Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizara yatishia kuifuta shule ya Mkorea

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Amali imetishia kuifutia usajili shule ya kimataifa ya Eden iliyopo Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, kwa madai ya kubainika kutoa mafunzo ya Biblia kwa wanafunzi wa shule ya msingi kinyume na utaratibu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MTOTO WA MATUMLA KUMVAA MKOREA MACHI 27

. Bondia mkongwe nchini Rashid Matumla, kutoka kushoto, Mohamed Matumla, Japhet Kaseba na Rais wa (TPBO), Yassin Abdallah 'Ustaadh' katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani). Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini Rais wa TPBO, Yassin Abdallah 'Ustaadh'. BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini Mohamed Matumla Jr ambaye ni mtoto wa gwiji wa zamani wa mchezo huo, Rashid Matumla ‘Snake...

 

9 years ago

Bongo5

China kuifuta sera ya kuzaa mtoto mmoja

Serikali ya China imeamua kuifuta sera yake ya kuzaa mtoto mmoja tu iliyodumu kwa kipindi kirefu. Sera hiyo ilianzishwa mwaka 1979 ili kupunguza ongezeko la watu katika nchi hiyo yenye watu wengi zaidi duniani. Hadi sasa China ina watu zaidi ya bilioni 1.357. Wapenzi waliokiuka sheria hiyo walikuwa wakiadhibiwa, kupigwa faini, kupoteza kazi na kulazimika […]

 

10 years ago

Mwananchi

Wizara yakwamisha ufadhili Shule ya Miono

Bagamoyo. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inadaiwa kukwamisha ufadhili wa Sh200 milioni katika Shule ya Sekondari ya Miono Bagamoyo, kwa mchepuo ya Sayansi, baada ya kompyuta zaidi ya 10 zilizotolewa na Kampuni ya Wakefield and Cushman ya Ubelgiji kupotea wizarani katika mazingira tata.

 

10 years ago

Habarileo

Wizara ya Elimu yazidi kuzibana shule binafsi

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Anne Kilango Malecela.WIZARA ya Elimu na Ufundi imesema itazifutia usajili shule zote za serikali au binafsi, zitakazobainika kukaidi agizo la wizara hiyo lililotolewa wiki iliyopita la kuacha kuweka viwango maalumu na tofauti za ufaulu kutoka kidato kimoja kwenda kingine.

 

9 years ago

Michuzi

timu ya Wizara ya Habari yatembelea shule ya msingi Mtendeni jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi Msaidizi Lugha, Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Hajjat Shani Kitogo aliyenyoosha mikono akiongea na baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya msingi Mtendeni iliyopo jijini Dar es Salaam wakati timu ya Wizara ilipotembelea shule hiyo kufanya utafiti kuhusu Majina Fiche.Majina Fiche ni majina yanayotolewa kwa njia ya mafumbo baada ya kutokea kisa au mkasa Fulani kwa jamii ikiwa na lengo la kukuza na kuendeleza...

 

9 years ago

StarTV

Wizara ya elimu nchini yaombwa kuangalia upya mitaala ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari

 

Wizara ya elimu nchini imeombwa kuangalia upya mitalaa ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ili iwe na uhusiano na mazingira halisi ya Watanzania.

Elimu inayotolewa sasa imekuwa ikilalamikiwa kuwa haimwezeshi mwanafunzi kumudu mazingira yanayomzunguka na badala yake inamsaidia kufaulu kutoka darasa moja kwenda jingine.

Katika mkutano huo Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Dokta Fidelis Mafumiko ameyasema hayo jijini Dar es salaam katika mkutano wa kufunga...

 

9 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI BWAWANI

Na Lucas Mboje, Dar es Salaam;

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulwakil(pichani) kesho Oktoba 16, 2015 anatarajia kuwa Mgeni rasmi kwenye sherehe za Mahafali ya kumi na mbili ya Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari ya Bwawani iliyopo Mkoa wa Pwani.

Kwa mujibu wa Taarifa kwa Vyombo vya Habari iliyotolewa leo Jijini Dar es Salaam na kusainiwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja inasema jumla ya Wanafunzi 95 wa Shule hiyo wanatarajia...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola yatishia W. Afrika

Mawaziri wa afya 11 kutoka nchi za Afrika magharibi wanakutana Ghana,kutafuta mkakati wa kudhibiti kuenea kwa Ebola

 

9 years ago

Mtanzania

Mahakama yatishia kumkamata Lwakatare

Pg.1Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana ilitishia kumkamata Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare baada ya kutokuwapo mahakamani hapo.

Kauli ya Hakimu Thomas Simba imetolewa  baada ya Mdhamini wa mshtakiwa, Paschal Mwita kudai mahakamani hapo kuwa mshtakiwa huyo hakuwapo  mahakamani na kwamba amesafiri kwenye shughuli zake za ubunge.

Wakili Mwandamizi wa serikali, Pamela Shinyambala alidai kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani