Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZIARA YA DPP SINGIDA YAWAWEKA HURU WASHTAKIWA 99

Na Godwin Myovela, SingidaIDADI ya waliofutiwa Mashtaka na Ofisi ya Mashtaka ya Taifa kwa makosa mbalimbali kwenye magereza ya wilaya za Manyoni na Iramba mkoani hapa sasa imefikia 99.Watuhumiwa 85 walioachiwa kwenye gereza la Manyoni ni wale wenye makosa yanayohusiana na kesi za uhujumu uchumi, udanganyifu na rushwa, huku 14 wa gereza la Iramba Kiomboi ni wale wa makosa mchanganyiko.Akiwa kwenye ziara ya kutembelea wadau wa ‘Haki Jinai’, mkoani hapa, hivi karibuni, Mkurugenzi wa Mashtaka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

HURU: Washtakiwa Kesi ya Tabata Dampo huru

>Aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa Ilala, John Lubuva na wenzake wanne waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia Serikali hasara, wameibuka kidedea katika kesi hiyo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Mahakama Moshi yaawachia huru washtakiwa 9 na kuwatia hatiani 3 kesi ya mauaji ya NMB Mwanga

moshi 1

Mshtakiwa namba 3, Kalisti Joseph Kanje (aliyebeba mafaili), Mshtakiwa namba moja, Samwel Gitau Saitoti (alifunika uso) na mwenzake Mshtakiwa namba 2, Michael Kimani wakitoka nje ya mahakama kuu baada  ya mahakama hiyo kuwatia hatiani kwa kosa la kuua Askari polisi katika  tukio la uporaji wa benki ya NMB Mwanga.

moshi 2

Washtakiwa namba 4 hadi 12, wakisaidiwa kupanda kwenye gari la Polisi baada ya mahakama kuu  kanda ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, kuwaachia huru jana mchana katika kesi ya mauaji...

 

11 years ago

Michuzi

MAHAKAMA KUU KANDA YA MOSHI YAWAACHIA HURU WASHTAKIWA 9 NA KUWATIA HATIANI 3 KATIKA KESI YA MAUAJI YA NMB MWANGA

Mshtakiwa namba 3, Kalisti Joseph Kanje ( aliyebeba mafaili),  Mshtakiwa namba moja, Samwel Gitau Saitoti (alifunika uso) na mwenzake  Mshtakiwa namba 2, Michael Kimani wakitoka nje ya mahakama kuu baada  ya mahakama hiyo kuwatia hatiani kwa kosa la kuua Askari polisi katika  tukio la uporaji wa benki ya NMB Mwanga Washtakiwa namba 4 hadi 12, wakisaidiwa kupanda kwenye gari la Polisi baada ya mahakama kuu  kanda ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, kuwaachia huru leo mchana katika kesi ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana amaliza ziara yake Mkoani Singida kwa kuzuru Singida Vijijini

1. Mbunge wa Singida Mashariki Lazaro Nyalandu akimlaki Kinana wakati wa mapokezi katika kata ya Msisi, Singida Vijijini,  en

Mbunge wa Singida Mashariki Lazaro Nyalandu akimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakati wa mapokezi ya kiongozi huyo wa Chama,  katika kata ya Msisi, Singida Vijijini, jana Mei 26, 2014.

2. Kinana akivishwa mgolole  Kijiji cha Msisi kabla ya kufungua Ofisi ya CCM ya Jumuia ya Wazazi katika Kata hiyo, Singida Vijijini

Wanachama wa Jumuia ya Wazazi Kata ya Msisi wakimvalisha mgolole Kianana kabla ya kufungua tawi la Wazazi la Kata hiyo.

3. Kinana akifungua Ofisi ya CCM ya Jumuia ya Wazazi katika Kata ya Msisi, Singida Vijijini

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua tawi la Jumuia ya Wazazi Kata ya Msisi, wilaya ya Singiga Vijijini.

4. Kinana na Nyalandu wakishiriki kuvuna mtama shamba la mfano la mtama Kata ya  Mtinko

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akishiriki kuvuna...

 

11 years ago

Mwananchi

TFF yawaweka njiapanda Uhuru, Badru

>Uhuru Selemani na Ali Badru wamekalia kuti kavu baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuitaka Simba kupunguza mchezaji moja kati ya sita iliyowasajili katika usajili wa dirisha dogo kabla ya Januari 10.

 

11 years ago

Michuzi

KINANA KUANZA ZIARA YA SIKU 26 TABORA, SINGIDA NA MANYARA

*NI YA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM  *KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI  * KUKAGUA MAANDALIZI YA CHAMA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye  akiwa na baadhi ya waandishi wa habari watakaoungana na Katibu Mkuu wa CCM, Andulrahman Kinana, katika ziara ya siku 26 katika mikoa ya Tabora, Singida na Manyara itakayoanza kesho katika jimbo la Igunga mkoani Tabora. Nape alipiga picha na na waandishi hao leo baada ya kuzungumza nao kuhusu ziara hiyo,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ziara ya kuimarisha chama ya MNEC manispaa ya Singida, Hassan Mazala

DSC00878

Mjumbe wa halmashauri kuu CCM (NEC) taifa manispaa ya Singida, Hassan Philip Mazala, akizindua tawi la wajasiriamali wa Msimbazi kata ya Mwankoko.

DSC00899

Mjumbe wa halmashauri kuu CCM (NEC) taifa manispaa ya Singida, Hassan Philip Mazala, akihutubia wakazi wa kijiji cha Mwankoko wakati wa ziara yake ya kukiimarisha chama.Wa kwanza kushoto ni katibu CCM manispaa ya Singida, Magdalena Ndwete. DSC00913 Mjumbe wa halmashauri kuu CCM (NEC) taifa manispaa ya Singida,Hassan Philip Mazala ,akimkabidhi kadi...

 

11 years ago

Michuzi

ZIARA YA DKT JOHN POMBE MAGUFULI ZIARANI SINGIDA NA DODOMA

 Waziri wa Ujenzi Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli leo amefungua Mradi wa Taa za kuongozea Magari katika mji wa Dodoma.Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng.Musa Ibrahim Iyombe Mradi huo ambao umefanywa na wakandarasi Wazawa umegarimu shilingi Milioni 384.Mataa yaliyozinduliwa leo ni yaliyopo ANJIA PANDA ya Barabara ya Nyerere na Mpwapwa na yale yaliyopo njia panda ya Barabara ya Area D na barabara  ya kuelekea Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma  Dkt.Rehema Nchimbi kulia...

 

9 years ago

Michuzi

HAPA KAZI TU” YAWAWEKA SAWA WAFANYAKAZI WA DAWASCO

 Ofisa Mtendaji wa Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (Dawasco), Mhandisi Cyprian Luhemeja, akizungumza katika mkutano na wafanyakazi uliofanyika hivi karibuni Makao Makuu ya Dawasco jijini Dar es Salaam kuhusu utendaji kazi wa kazi. Wafanyakazi wa Dawasco wakimsikiliza Ofisa Mtendaji Mkuu wao.
Na Dotto MwaibaleUle usemi maaarufu wa "Hapa kazi tu"unaendelea kuimbwa na kufanyiwa kazi na Watanzazia wengi hususani watumishi wa Umma na serikali ili kuendana na kasi ya awamu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani