Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zitto: CCM haibadiliki hata waje malaika

zittoNA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM

KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hata kipate malaika hakiwezi kubadilika, hivyo dawa pekee ni kukiondoa jumla madarakani.

Akizungumza jana wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kituo cha basi Tabata Segerea, Zitto alisema matatizo mengi ya nchi yamesababishwa na sera mbovu za CCM ambazo baadhi ya wagombea wake ndio waliokuwa wakizitunga, kuzitetea na kuzitekeleza.

“Kuna ambao wamekuwa watawala tangu...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Zitto Kabwe: CCM Imeoza…..Haiwezi Kubadilika Hata akija MALAIKA Kuiongoza

Tuesday, September 15, 2015 KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hata kipate malaika hakiwezi kubadilika, hivyo dawa pekee ni kukiondoa jumla madarakani. Akizungumza juzi wakati wa mkutano wa kampeni […]

The post Zitto Kabwe: CCM Imeoza…..Haiwezi Kubadilika Hata akija MALAIKA Kuiongoza appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Michuzi

MALAIKA NAKUPENDA MALAIKA...sings dr schaeffer as he leaves bukoba

With salams and jambo from IZAAS Medical Project in Bukoba, "All good times come to an end...It was time to leave", Said Dr Schaeffer while singing the song, MALAIKA NAKUPENDA MALAIKA  The photos of Zulfa before and after shows what type of miracles Dr Schaeffer can do.   Brother Ansarali Hemraj generously donated 17 cartoons of wheel chairs, crunches elbow sticks and walkers, he even donated $ 1200 for heir ttransport from Dubai to Tanzania.

 

10 years ago

Dewji Blog

Zitto Kabwe asema ACT Wazalendo haina hata chembe ya ufisadi, yawataka wananchi kukichagua

ZITO

Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jana kwenye viwanja vya Peoples Club Mjini Singida.

MGHWIRA

Mgombea Ubunge Jimbo la Singida Mjini kupitia ACT, Anna Mghwira.

MKUU MSAFARA

Mratibu wa ziara za viongozi wa ACT nchini Karama Kaila.

MKITI

Mwenyekiti wa ACT Mkoa wa Singida.

KATIBU

Katibu wa ACT Wazalendo Mkoa wa Singida akizungumza kwenye mkutano huo.

BABA

Zitto Kabwe akisalimiana na baba mzazi wa Mgombea Ubunge Jimbo la Singida Mjini Mzee Mghwira.

WANANCHI

 

9 years ago

Mwananchi

HONDOHONDO : Hata Marekani ilikuwapo ‘CCM’, ikafa

je, wajua kuwa kuna vyama vya siasa Marekani, Ufaransa, Ujerumani, Uingereza na kwingineko duniani viliwahi kushamiri na kutoa ama marais au waziri mkuu au chansela, lakini baadaye vilikataliwa na wananchi na vikafa?

 

10 years ago

Mwananchi

Mangula: Hata mkiandamana bure, Katiba haitabadilishwa hata nukta

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula amesema Katiba Inayopendekezwa imebeba mambo yote muhimu na hata kama yakifanyika maandamano nchi nzima haitabadilishwa hata nukta.

 

10 years ago

Mwananchi

Nape: CCM itashinda tu hata kwa goli la mkono

CCM imesema kuwa itahakikisha inarudi Ikulu hata “kwa bao la mkono” wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 25.

 

10 years ago

TheCitizen

Zitto says CCM lacks in leaders

Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo) party leader Zitto Kabwe yesterday criticised CCM’s presidential aspirants saying the big number of those wishing to succeed President Jakaya Kikwete was a sign of leadership vacuum in the country.

 

9 years ago

Mwananchi

Zitto alia rafu za CCM majimboni

Chama cha ACT-Wazalendo kimelalamikia rafu  zinazodaiwa kufanywa na  CCM, dhidi ya wagombea ubunge wa chama hicho kwenye  majimbo mbalimbali ya Tanzania Bara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zitto aungana na CCM kutaka kura ya wazi

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), ameunga mkono msimamo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kuwataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kupiga kura ya wazi katika kufanya uamuzi....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani