Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZUIA MAZISHI YA BIBI YAO

Stori: Victor Bariety, Sengerema
WAJUKUU wa marehemu Sabina Ngalu (77) wameibua kutuko makaburini kufuatia kuzama ndani ya kaburi la marehemu huyo na kugoma kutoka wakidai kwamba mpaka walipwe shilingi laki moja (100,000), Uwazi lina mkanda mzima. Wajukuu wa bibi huyo wakiwa kaburini. Tukio hilo la aina yake lilijiri mwishoni mwa wiki iliyopita katika Kitongoji cha Nyamwanza Kata ya Sima wilayani Sengerema mkoani Mwanza muda...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Polisi wazuia mazishi ya Aisha Madinda hadi kesho

Jeshi la polisi limezuia mazishi ya aliyekuwa mnenguaji wa Twanga Pepeta na Extra Bongo, Aisha Madinda hadi hapo mwili wake utakapofanyiwa uchunguzi kutokana na utata wa kifo chake.

 

10 years ago

Vijimambo

MAZISHI YA DADA, MAMA, BIBI BETTISHEBA KETANG'ENYI MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR

Mtoto wa marehemu Frederick Ketang'enyi akiwa amebeba msalaba katika makaburi ya Kinondoni kwenye mazishi ya mpendwa mama yake yaliyofanyika siku ya Jumamosi Octoba 10, 2015 jijini Dar.Wanafamilia wakiwa wamebeba jeneza lililobeba mwili wa mpendwa dada, mama bibi Bettisheba Ketang'enyi katika kumpumzisha katika nyumba yake ya milele kulikofanyika siku ya Jumamosi Octoba 10, 2015 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.Padri akiongoza ibada ya mazishi katika makaburi ya Kinondoni...

 

10 years ago

Vijimambo

MAZISHI YA MAMA YAO MZAZI WA WANAHABARI DOTTO, KULWA NA NICO MWAIBALE KATIKA KIJIJI CHA KIBUMBE RUNGWE MBEYA.

Bi. Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wakeMwili wa Marehemu Twitikege Mlagha Mafumu ukiifadhiwa katika nyumba yake ya Milele katika  kijiji cha Kibumbe,Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya leo Ndugu wa Marehemu wakiwa katika majonzi  Wanahabari wakiwa katika Msiba huo Picha na Tukio kamili Baadae Na Mbeya yetu

 

9 years ago

Mwananchi

Uchaguzi Zanzibar wazuia mabilioni

Kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar kumesababisha bodi ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) linalomilikiwa na Serikali ya Marekani kuahirisha kuidhinisha mkataba ambao ungeiwezesha Tanzania kupata mabilioni ya fedha za miradi ya maendeleo,.

 

10 years ago

Mtanzania

Wananchi wazuia msafara wa Lowassa

LOWASSA MUHEZA 1Na Fredy Azzah, Korogwe

MSAFARA wa mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, jana ulizuiwa na wananchi katika maeneo mbalimbali mkoani Tanga ambao sehemu nyingine walikuwa wamebeba madumu ya maji kumwonyesha jinsi wanavyotaabika na kero hiyo.

Tukio la wananchi kusimamisha msafara wake wakiwa wamebeba madumu ya maji lilijitokeza katika eneo la Mkata wilayani Handeni ambao wananchi hao walimwambia   kuwa hiyo ni...

 

10 years ago

Mtanzania

Wananchi wazuia msafara wa Kinana

kinanaNA ELIYA MBONEA, BAHI
MAMIA ya wananchi katika Kata ya Msisi, Wilaya ya Bahi, Mkoa wa Dodoma, wamesimamisha msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, wakitaka kupata ufafanuzi wa majengo ya Shule ya Msingi Msisi yaliyoezuliwa na mvua mwaka 2011.
Kinana alikutana na hali hiyo juzi saa 12:30 jioni alipokuwa akitoka katika vijiji vya Kongogo, Chonde, Irindi, Nguju na Lamaiti akielekea mjini Dodoma.
Kinana yuko mkoani Dodoma kushiriki shughuli za maendeleo, kukagua utekelezaji wa ilani...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwenge ‘wazuia’ mahabusi Mbeya

Wakati Mwenge wa Uhuru ukizua mvutano mkali bungeni, Dodoma kiasi cha Waziri Mkuu Mizengo Pinda kusimama na kutoa ufafanuzi, ujio wa Mwenge huo wilayani Mbozi mkoani, Mbeya umesababisha mahabusi waliokuwa wakisubiri kupelekwa mahakamani jana kukosa gari kwa madai liko kwenye ziara ya Mwenge huo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtowisa wazuia mkutano wakidai gari

WAKAZI wa Kata ya Mtowisa wilayani Sumbawanga, Rukwa wamewakatalia madiwani sita wakiongozwa na Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya hiyo kufanya mkutano wa hadhara kwenye eneo lao wakishinikiza gari la wagonjwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi wazuia maandamano ya wafuasi wa Chadema

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya  Dar es Salaam, limeyapiga marufuku maandamano ya Chadema yasiyo na kikomo ya kupinga  kinachodaiwa ‘uporaji wa demokrasia’.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani