Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu kadhaa wanashikiliwa mateka Sydney

Watu kadhaa wanashikiliwa mateka na mtu mmoja au zaidi wenye silaja katika mgahawa wa Lindt mjini Sydney, Australia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAKOMANDO WAWAOKOA MATEKA SYDNEY, WAMUUA MTEKAJI

Huyu ndiye mtekaji raia wa Iran, Haron Monis. WATU watatu wameuawa akiwemo mtekaji raia wa Iran, Haron Monis aliyekuwa ameteka watu kwa zaidi ya saa 16 katika mgahawa mmoja jijini Sydney nchini Australia jana baada ya Makomando kuvamia eneo hilo. Watu wanne akiwemo polisi wamejeruhiwa wakati wa zoezi la uokoaji. Mmoja wa majeruhi akipatiwa huduma ya kwanza. Mtekaji huyo alikuwa ameachiwa kwa dhamana kwa makosa...

 

10 years ago

GPL

MTE MWENYE SILAHA AZIDI KUWASHIKILIA MATEKA KWENYE MGAHAWA JIJINI SYDNEY

Polisi wakimpokea mmoja wa mateka kutoka katika mgahawa wa Lindt jijini Sydney. MTU mmoja mwenye silaha bado anaendelea kuwashikilia wafanyakazi na wateja katika mgahawa wa Lindt uliopo jijini Sydney nchini Australia. Mateka ndani ya mgahawa huo wakiwa wameshika bendera yenye maandishi ya Kiarabu. Baadhi ya watu ndani ya jengo hilo wameonekana kupitia madirisha wakiwa wamebeba bendera nyeusi zenye maneno ya… ...

 

11 years ago

BBCSwahili

Tunawashikiliawa watu kadhaa,Israel

Taarifa kutoka nchini Israeli zinasema kuwa serikali inawashikilia baadhi ya watu,mauaji ya kijana wa Kipalestina

 

10 years ago

Habarileo

Watu kadhaa mbaroni Tanga

MKUU wa mkoa wa Tanga, Magalula Said MagalulaSERIKALI imetoa taarifa rasmi kuhusu uhalifu uliotikisa mkoani Tanga, ikisema hali ni shwari na umma wa Watanzania upuuze taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikitia hofu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu kadhaa waua katika milipuko Nigeria

Milipuko imetokea katika msikiti, na sehemu ya kuuza vyakula mjini Jos na mwingine wa kujitoa muhanga katika kanisa huko Patiskum

 

11 years ago

BBCSwahili

Watu kadhaa wauawa nchini Sudan kusini

Watu kadhaa wameuawa wakati wa jaribio la wizi wa Ng'ombe katika jimbo la Warrap nchini Sudan Kusini.

 

10 years ago

GPL

WATU KADHAA WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI KAHAMA

WATU kadhaa wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa asubuhi hii kwenye ajali ya basi la Wibonela lililokuwa likitoka Kahama kwenda Dar lililopinduka eneo la kona ya Phantom, Kahama. Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi uliopelekea dereva wa basi kushindwa kulimudu lilipofika kwenye kona ya Phantom na kupelekea kuingia mtaroni na kupinduka. Idadi kamili ya waliopoteza maisha na majeruhi kwenye ajali hiyo bado...

 

10 years ago

Vijimambo

MABASI YAPATA AJALI TANGA NA MOROGORO NA KUUWA WATU KADHAA

Basi la Ngorika lenye namba za Usajili T770 BKW lililokuwa kitoka jijini Dar es Salaam kwenda Arusha na lile la Kampuni ya RATCO T 274 DCP Tanga kwenda Dar es Salaam yamegongana uso kwa huso na kulihusisha gari lingine dogo aina ya Toyota Pass T 628 CXE na kusababisha vifo vya abiria 10 na majeruhi. Ajali hiyo ilitokea eneo la Mbweni Mkata, wilayani Handeni mkoni Tanga. 
Inaelezwa kuwa basi la Ratco lilgongana kwanza na gari dogo na kisha kwenda kugongana uso kwa uso na basi la Ngorika...

 

9 years ago

Bongo5

27 wauawa baada ya watu 170 kushikiliwa mateka kwenye hoteli nchini Mali

2EA5E94000000578-3326708-image-a-1_1448047482182

Takriban watu 27 wameuawa Jumamosi hii baada ya watu 170 kushikiliwa mateka kwenye hoteli ya Radisson Blu ya nchini Mali.

2EA5E94000000578-3326708-image-a-1_1448047482182

Shambulio hilo limefanywa na watu watatu kwenye mji mkuu Bamako, ambapo watu hao wakiwa na silaha waliivamia hoteli hiyo. Wawili kati yao wameuawa kwenye tukio hilo.

Mbunge wa Ubelgiji, Geoffrey Dieudonné, ni miongoni mwa waliouawa.

Dieudonné alikuwa akitoa mafunzo kwa maafisa wa bunge la Mali. Rais Ibrahim Boubacar Keita ametangaza siku tatu za maombolezo.

Kundi la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani