo ila nchi hiyo imeendelea kuchukua hatua kadhaa ikiwa ni pamoja na kufunga, mipaka, vyuo, shule pamoja na shughuli nyingine...
10 years ago
Habarileo29 May
Mahenge asema asilimia 61 ya ardhi imeharibika
ASILIMIA 61 ya ardhi nchini imeharibika kutokana uharibifu wa mazingira ya ardhi katika vyanzo vya mbalimbali na kusababisha kuzama kwa baadhi ya visiwa kutokana na mabadiliko ya tabianchi.
9 years ago
Dewji Blog30 Nov
Mlangi mgombea pekee nafasi ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida!!
9 years ago
StarTV14 Aug
Watu 10 pekee wapinga muhula wa 3 wa Kagame.
![](http://ichef-1.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/08/11/150811113836_kagame_640x360__nocredit.jpg)
Kagame
Maafisa nchini Rwanda wanasema kwamba baada ya mashauriano ya kitaifa ni watu kumi tu wanaompinga rais Kagame kuwania muhula wa tatu.
Gazeti la New Times lililo karibu na serikali linasema kati ya watu milioni mbili walioshauriwa kuhusu kufanyia katiba mageuzi ni watu kumi tu waliopinga fikra hiyo.
Katiba inasema rais anapaswa kuhudumu kwa mihula miwili pekee.
Wachambuzi wanasema raia wengi wa Rwanda huenda wameogopa kupinga pendekezo hilo.
Rais Kagame amehudumu madarakani tangu...
10 years ago
BBCSwahili11 Aug
Ni watu 10 pekee wanaopinga muhula wa 3 wa Kagame
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-dhC4TB7ytPY/VWcQGjTNM_I/AAAAAAAHaa0/9HpZVXnLDHw/s72-c/2A.jpg)
WAZIRI MAHENGE:ASILIMIA 61 YA ARDHI NCHINI IMEHARIBIKA, AIRTEL YAPIGA JEKI SIKU YA MAZINGIRA
Hayo ameyasema leo jijini Dar es Salaam,Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira,Mhandisi Binith Mahenge wakati akitangaza maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yatakayofanyika Juni 5 mwaka huu mkoani Tanga. Mahenge amesema Juni 5 ya kila mwaka iliamuliwa na Umoja wa Mataifa mwaka 1972 kuwa...