Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Z’bar yasaka fedha kulinda ubora

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema inahitaji Sh12 bilioni kufanikisha kuondoa tatizo la ukosefu wa maabara za kuchunguza viwango vya ubora wa bidhaa zinazoingizwa hapa kabla ya kuuzwa katika soko la ndani la Zanzibar.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Kamati yasaka timu za wanawake Z’bar

KAMATI ya Maendeleo ya Soka la Wanawake imesema kuwa inajipanga kuelekeza nguvu zake vijijini ili kuongeza idadi ya timu za mchezo huo kwa wanawake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBF yasaka fedha Kombe la Mapinduzi

VIONGOZI wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), wanatafuta fedha za kuisafirisha timu ya taifa ya Tanzania Bara kwenda Zanzibar kushiriki mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayoendelea visiwani humo....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yasaka fedha kujenga minara ya simu

SERIKALI imesema imeamua kutafuta fedha na kujenga minara yenyewe badala ya kuzitegemea kampuni za simu. Akijibu swali bungeni jana, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, alisema wizara...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bugadea yasaka fedha ujenzi kituo cha afya

WAKAZI wa Kata ya Buganguzi katika Wilaya ya Muleba, wameamua kuchangishana fedha kwa ajili ya kujenga kituo cha afya  kitakachogharimu zaidi ya sh milioni 500. Uamuzi huo umefikiwa na wakazi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yasaka fedha ujenzi barabara ya Njombe-Ludewa

SERIKALI imesema inaendelea kutafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Njombe hadi Ludewa Mjini. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Ujenzi, Gerson Lwenge, wakati akijibu...

 

10 years ago

Michuzi

TBS NA TFDA WATAKIWA KUDHIBITI BIDHAA ZISIZO NA UBORA ILI KULINDA UCHUMI

 Picha na maktabaNa Woinde Shizza,Arusha 
Mamlaka ya Chakula na dawa(TFDA) na Shirika la Viwango nchini(TBS), wameshauriwa kuwadhibiti zaidi wafanyabiashara wasio waaminini ambao wanaingia nchini bidhaa sizizo na ubora kwani wanaporomosha uchumi.
Meneja masoko wa kampuni ya  Wrigleys (EA) Company Ltd, Emanuel Laswai, alitoa kauli hiyo juzi, katika uzinduzi wa bidhaa mpya za kampuni hiyo ya Doublemint  nchini Tanzania.
Laswai alisema, uingizwaji wa bidhaa feki na zisizo na ubora zina  athari za...

 

10 years ago

Habarileo

Waziri- Fedha za kodi zinabaki Z'bar

WAZIRI wa Fedha wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Saada Mkuya Salum amesema fedha zote zinazokusanywa Zanzibar zinazohusu kodi, zinabakia Zanzibar kwa matumizi ya wananchi wake.

 

11 years ago

Habarileo

Mwanasheria Z’bar alia na tume ya pamoja ya fedha

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman, amesema kushindwa kuanza kazi kwa Tume ya Pamoja ya Fedha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ndiyo chanzo kikubwa cha misuguano na kero za Muungano.

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa, Membe, Pinda waonyeshana jeuri ya fedha Z’bar

>Hatimaye makada wa CCM wanaotajwa kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano, juzi walipata nafasi ya kutunishiana misuli baada ya kualikwa kuchangia mfuko wa maendeleo wa mkoa mpya wa CCM wa Magharibi visiwani hapa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani