Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WEMA AUFUATA MPIRA WA NGASSA TAIFA

Wema Issac Sepetu. Na Shakoor Jongo
STAA katika tasnia ya filamu Bongo Wema Issac Sepetu leo atatinga Uwanja wa Taifa kushuhudia mechi ya mwisho ya Simba na Yanga baada ya hapo atachukuwa nafasi hiyo kwenda kumdai Mrisho Ngasa mpira wake. Akizungumza na Championi Jumamosi katika ofisi za gazeti hili zilizopo Bamaga jijini Dar, Wema alisema hajawahi kwenda uwanja wa taifa kuangalia mechi ya aina yoyote ile zaidi ya mabonanza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ngassa ataka Taifa Stars ivunjwe

Winga wa zamani ya Yanga, Halfani Ngassa amesema anashangazwa na uteuzi wa wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’.

 

11 years ago

GPL

Nooij amtema Ngassa Taifa Stars

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mart Nooij. Na Khadija Mngwai
KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Mart Nooij, amemuondoa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa katika kikosi chake kitakachoivaa Msumbiji. Mshambuliaji wa timu ya Yanga na timu ya …

 

11 years ago

Michuzi

MAZUNGUMZO KUHUSU MECHI YA MPIRA WA MIGUU KATI YA TWIGA STARS NA TIMU YA TAIFA YA ZAMBIA

 Pichani Balozi Grace MUJUMA  na maafisa wa Ubalozi Mr Jeswald Majuva na Mr Mogosi Munata wakizungumza na viongozi wa timu ya Twiga Stars Bw Ahmed Mgoyi kiongozi wa Msafara na Bw Boniface Wambura walipofika kwenye Ofisi Za Ubalozi wa TANZANIA Lusaka Zambia kabla ya pambano la mpira litakalofanyika Leo Ijumaa tarehe 14.2.2014 kwenye Uwanja wa Nkoloma uliopo jijini Lusaka.mpambano huo unategemewa kuwa mkali kwani pande zote zimeonyesha nia ya kuibuka na ushindi.

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA TAIFA LA HIFADHI YA JAMII LAANZA MCHAKATO WA KUWASAKA WENYE VIPAJI VYA MPIRA WA MIGUU.

Itakumbukwa kuwa mnamo tarehe 26/01/2015 Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lilisaini mkataba maalum na timu ya Real Madrid ya Nchini  Hispania ya kuanzisha na kuendesha kituo cha michezo (NSSF- REAL MADRID Sports Academy) kwa lengo la kuibua, kuendeleza na kukuza vipaji kwa mpira wa miguu. Shirika la NSSF litajenga kituo hicho katika eneo la Mwasonga Kigamboni nje kidogo ya mji wa Dar es Salaam na wataalamu kutoka timu ya Real Madrid watatoa mafunzo kwa vijana wa umri wa miaka13...

 

10 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa ya wanawake ya Mchezo wa Mpira wa Magongo yakabidhiwa bendera kabla ya kuelekea Afrika ya kusini baada ya

 Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Michezo, Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Bi Juliana Yassoda akimkabidhi bendera Nahodha wa Timu ya Taifa ya wanawake ya  Mchezo wa Mpira wa Magongo  Bi Kidawa Abdallah katika hafla ya kuwaaga  wachezaji hao wanaoelekea nchini Afrika Kusini kwenye mashindano ya  mchezo huo yanayotarajiwa kuanza hivi karibuni. Wa kwanza kulia ni Afisa Mkuu wa Fedha kutoka Benki ya NMB Bw. Waziri BarnabasAfisa Mkuu wa Fedha kutoka Benki ya NMB Bw....

 

11 years ago

GPL

WEMA: NIKIFA NIAGWE UWANJA WA TAIFA

Stori: Imelda Mtema
Kazi ipo! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ambaye huwa haishiwi habari, ameibuka na jipya akidai kuwa akifa leo au kesho basi aagwe Uwanja wa Taifa jijini Dar, Ijumaa Wikienda limemtegea sikio. Wema Isaac Sepetu. Miss Tanzania huyo wa 2006/07 ambaye anakimbiza kwenye sinema za Kibongo alifunguka hayo wikiendi iliyopita wakati akiwa safarini kuelekea jijini Arusha ambapo msanii anayemilikiwa na kampuni...

 

11 years ago

Bongo Movies

Diamond atangaza rasmi kufunga ndoa na Wema. Apanga kufanya harusi uwanja wa taifa

Msanii huyo ghali zaidi nchini kwa sasa, ametamka hayo alipozungumza na Mwanaspoti nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam juzi Jumatano. Alisema kuna mambo mengi yaliyomchelewesha kufikia hatua hiyo, ikiwamo maandalizi kwani amepanga mashabiki wake wahudhurie harusi hiyo.

“Ndoa ni kitu cha heri na baraka, lakini kitu kinachofanya kidogo mambo yachelewe ni kwamba sisi au mimi ni mtu ninayefahamika, kwa hiyo hata ndoa yangu watu wengi wanatamani waihudhurie,” alisema Diamond.

Pia...

 

9 years ago

Michuzi

Habari njema: Michango ya wasamaria wema yafanikisha Dada Joyce wa Mbeya kuwasili Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu

Ndugu Wasamaria wema,
Tunapenda  kutumia fursa hii kuwapa updates kuhusu dada Joyce Mwambepo, mkaazi wa Sinde jijini Mbeya mwenye umri wa miaka 27 ambaye anaishi na bibi yake mwenye umri wa miaka 80 pamoja na mwanaye mwenye umri wa miaka 4.


Kwa bahati mbaya mwezi April mwaka jana dada huyu alipata ajali ya kugongwa na gari ambalo dereva wake hakusimama kumsaidia. Ila kwa msaada wa wasamaria wema alipelekwa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mbeya ambako inasemekana alikaa kwa miezi mitatu bila...

 

10 years ago

Mtanzania

Ngassa gumzo Etoile

ngassaNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

KOCHA wa timu ya Etoile Du Sahel, Benzarti Faouzi amempigia saluti mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa kuwa ni mchezaji mwenye kasi na uwezo mkubwa.

Ngassa alionyesha kiwango kikubwa wakati timu yake ikivaana na Watunisia hao kwenye mchezo wa raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika ulioisha kwa sare ya bao 1-1.

Akizungumza jijini Dar es Salaam mara baada ya mchezo huo kocha huyo alisema, Ngassa ameweza kuendana na kasi waliyokuwa nayo wachezaji wake na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani