Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazazi wanaolea maovu

NENO paraganyika katika kamusi ya Kiswahili sanifu toleo la 1981, uk. 227 limeelezwa kuwa ni “fanya kuwa ovyo, vuruga, vilevile haribu, potosha, ondoa katika mpango makini au sahihi, tibua na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Taifa liombewe kukabili maovu

Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini,  Dk Fredrick Shoo KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, limeomba serikali kuchukua hatua za makusudi kudhibiti matukio yanayohatarisha amani na utulivu kwani kwa kuyafumbia macho masuala hayo ni kuliingiza taifa katika machafuko.

 

9 years ago

Raia Mwema

Utamjuaje kiongozi mtenda maovu?

KWENYE kujibu hili inahusu zaidi falsafa ya kimaadili.

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Mwananchi

Ni makosa kulindana katika maovu

Hali bungeni Dodoma juzi Ijumaa haikuwa shwari. Haikuwa shwari kwa sababu baadhi ya wabunge walihisi kama kuna njama za kuigubika haki.

 

10 years ago

Habarileo

‘Siko tayari kutetea maovu’

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amesema hayuko tayari kusimama na kutetea serikali kama yako mambo maovu yanayobainishwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mufti:''Twitter ni chanzo cha maovu''

Mtandao wa kijamii wa Twitter unaosifika sana miongoni mwa wanawake na wanaume nchini Saudi Arabia, umesemekana kuwa chanzo cha uovu.

 

11 years ago

GPL

MHE. PINDA AIPONGEZA GLOBAL KUFICHUA MAOVU

Stori: Joseph Shaluwa
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Peter Pinda, ameipongeza Kampuni ya Global Publishers kwa kuripoti habari za uchunguzi zinazofichua maovu kwenye jamii.…

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali ya CCM itaendelea kulinda maovu hadi lini?

Mwalimu Julius Nyerere alisema: “Mficha ugonjwa, kifo humuumbua.” Usemi huu una maana kubwa sana katika maisha yetu. Mimi naufananisha usemi na ule wa Yesu aliposema: “Ukweli utawaweka huru.”

 

11 years ago

Michuzi

WAZEE WA KIMILA NA WAKIDINI WAASWA KUKAA NA VIJANA KUEPUKA MAOVU

a.KATIBU mkuu wa umoja wa vijana ccm (UVCCM) Taifa , Sixtus Mapunda wa pili kulia akiwa anatoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya ziara yake katika mkoa wa Arusha b.
Waandishi wa habari wakiwa kazini
KATIBU mkuu wa umoja wa vijana ccm (UVCCM) Taifa , Sixtus Mapunda amewataka wazee wa kimila (malwaigwanan), viongozi wa dini pamoja na wazazi kutumia muda wa ziada  kukaa na vijana wao na kukemea kuacha mara moja kutumiwa katika vitendo viovu vinavyoendelea mkoani hapa.

Alisema kuwa ,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani