Yanga ilijituma licha ya kufungwa
Hans Pluijm amesema licha ya kufungwa na Etoile du Sahel nchini Tunisia,wachezaji wake wamejituma uwanjani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo27 Feb
BAO LA MAPEMA LA NGASSA LAIVUSHA YANGA ROUND YA PILI LICHA LA KULALA UGENINI 2-1
![DSC_0863-794466](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0863-794466.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-12z3gaCSKwY/VggJxkW7F2I/AAAAAAAH7Zg/-gItqRg9jE8/s72-c/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
BAADA YA KUFUNGWA 2-0 NA MAHASIMU WAO YANGA, SIMBA WAMLALAMIKIA REFA
![](http://3.bp.blogspot.com/-12z3gaCSKwY/VggJxkW7F2I/AAAAAAAH7Zg/-gItqRg9jE8/s640/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
Mkuu wa habari wa Simba leo jijini Dar es salaamTarehe 26-9-2015 jana jumamosi kulifanyika mechi ya ligi kuu ya vodacom Tanzania bara baina y a klabu yetu ya Simba na timu ya Yanga. Kwenye mchezo huo timu yetu imepoteza mchezo huo kwa kufungwa goli mbili kwa bila.
Tumeanza kuandika hvyo hapo juu kwa maksudi kuonyesha sisi Simba tumeyakubali matokeo hayo ya dakika tisini za mchezo na tutumie nafasi hii kiungwana kabisa kuwapongeza watani wetu wa jadi kwa ushindi huo...
10 years ago
Bongo513 Dec
Ray (Yanga) kumpa JB milioni 1 na kuvaa jezi ya Simba baada ya kufungwa
Kabla ya mechi ya ‘Nani Mtani Jembe’ kati ya Yanga na Simba mashabiki wa timu hizo mbili ambao ni wasanii wa filamu, Vicent ‘Ray’ Kigosi na JB walipinga yoyote atakayefungwa atavaa jezi ya mwenzake na kumkabidhi zawadi ya shilingi milioni 1. Ray ambaye ni shabiki wa Yanga itambidi avae jezi ya Simba pamoja na kumkabidhi […]
10 years ago
BBCSwahili23 Feb
Kocha:Tumejifunza licha ya kushindwa
Kocha wa kriketi wa Tanzania amesema kikosi chake kimepata uzoefu na kujifunza mengi wakati wa michuano ya vijana chini ya miaka 19 ya kufuzu kucheza kombe la Dunia .
10 years ago
BBCSwahili25 Apr
Nkurunziza kugombea licha ya pingamizi
Pierre Nkurunziza ameteuliwa na chama chake kugombea nafasi ya urais kwa awamu ya tatu katika uchaguzi mkuu wa mwezi June mwaka huu.
11 years ago
BBCSwahili27 May
Cameroun yashinda licha ya mejeraha
Cameroun ilisajili ushindi wa 2-0 dhidi ya Macedonia licha ya kukumbwa na majeraha
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Wema:azomewa licha ya Kujieleza
Muigizaji maarafu wa filamu nchini Tanzania,Wema Sepetu alizomewa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram
10 years ago
BBCSwahili21 Aug
Marekani yaishambulia IS licha ya onyo
Majeshi ya Marekani wameendelea kuishambulia maeneo yanayokaliwa na kundi la Islamic State licha ya onyo
11 years ago
BBCSwahili20 May
Tutanunua wachezaji licha ya vikwazo
Mabingwa Manchester City itanunua wachezaji licha ya faini ya UEFA
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania