Matokeo ya Utafutaji
9 years ago
Bongo Movies04 Jan
Lulu: Mnanipa Bichwa Mwenzenu
Staa mrembo wa Bongo Movies anayependwa na wengi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewapasha mashabiki wake mtandaoni kuwa wanavyozidi kumwagia misifa kwa urembo wake wanasababisha ajione kuwa yupo juu sana wakati yeye ni wakawaida.
“Mnajua mkiniongelea Sana mnanipa Bichwa Mwenzenunaanza kuona Kama bila mm vitu haviwezekani hivi
Msinifanyie hvyo…Najikuta MATAWI mwenzenu
wakati Sina lolote
”-Lulu
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Malaika: nimechoka kufananishwa na Lulu
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya anayefanya vizuri, Malaika Exavery.
Na Imelda Mtema
MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya anayefanya vizuri, Malaika Exavery amesema anakerwa na kitendo cha watu wengi kumfananisha na muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Akizungumza na gazeti hili, Malaika alisema huko nyuma alipokuwa akifananishwa na msanii huyo hakujali, lakini kadiri siku zinavyozidi kwenda imekuwa ni shida hadi wengine wanamsimamisha.
“Unajua kufananishwa na mtu siyo tatizo, lakini kwa hali...
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Lulu nitazaa bandika bandua
Mtoto mzuri katika tasnia ya sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Na Imelda Mtema
Mtoto mzuri katika tasnia ya sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameapa kuwa muda wa kuanza kuzaa ukifika, atazaa mfululizo bila kupumzika hadi lengo la idadi ya watoto anaowataka litimie.
Akizungumza na Bongo Movies ya Amani, Lulu alisema hakuna kitu anachokipenda kama watoto hivyo atakapojipanga na kuwa tayari kuzaa, itakuwa ni bandika bandua kwani anataka kuwa na watoto wengi.
“Jamani hakuna...
9 years ago
Bongo Movies21 Nov
Mobeto: Lulu Kanipora Bwana!
MAPENZI ya mjini utata mtupu! Ni kauli inayostahili kutumika baada ya mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Hassan Mobeto kumwaga chozi akidai kuporwa bwana’ke aliyekuwa akimpa jeuri mjini (jina tunalo) huku zigo la lawama likimwangukia staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
CHANZO KINASEMAJE?
Habari kutoka kwa chanzo makini zilieleza kwamba, kwa sasa kuna bifu jipya linalotokota mjini likihusisha sakata la Lulu kumpiku Mobeto kwa bwana’ke aliyekuwa akimgharamia kiasi cha kuwa...
9 years ago
Mwananchi15 Nov
Stars yachezea lulu baharini
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cDEmeB8bWGTJLmJ2QhqbXs8UD*fvTEC8UlA8kApa5D6nzq4wWvr-N2j-o-z0YYGquAmcqH*hlgMLxbSNIFsJZaQfOvaOK721/lulu.jpg?width=650)
LULU AMRITHI ZARI
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4bIsJDjFjL5JU69qxEbegbU*WuCLo7t03hdTGZXW01MxB8K5G1rdqL6Cz0hur19HsgTAkblnAlAkD7iUUxG41OTLfFx9q9jS/lulu1.jpg?width=650)
LULU BADO HAJIWEZI KWA BIEBER
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HfIXzVrPfI24CgyJIUtuxjMj3CsFBNkbcK2VEkF3jmb77X1R0vHQ1Tlb*YKa7qUCHbfjW9ngUiQAYQhs1PiQpk0hXDbTH1Of/lulu.jpg?width=650)
LULU, WEMA WAFIKA PABAYA
9 years ago
Mtanzania29 Sep
Lulu: Nataka wazee kimaendeleo
NA SHARIFA MMASI
MWIGIZAJI mahiri wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amesema hupendelea uhusiano wa kimapenzi na wanaume wenye umri mkubwa kwake ili aweze kujifunza mengi kutoka kwao hata kama hawatokuwa wote maisha yote.
Lulu alisema kipindi alipokuwa katika uhusiano na wanaume wakubwa, alijifunza mambo mengi ambayo yanaendelea kumuweka daraja la juu katika mafanikio ya maisha yake ya sasa.
“Kipindi chote ambacho nimejikita kwenye uhusiano wa kimapenzi, nilikuwa nikipenda kuwa na...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qvxzmt4uuyVj3grGgyQeFVjJi16doQawmFpuzA8-NgFlQhiP1iQ5B7clDpvCVJPUrkoGtMGV3Jy1n0Hu9SOVyzfTAmoDsMDf/Cheniiii.jpg?width=650)
DK. CHENI AFUNGUKA KUMUOA LULU