Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zifahamu sababu za kusitisha ajira

Baada ya kuandika makala za ajira kwa wiki kadhaa mfululizo, nimepokea simu nyingi kutoka kila pande za nchi hii, moja ya meseji ilisema hivi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Chris Brown adai kuwa Karrueche Tran hakumpiga chini bali yeye ndiye amempiga kibuti, zifahamu sababu

Vyanzo vya karibu na mwimbaji Chris Brown vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa Chris ameshangazwa na habari za hivi karibuni kuwa amepigwa chini na mpenzi wake wa On/Off Karrueche Tran, na kudai kuwa yeye (Chris) ndiye aliyempiga kibuti mrembo huyo. Vyanzo hivyo vimesema kuwa Breezy amemuacha Karrueche baada ya kugundua alikuwa anawasiliana na kuwatumia picha wanaume […]

 

10 years ago

Mtanzania

Dk. Masha: Nilikosa ajira sababu ya Nyerere

Dk. Fortunatus Masha

Dk. Fortunatus Masha

NA ABUBAKARI AKIDA, MWANZA

BAADA ya kimya kirefu, hatimaye aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi wa kwanza wa TANU na baadaye kufukuzwa katika chama hicho mwaka 1968, Dk. Fortunatus Masha, ameibuka na kusema matatizo yaliyokuwapo kati yake na Mwalimu Julius Nyerere yalichangia asipate ajira ndani na nje ya Afrika Mashariki.

Dk. Masha ambaye kwa sasa ni mwanachama wa Chama cha UDP, alisema hayo katika mahojiano maalumu na MTANZANIA yaliyofanyika jijini hapa ambapo pamoja na mambo...

 

10 years ago

Mwananchi

Sababu za wahitimu wa Tanzania kufanya vibaya katika ajira

Mwaka 1970 wakati wa hafla ya kusherehekea miaka 10 ya kuanzishwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mwalimu Julius Nyerere, alibainisha kazi kuu tatu za chuo k ikuu.

 

5 years ago

Michuzi

ZIFAHAMU SHERIA 17 ZA MPIRA WA MIGUU .


1. UWANJA


Kwa kawaida uwanja wa mpira Wa miguu huwa na Urefu Wa mita 100  –  120  na Upana Wa mita  50 – 60 . Kwa kawaida Uwanja Wa mpira Wa miguu Una alama za mistari ambazo ni pamoja na


– Mstari mrefu pembeni mwa Uwanja Unaoashiria mwisho Wa Uwanja .

 – Mstari mrefu Wa Katikati Unaogawa Uwanja katika pande 2 Zilizolingana .katikati ya Uwanja kuna mduara wenye nusu kipenyo cha mita 9.15.

 – Mstari mrefu Upande Wa goli Unaoashiria mwisho Wa Uwanja upande Wa goli .

 – Pia kuna nusu duara katika...

 

9 years ago

Ykileo

ZIFAHAMU NJIA MADHUBUTI YA KUKABILIANA NA UHALIFU MTANDAO

Inaaminika kama ilivyo katika uhalifu mwingine wowote ni vigumu kumaliza kabisa tatizo ila kuna njia kadhaa ambazo kwa umoja wake zikifanyiwa kazi vizuri zinaweza kabisa kupunguza kwa kiasi kikubwa sana tatizo la uhalifu mtandao. Tatizo kubwa kubwa ni kua njia hizi zimekua zikiishia katika maandishi baada ya kujadiliwa na wanausalama mitandao ambapo mimi binafsi nilikua miongoni mwao.
Leo nitaangazia njia ambayo imeshika nafasi ya juu na imeonekana na uwezo mkubwa wa kuhimili uhalifu mtandao...

 

10 years ago

Bongo5

Zifahamu talaka 5 aghali zaidi za mastaa wa Hollywood

Wakati ambapo Chris Rock na mke wake wa zaidi ya miaka 18, Malaak Compton-Rock wakipeana talaka, mtandao wa Page Six umetoa orodha ya talaka tano zilizogharimu fedha nyingi zaidi. Nazo ni: Mel Gibson na Robyn Moore Mastaa hawa walioana kwwa kipindi cha miaka 28 kabla ya kuamua kuachana. Baada ya talaka yao kuwasilishwa, Robyn alipewa […]

 

9 years ago

Bongo5

Tazama picha za Halloween za mastaa wa Marekani, zifahamu pia sherehe hizo zina maana gani

Alicia Keys na SwKama wewe ni mtumiaji mzuri wa Instagram, bila shaka siku za hivi karibuni hasa Jumapili na Jumatatu hii umekuwa ukiona picha za mastaa kibao wa Marekani wakiwa wamevaa nguo za ajabu ajabu na kuandika #Happy Halloween! Alicia, Swizz Beatz na familia yao Tunaamini umeona pia baadhi ya watanzania wakiwa wamevaa nguo za aina hiyo na […]

 

10 years ago

Michuzi

WAKALA WA AJIRA TANZANIA WAELEZA MIKAKATI YAO YA KUWASAIDIA VIJANA WANAOKUBWA NA JANGA LA KUKOSA AJIRA

Afisa Habari wa Wakala wa Ajira Tanzania (TaESA) Jamilah Mbarouk akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuelezea mkakati wao wa kuanzisha mafunzo ili kuweza kuwasaidia vijana wahitimu ili wakabiliane na soko la ajira, Wakala umekuwa ukitoa mafunzo ya namna ya kushindania fursa za ajira. Mafunzo haya yamevutia watafutakazi wengi ambao tayari wako sokoni na walioko vyuoni. Aidha mafunzo haya yamewabadilisha vijana wengi waliohudhuria kuhusu suala zima la kuajiriwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani