Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wavuvi wapamba mapokezi ya Dk Magufuli Sengerema

>Mamia ya wakazi wa Wilaya ya Sengerema na Mkoa wa Geita jana walijitokeza katika mapokezi ya mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli yaliyopambwa na mbio za wapiga kasia katika Ziwa Victoria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Maelfu wapamba sherehe kuapishwa Magufuli

SHEREHE za kumwapisha Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano wa Tanzania, jana zilifana ambapo pamoja na wananchi wengi kujitokeza na kufurika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, pia marais mbalimbali wakiwemo wote wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, walihudhuria sherehe hizo.

 

9 years ago

CCM Blog

MAGUFULI AHUTUBIA SENGEREMA SEHEMU ALIYOFUNDISHA SEKONDARI

 Mgombea Urais upitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Sengerema waliojitokeza kwa wingi wenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye viwanja vya Mnadani, Sengerema.
Dk. Magufuli aliwaambia wananchi hao kuwa atakuwa kiongozi mwenye maamuzi makini na kufanya kazi kwa bidii katika kuleta maendeleo kwa Watanzania.

Mgombea Urais upitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Sengerema akihutubia maelfu ya wakazi wa wilaya ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Magufuli apata mapokezi ya kishindo Zanzibar

>Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli jana alipata mapokezi ya kishindo alipokwenda Zanzibar kujitambulisha baada ya kuteuliwa na chama hicho wiki iliyopita.

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AAHIDI NEEMA KWA WAVUVI, WACHIMBAJI WADOGOWADOGO MWANZA NA GEITA

Dk John Magufuli akihutubia nyomi la watu lililofurika katika Kijiji cha Nkome, Geita Vijijini. Magufuli akizuru makaburi ya babu yake  Marko Nyahenga na bibi yake Anastazia yaliyopo kijiji cha Katoma, Geita Vijijini.
Ibada fupi ya maombi ikifanyika kuwaombea marehemu…

 

9 years ago

Michuzi

PAMOJA NA KUWAOMBA KURA,MAGUFULI AWAASA WAVUVI KUTOFANYA UVUVI HARAMU.

 Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli ukihutubia maelfu ya wananchi wa kijiji cha Nkome,Geita Vijijini Mkoani Geita kwenye mkutano wa kampeni,Dk. John Pombe Magufuli aliomba kura za ndiyo kwa wananchi ili wamchague na kuwa rais wa Tanzania  katika uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu nchini kote ukishirikisha vyama vingi vya siasa

Dk Magufuli akiwahutubia wananchi hao  ambao wengi wao ni wavuvi....

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AKIENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI MCHANA HUU SENGEREMA NA GEITA VIJIJINI


  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasikiliza wananchi wa jimbo la Buchosa mapema walipokuwa wakishamgilia mara baada ya kupanda jukwaani na kuwasalimia,mkutano huo wa kampeni umefanyika mapema leo asubuhi katika kijiji cha Nyehunge wilayani Sengerema mkoani Mwanza.Pamoja na mvua kunyesha hapa hapa na pale katika maeneo hayo,Dkt Magufuli anatarajia kuhutubia mkutano mkubwa wa kampeni katika jimbo la Geita Vijjini katika...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mapokezi, mkutano wa Dkt. Magufuli haijapata tokea Mwanza

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi alipokuwa akiwasili kwenye mkutano wa kampeni katika viwanja vya Furahisha, jijini Mwanza.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).

 Bendera za CCM zikiwa zimepamba msafara wa Dkt. Magufuli kutoka Uwanja wa Ndege hadi jijijini Mwanza.

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi alipokuwa akiwaaga baada ya mkutano wa kampeni kumalizika katika viwanja vya...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AENDELEA KUITIKISA KANDA YA ZIWA,AFANYA MIKUTANNO YA KAMPENI GEITA VIJIJINI,NYANG'WALE NA SENGEREMA

Mgombea Urais kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu ya wananchi wa Sengerema jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika mjini humo.Katika mkutano huo wa kampeni Dkt Magufuli amezishauri halmashauri nchini kuacha tabia ya kukopa pesa kutoka katika taasisis za kifedha na kulipia fidia za wananchi ambapo serikali inataka kutumia maeneo yao kwa ajili ya huduma za kijamii. 
Akiomba kura katika wilaya mpya ya Nyang'wale mkoani Geita,Dkt Magufuli ametumia jukwaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani