Yanga wakacha kwenda Bagamoyo
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wameahirisha kambi waliyokuwa waifanye Bagamoyo mkoani Pwani na sasa itafanyika Dar es Salaam kwa ajili ya kutoa fursa kwa wachezaji wao wote kuunganika haraka.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania18 Sep
Bongo Fleva wakacha Tamasha la Sanaa Bagamoyo
NA FESTO POLEA
TAMASHA la 34 la kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililoanzishwa mwaka 1981 na Chuo cha Sanaa Bagamoyo (kwa sasa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo), linatarajiwa kufanyika kwa siku sita katika viwanja vya chuo hicho bila ya kuwa na ushiriki wa wasanii wa Bongo Fleva.
Mwenyekiti wa Tamasha hilo, John Mponda, alilieleza MTANZANIA kwamba hakuna msanii wa Bongo Fleva yeyote aliyejitokeza kuomba kushiriki katika tamasha hilo, jambo ambalo linaonyesha kutokuwa na...
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Yanga kuwasikilizia Waarabu Bagamoyo
WAWAKILISHI wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wanatarajiwa kuwasili nchini leo kutoka visiwani Comoro na watakwenda kujichimbia kambini Bagamoyo mkoani Pwani. Yanga juzi ilifanikiwa kusonga mbele baada ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcpMRlZG0d4aHrYaSifhqb3AmDqKXmqXzvf0tTJVocwsqZ*hQJhikM0W-67S5YYDX8S1l*l5sOGOTCVLuWj5pMxr/yangayazuiwa.gif?width=650)
Yanga yazuiwa kwenda Uturuki
11 years ago
Mwananchi06 Jan
Yanga kwenda Uturuki Alhamisi
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6Yi1*KCqJUQKkv5WM9YNpWTA40gpxFOkiSEaT3jgkZLbUqbimUfrMtWUGWg*kaVGPwhjG9VX-YHppJdw5QHsKVRRPwZeUc1w/14.gif?width=650)
Twite: Yanga imenizuia kwenda Lupopo
10 years ago
Tanzania Daima10 Sep
Ruksa Yanga SC kwenda Fifa — TFF
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limebariki safari ya klabu ya Yanga kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kupeleka suala la mshambuliaji Emmanuel Okwi, ingawa wao kama wasimamizi wa soka...
10 years ago
BBCSwahili24 Feb
Yanga yamuacha Coutinho kwenda Botswana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rkFK1BYzsGgVDzquRN-7HTTFe*mge0OQiUBejbdc4z1TZdp4m3ETacO*wdrZ1Ohg76MC7-Hg3HrAJYFYSWLMhv-8*BMM0NbI/straika.jpg)
Straika Yanga atangaza kwenda Stand
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ojSCGs3jvX0REptwiaIYRmNrQACuiRA58jzx9naU8q8xZrFkvFySPf6xf4ryh0aM5bSHT7VhzZ3Vh8rZsWc1*b9-isr9WdDE/1copy.jpg?width=650)
Friends of Simba wamzuia Tambwe kwenda Yanga