Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ziara ya wazee club ya arusha nchini Kenya

 Baadhi ya wanachama wa wazee club arusha  wakiwa na picha ya pamoja na watoto yatima jijini Nairobi  nchini kenya walipowatembelea siku ya pasaka  Arusha Wazee Club wakiwa Nairobi kwa michezo ya pasaka na timu ya wazee ya Green Yard 
  wachezaji wa Arusha Wazee Club wakipata chakula cha jioni jijini Naorobi nchini Kenya.
Timu ya Arusha Wazee Club wakiwa Nairobi kwa michezo ya pasaka na timu ya wazee ya Green Yard. Picha kwa hisani ya Kipepeo Tours...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

GEORGE TYSON KUAGWA LEADERS CLUB, KUZIKWA KISUMU NCHINI KENYA

Mwili wa mwongozaji na mtayarishaji wa filamu nchini, George Tyson utaagwa katika Viwanja vya Leaders na baadaye utasafirishwa kwenda nchini Kenya kwa mazishi. Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu, Tyson atazikwa Kisumu, Kenya Juni 7 mwaka…

 

11 years ago

Michuzi

Wasanii wa Filamu nchini kufanya ziara jijini Arusha

Tarehe 28 mwezi wa huu wa pili, supasta JB jacob Steven, Majuto, Irene Uwoya, Mboto, Beka na Irene Paul watakuwepo Arusha kutafuta wasanii chipukizi ambao wataigiza nao kwenye movie mpya...hii ni nafasi yako wewe kijana wa Arusha kuchukua fomu ya kujiunga, fomu zinapatikana Radio 5, Triple A na maduka ya Arusha Bongo shop yaliyopo stendi ndogo ya mabasi au piga namba 0784 959 509 na endelea kuangalia kipindi cha ulimwengu wa filamu kinachoruka kila jumamosi saa 4 asubuhi na marudio saa 5...

 

10 years ago

BBCSwahili

ZIARA YA RAIS OBAMA NCHINI KENYA

Rais Barrack Obama wa Marekani anaanza rasmi ziara yake ya siku tatu nchini Kenya baada ya kuwasili siku ya ijumaa.

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE KATIKA ZIARA YA KUAGA NCHINI KENYA

 Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto akiongozana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe Haule wakisogea eneo la kupokelea wageni mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Jumapili jioni Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto akisalimiana na kikundi cha kuimba Accapella  eneo la kupokelea wageni mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Jumapili jioni
 Ndege la Shirika la Ndege la Air Tanzania iliyomchukua Rais Kikwete...

 

9 years ago

Mwananchi

Mambo usiyojua kuhusu ziara ya Papa Francis nchini Kenya

Kiongozi wa Katoliki duniani, Papa Francis ni kiongozi wa kwanza wa kanisa hilo kutoka mataifa ya Amerika aliyeko ziarani barani Afrika.

 

9 years ago

GPL

RAIS KIKWETE KATIKA ZIARA YA KUAGA NCHINI KENYA‏

 Rais Kikwete akishuka katika ndege  Rais Kikwete akilakiwa kwa furaha na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto…

 

10 years ago

Vijimambo

WANAHABARI WA VOA WATINGA NAIROBI, KENYA KUHABARISHA ZIARA YA OBAMA NCHINI HUMO

Kutoka kushoto ni Mohammed Mahmoud, Mwamoyo Hamza na Amos Wangwa wanahabari wa Voice of America (VOA) wakiwa katika picha ya pamoja mjini Nairobi nchini Kenya kuhabarisha yanayojiri katika ziara ya Rais wa Wamarekani Mhe. Barack Obama anayefanya ziara nchini Kenya.

 

10 years ago

Vijimambo

SAFARI CLUB IJUMAA HII MAY MOSI NI USIKU MAALUM WA MUZIKI WA WAZEE

Karibu tukumbe enzi zile za White House Kimara muziki wa Kamanyola kucheza bila jasho, Marashi ya Pemba, King Kikii na nyingine nyingi enzi za rangi ya chungwa FRIDAY NIGHT JAM @ CLUB SAFARI WASHINGTON, DC THE BEST AFRICAN SPOT IN DMV 4306 GEORGIA AVE, NW FROM 9PM-3AM COME AND MINGLE WITH YOUR FRIENDS MUSIC BY DJ LUKE
NO COVER CHARGEWazee tuzikumbuke enzi za Banda Beach Kigamboni
Karibuni sana Ijuma May MosiSafari Club

 

10 years ago

Vijimambo

SAFARI CLUB LEO IJUMAA MAY MOSI NI USIKU MAALUM WA MUZIKI WA WAZEE

Karibu tukumbe enzi zile za White House Kimara muziki wa Kamanyola kucheza bila jasho, Marashi ya Pemba, King Kikii na nyingine nyingi enzi za rangi ya chungwa FRIDAY NIGHT JAM @ CLUB SAFARI WASHINGTON, DC THE BEST AFRICAN SPOT IN DMV 4306 GEORGIA AVE, NW FROM 9PM-3AM COME AND MINGLE WITH YOUR FRIENDS MUSIC BY DJ LUKE
NO COVER CHARGEWazee tuzikumbuke enzi za Banda Beach Kigamboni
Karibuni sana Ijuma May MosiSafari Club

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani