Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIZARA YA UJENZI YAMUAGA JK

 Rais Jakaya Kikwete akihutubia wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi wakati wa hafla maalum ya kumuaga iliyoandaliwa na Wizara hiyo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja.
 Waziri wa Ujenzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia kwenye hafla ya kumuaga Rais Jakaya Mrisho Kikwete iliyoandaliwa na Wizara ya Ujenzi.


 Wahandisi mbali mbali wa Wizara na wasiokuwa wa Wizara walijumuika pamoja kwenye hafla ya kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete
 Wageni waalikwa kutoka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Ujenzi yamuaga JK kwa kishindo Dar

jkaRais Jakaya Kikwete akihutubia wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi wakati wa hafla maalum ya kumuaga iliyoandaliwa na Wizara hiyo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja.

 Wahandisi mbali mbali wa Wizara na wasiokuwa wa Wizara walijumuika pamoja kwenye hafla ya kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete

 Wageni waalikwa kutoka taasisina mashirika mbali mbali walishiriki kikamilifu.

 Rais Jakaya Kikwete akikabidhiwa ufunguo wa trekta lake alilopewa zawadi kwenye hafla ya...

 

9 years ago

Vijimambo

WIZARA YA MAMBO YA NJE YA MAREKANI YAMUAGA BALOZI AMINA SALUM ALI

 Wafanyakazi wa Umoja wa Afrika Washington, DC wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi Amina Salum Ali, Balozi wa Afrika Union aliyemaliza muda wake siku ya Jumanne Sept 1, 2015 katika ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani zilizopo DC kwenye hafla fupi ya kumuaga aliyofanyiwa na Wizara hiyo. Duputy Assistant Secretary wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani  akiongea na kumwagia sifa Balozi Amina Salum Ali. Balozi Amina Salum Ali akiwashukuru Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kwa...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAMBO YA NJE YAMUAGA BALOZI WA SWEDEN ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Irene Kasyanju akizungumza wakati wa hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Wizara kwa ajili ya kumuaga Balozi wa Sweden hapa nchini ambaye amemaliza muda wake wa kazi, Mhe. Lennarth Hjelmaker. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam hivi karibuni.Balozi wa Sweden anayemaliza muda wake wa kazi hapa nchini, Mhe. Lennarth Hjelmaker akimsikiliza Balozi Kasyanju (hayupo pichani)...

 

10 years ago

Vijimambo

WIZARA YA MAMBO YA NJE YAMUAGA BALOZI WA INDIA ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI


Balozi wa India nchini Tanzania anayemaliza muda wake wa kazi, Mhe.Debnath Shaw akitoa hotuba yake ya kuaga mbele ya wageni waalikwa wakiwemo  baadhi ya Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini wakiongozwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya wakati wa hafla ya chakula cha mchana iliyofanyika katika Hoteli ya New Afrika Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Julai, 2015.
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAMBO YA NJE YAMUAGA RASMI BALOZI WA UBELGIJI ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Irene Kasyanju akitoa hotuba wakati wa kumuaga Balozi wa Ubelgiji ambaye amemaliza muda wake wa kazi hapa nchini, Mhe. Adam Koeler huku Balozi huyo (wa kwanza kulia waliketi) na wageni waalikwa wakimsikiliza. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Julai, 2015. Katika hotuba yake Balozi Kasyanju alimsifu Balozi Koeler kwa kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Ubelgiji.

 

11 years ago

Michuzi

Wizara ya Mambo ya Nje yamuaga rasmi Balozi wa Norway nchini aliemaliza muda wake

Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akisoma hotuba kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernad K. Membe (Mb.) kwa ajili ya kumuaga Balozi wa Norway nchini, Mhe. Ingunn Klepsvik ambaye amemaliza muda wake wa kazi. Hafla hiyo fupi ya chakula cha mchana ilifanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency, Dar es Salaam.Balozi Mushy akimkabidhi Balozi Klepsvik zawadi ya picha ya kuchora ya Twiga  kama ukumbusho wake kwa TanzaniaBalozi...

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAJI YAMUAGA NAIBU KATIBU MKUU INJ. MWIHAVA, YAMKARIBISHA INJ. KALOBELO

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Inj. Emmanuel Kalobelo akipokea nyaraka  kama ishara ya kukabidhiwa rasmi ofisi kutoka kwa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Inj. Ngossy Mwihava, wakishuhudiwa na Katibu Mkuu, Inj. Mbogo Futakamba.


Wizara ya Maji imemuaga rasmi aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Inj. Ngossy Mwihava na kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu mpya, Inj. Emmanuel Kalobelo katika Makao Makuu ya Wizara hiyo Ubungo Maji jana.



 “Naomba ushirikiano wenu ili tuweze kufanikisha azma ya...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Bunge kukwamisha bajeti Wizara ya Ujenzi’

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imesema kuwa haitapitisha bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa kile kilichoelezwa kubaini uozo wa ujenzi usiokidhi kiwango katika miradi ya miundombinu ya barabara wilayani Kyela mkoani Mbeya, ikieleza kwamba italazimika kutembea nchi nzima ili kujiridhisha na miradi hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wizara yaanza ujenzi vituo mipakani

WIZARA ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeanza kukamilisha utekelezaji wa ujenzi wa vituo vya utoaji huduma kwa pamoja mipakani vikavyosaidia kupunguza gharama za usafirishaji na kuondoa urasimu uliokuwepo. Akizungumza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani