Taifa liombewe kukabili maovu
KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, limeomba serikali kuchukua hatua za makusudi kudhibiti matukio yanayohatarisha amani na utulivu kwani kwa kuyafumbia macho masuala hayo ni kuliingiza taifa katika machafuko.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo06 Mar
Walimu, DC wataka Bunge Maalum liombewe
WALIMU wilayani Kibaha mkoani Pwani, wameaomba wananchi kuwaombea wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba ili waweze kupitisha Katiba yenye maslahi kwa wananchi. Walieleza kuwa Katiba nzuri na yenye maslahi kwa wananchi, itasaidia kufanya nchi kuendelea kuwa na amani.
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
Makinda ataka Bunge la Katiba liombewe
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amewaomba Watanzania kuliombea Bunge Maalumu la Katiba kwa kuwa lipo kwenye hali mbaya. Makinda alisema hayo mjini Dodoma jana wakati wa kutoa salamu katika ibada...
11 years ago
Tanzania Daima05 Jul
Wazazi wanaolea maovu
NENO paraganyika katika kamusi ya Kiswahili sanifu toleo la 1981, uk. 227 limeelezwa kuwa ni “fanya kuwa ovyo, vuruga, vilevile haribu, potosha, ondoa katika mpango makini au sahihi, tibua na...
9 years ago
Raia Mwema06 Jan
Utamjuaje kiongozi mtenda maovu?
KWENYE kujibu hili inahusu zaidi falsafa ya kimaadili.
Mwandishi Wetu
10 years ago
Mwananchi30 Nov
Ni makosa kulindana katika maovu
10 years ago
Habarileo13 Jun
‘Siko tayari kutetea maovu’
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amesema hayuko tayari kusimama na kutetea serikali kama yako mambo maovu yanayobainishwa.
10 years ago
BBCSwahili22 Oct
Mufti:''Twitter ni chanzo cha maovu''
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/F9pPkHGY6K8/default.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OQbVc*b-KB9seRMeJCH3ySI-MI7UIO9CPQCDQ1p8g*dzgr49qouGLKoFZAF4uUev7BGBPam6IxeyPLthWzpXveK8uF9XyzKu/pinda.jpg?width=650)
MHE. PINDA AIPONGEZA GLOBAL KUFICHUA MAOVU