Wazee wapo, ila wenye hekima Tanzania wamepungua
Kutokana na mchakato wa katiba mpya sasa kusuasua nchini Tanzania, imenifikirisha sana na kufikia kuja na hitimisho kuwa Tanzania wazee wapo wa kutosha, lakini wenye hekima na wanaosikilizwa wamepungua sana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo15 Dec
TOP 5 Stori: Madrid wapo tayari Rodriguez ajiunge na Chelsea ila? Baada ya Mahrez kumsumbua Terry Chelsea waamua hivi …
Headlines za soka bado zinachukua nafasi kila kukicha na mimi mtu wangu siachi kukujuza kila linalonifikia, hususani katika kuelekea kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili la mwezi January. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee TOP 5 stori za soka zilizoandikwa sana barani Ulaya. 5- Chelsea kutangaza dau la kumsajili Stones mwezi Janury Baada ya […]
The post TOP 5 Stori: Madrid wapo tayari Rodriguez ajiunge na Chelsea ila? Baada ya Mahrez kumsumbua Terry Chelsea waamua hivi … appeared...
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
Vijana wenye sifa za kuajiriwa wapo vijijini
ASILIMIA 80 ya vijana wenye sifa na uwezo wa kuajiriwa wapo vijijini. Hayo yalielezwa jijini Dar es Salaam jana na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya...
11 years ago
Tanzania Daima19 Feb
Wapo wenye mapenzi na CCM, CDM isisahau hili!
KAMA nilivyodokeza wiki iliyopita naomba wiki hii niangalize jambo moja ambalo inaonekana kwa wale wapinzani na wengine wanaopenda mabadiliko ya kweli ya kisiasa wanaanza kulisahau; kuwa, wapo Watanzania wenye mapenzi...
9 years ago
Mwananchi07 Sep
UCHAMBUZI LIGI KUU BARA : Mtibwa; wapo wapo tu, wanaishi kwa mazoea
5 years ago
MichuziMGODI WA BARRICK BULYANHULU WAWAKUMBUKA WATU WENYE ULEMAVU NA WAZEE MSALALA…DC MACHA AWAPONGEZA
Hafla fupi ya kukabidhi vifaa hivyo imefanyika leo Jumatano Juni 24,2020 katika kijiji cha Bunango kata ya Bugarama ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa...
9 years ago
BBCSwahili05 Oct
Benki ya Dunia: Maskini hohehahe wamepungua
11 years ago
MichuziTWA NA BENKI YA WANAWAKE TANZANIA (TWB) WAFANYA MAFUNZO KITUO CHA KINAMAMA WENYE WATOTO WENYE UGONJWA WA MTINDIO WA UBONGO NA MGONGO WAZI CHAWAWAKI KIGAMBONI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-6NUTDXOWsS4/XnOUOMoTFmI/AAAAAAALkek/vDBppIQbJTMQaXyyu2qXENuiYmi5aVcqwCLcBGAsYHQ/s72-c/99b625c4-e539-4c8c-a622-78ad9c5d861f.jpg)
SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA WATU WENYE UZIWI KUPATA TAARIFA SAHIHI KUHUSU CORONA
Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii
UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA )lumesema kwamba uwepo wa tishio la virusi vya Corona (COVID-19) nchini umesababisha hofu kubwa kwa watu wenye uziwi kwani imekuwa ngumu kwao kupata maelekezo na miongozo ya Serikali pamoja na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jisinsia, Wazee na Watoto.
Umesema kuwa matangazo mengi ambayo yametolewa na Wizara ya Afya yanashindwa kuwafikia watu wenye uziwi kwani hakuna watalaam wa...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jan
BUNGE LA LA KATIBA: Weledi, hekima na nidhamu
KWA tafsiri yoyote iwayo, Bunge la Katiba litakuwa chombo kikuu kitakachopewa mamlaka na madaraka kwa niaba ya wananchi, kuijadili rasimu ya pili ya Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano ya...