Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zitto: Lowassa alivuruga mipango yetu

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema nguvu ya aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa ilivuruga mpango wake wa kupokea wabunge 50 kabla ya Uchaguzi Mkuu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Zitto: Maisha yetu hatarini

Siku moja kabla ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuwasilisha bungeni, ripoti ya uchunguzi wa IPTL kuhusu ufisadi katika akaunti ya Escrow, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Zitto Kabwe amesema amekuwa akipata vitisho ili kuzuia ripoti hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto: Tumechezea elimu yetu tutajuta

Kila baada ya matokeo ya mitihani ya taifa kutolewa, taifa hugubikwa na mijadala mingi kuhusu hali ya elimu nchini.

 

10 years ago

Mtanzania

Chadema: Zitto ni adui yetu namba moja

MNYIKANa Bakari Kimwanga, Mwanza
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza kuwa adui yake namba moja ni Kiongozi Mkuu wa Chama cha Alliance for Change and Transparance (ACT-wazalendo), Zitto Kabwe.
Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Bara, John Mnyika akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Furahisha Mwanza juzi, alisema Chadema haiko tayari kuikaribisha ACT-Wazalendo ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutokana na kile alichosema ‘ni adui kwao’.
“Mtume Muhamad...

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi ACT-Wazalendo: Je, Zitto vs Jussa ni mchuano wa kweli ama mipango ya ndani?

Tofauti na vyama vingine vya upinzani viongozi wakubwa wachukua fomu za kuchuana kwenye veo vikubwa ACT.

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Turejeshe nchi yetu Tanzania!-Hotuba ya Mzalendo Zitto Kabwe #ACTWazalendo @ACTWazalendo

Turejeshe nchi yetu Tanzania!

Turejeshe nchi yetu Tanzania!

Turejeshe nchi yetu Tanzania!

Watanzania wenzangu, wageni waalikwa

Nawashukuru kwa kuwa pamoja nasi siku hii ya kihistoria.

Karibu Miaka 54 iliyopita tulipopata uhuru, Muasisi na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa kijana mwenye umri wa miaka 39, mwenye matumaini makubwa na taifa jipya na alikuwa na ndoto! Ndoto yake ilikuwa imejikita katika kuhakikisha taifa letu litakuwa taifa lisilo na umaskini, dhiki, ufukara; taifa lisilo na tofauti kubwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Shyrose Bhanji ‘alivuruga’ Bunge Eala Mashariki

Kwa siku zaidi ya 10 sasa, Bunge la Afrika Mashariki (Eala) limeshindwa kuendelea na vikao vyake mjini hapa kutokana na wabunge wake kugomea vikao hivyo vya mkutano wa pili, wakishinikiza kuchukukuliwa hatua kwanza kwa mmoja wa wabunge wake, Shy-Rose Bhanji wa Tanzania.

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa atikisa ngome ya Zitto

OTH_6079NA MAREGESI PAUL, KIGOMA

MAFURIKO ya mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, jana yalihamia katika Mji wa Kigoma ambako Zitto Kabwe anagombea ubunge kupitia Chama cha ACT- Wazalendo.

Kama ilivyokuwa katika maeneo mengine alikopita mgombea huyo, umati mkubwa ulijitokeza katika mkutano wake wa kampeni za urais uliofanyika katika uwanja wa mikutano wa Mwanga ambao umewashangaza hata wakazi wa eneo hilo waliosema ni aghalabu uwanja huo kujaa.

Akizungumza...

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa avunja ‘ndoa’ ya Zitto, Dk. Slaa

EDWARD NGOYAYE LOWASSANA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM

MKAKATI wa chama cha ACT Wazalendo kumtumia aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa kutumia jukwaa lake ‘kumchafua’ mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Ukawa, umegonga mwamba.

Kukwama kwa mkakati huo kunatokana na kuwapo msigano wa mawazo miongoni mwa viongozi wa ACT ambao waliona kumtumia Dk. Slaa kuiponda Chadema na hata Ukawa wataifanya jamii kuamini kwamba wao (ACT)...

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto atoa masharti kwa Lowassa

Mwanza. Kiongozi wa Chama cha ACT - Wazalendo, Zitto Kabwe amesema iwapo Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa anataka kugombea urais kupitia chama hicho afuate taratibu za chama ikiwamo kutangaza mali zake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani