Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yona: BoT ilihusika kumpata mzabuni kukagua dhahabu

ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona (73) ameieleza Mahakama kuwa, Benki Kuu (BoT) ilihusika kusimamia mchakato wa kutafuta kampuni ya kukagua uzalishaji wa dhahabu nchini kwa njia ya zabuni.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

TheCitizen

Yona heaps blame on BoT

Former Energy and Minerals minister Daniel Yona yesterday told Kisutu Resident Magistrates’ Court in the city that the Bank of Tanzania (BoT) controlled the entire process of hiring Alex Stewart Assayers.

 

11 years ago

Mwananchi

Yona: Dhahabu ilikaguliwa ‘bila kibali’

Waziri wa zamani wa Wizara ya Nishati na Madini, Daniel Yona amekiri katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa mchakato wa kumpata mkaguzi wa madini ya dhahabu nchini ulianza bila ya kuwapo kwa kibali cha maandishi cha rais.

 

5 years ago

Michuzi

MZABUNI WA MADIRISHA UJENZI WA IKULU NDOGO HANANG AKAMATAWA NA TAKUKURU

Charles James, Michuzi TV

BAADA ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Hanang Mkoani Manyara kubaini madirisha yaliyowekwa katika ujenzi wa Ikulu Ndogo unaoendelea wilayani hapo hapo chini ya kiwango umemkamata na kumshikilia Joakimu Kauki kwa tuhuma hizo.

Kauki ndiye aliyepewa tenda ya uzabuni ya kutengeneza madirisha ya Aluminum na ofisi ya manunuzi Mkoa wa Manyara kwa jengo la Ikulu Ndogo inayojengwa wilayani Hanang.

Uchunguzi uliofanywa na TAKUKURU umebaini pia...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema kumpata mwenyekiti leo

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo kinafanya uchaguzi mkuu wa kumpata mwenyekiti na makamu wenyeviti wake watakaokiongoza chama hicho kwa miaka mitano ijayo huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa mwanasiasa mkongwe wa nchini Kenya, Raila Odinga.

 

10 years ago

GPL

FANYA HIVI KUMPATA ANAYEKUFAA

NIjambo la kumshukuru sana Mungu kwa wapenzi wasomaji wa XXlove kukutana tena, wiki iliyopita tulizungumzia juu ya hakuna haja ya kuhuzunika kwa kuachwa, bali jipe moyo kwa sababu utampata akupendaye. Leo napenda tujifunze namna ya kufanya ili kumpata atakayekufaa kama mwandani wako. Miongoni mwa fumbo ambalo majibu yake huwa ni magumu kwa mwanadamu ni suala la kumpata mtu anayefaa katika uhusiano wa kimapenzi kama mume au...

 

11 years ago

Habarileo

Shindano kumpata mjasiriamali bora

SHINDANO la kumtafuta mjasiriamali atakayeweza kufanya kazi kwa kuboresha maisha ya watoto waishio katika mazingira magumu linazinduliwa leo rasmi jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

FANYA HIVI KUMPATA ANAYEKUFAA-2

Karibu katika muendelezo wa mada yetu tuliyoanza wiki iliyopita, mada yetu inajieleza hapo juu.Tulijifunza wiki iliyopita kabla ya kutafuta atakayekufaa na kukupenda, wewe binafsi unapaswa kufanya yafuatayo; Jiepushe na makundi
Umri wa kijana ndiyo pekee wenye changamoto nyingi sana katika uso wa dunia kama vile ; vishawaishi, tamaa, majaribu na mengineyo. Kama kijana unapaswa uchague watu wa kuwa nao usipende kufuata mkumbo...

 

10 years ago

Mtanzania

Bagamoyo kumpata Miss Bomba leo

MTZ Alhamisi new july.inddNA PATRICK MWILLONGO, BAGAMOYO

WILAYA ya Bagamoyo, mkoani Pwani, inatarajia kumpata mlimbwende katika shindano la IPAM Mrembo Bomba,
linalotarajiwa kufanyika leo usiku katika ukumbi wa Sky Light, wilayani hapa.

Muandaaji wa shindano hilo, Abdallah Mtangwelah wa kampuni ya Tangwe Man Entertainment, aliwataja warembo wanaowania taji hilo kuwa ni Kalisa Anderson, Katrina John, Fatuma Kassimu, Lulu John na Mariamu Peter.

Wengine ni Salama Jonson na Lulu William, ambao walikuwa wakinolewa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani