Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ahukumiwa kwa utekaji na mauaji

Mwanamume mmoja mwenye asili ya Palestina,amekutwa na hatia ya kuandaa utekaji nyara na hatimaye mauaji ya vijana watatu-West Bank.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mtanzania ahukumiwa maisha kwa mauaji

Mtanzania ,Charles Mihayo aliyekuwa akituhumiwa kwa mauaji ya binti zake wawili ,amehukumiwa kifungo cha maisha jela.

 

9 years ago

BBCSwahili

Fraizier Glenn ahukumiwa kwa mauaji

Wanasheria nchini Marekani wamemhukumu kwenda jela Fraizier Glenn mwenye umri wa miaka 74 kwenda jela kwa kosa la mauajia.

 

10 years ago

GPL

SALMAN KHAN WA BOLLYWOOD AHUKUMIWA JELA MIAKA 5 KWA MAUAJI

Mwigizaji maarufu wa filamu za Bollywood nchini India Salman Khan. Mwigizaji maarufu wa filamu za Bollywood nchini India Salman Khan amekuhumiwa kifungo cha miaka mitano jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mtu mmoja asiye na makazi alipokuwa akiendesha gari huku akiwa amelewa mjini Mumbai. Khan alikuwa ameshtakiwa kwa kuua bila kukusudia baada ya kuelekeza gari lake kwenye kundi la watu waliokuwa wamelala kwenye njia...

 

9 years ago

Mtanzania

Utekaji, mauaji vyatikisa Kyela

Na Mwandishi Wetu, Kyela

WIMBI la utekaji na mauaji ya watoto wa kike katika Kata ya Itunge Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya linatisha.

Hali imezidi kuwa mbaya, baada ya watoto wa kike kutekwa na kuuawa kinyama, kisha kunyofolewa viungo katika sehemu za miili yao.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Mwenyekiti wa Kitongoji cha Itunge Kaskazini, Amasha Amasha alisema  siku tatu zilizopita kumekuwa na matukio ya utekeji wa watoto, jambo ambalo limezua hofu kubwa katika eneo hilo.

Alisema mwanafunzi wa...

 

10 years ago

GPL

UTEKAJI, MAUAJI DAR SI SALAMA TENA

Stori: WAANDISHI WETU
NI kweli Dar si salama tena! Lile sakata la utekaji na mauaji ya watoto, sasa limechukua sura mpya na kulifanya Jiji la Dar kuwa mahali salama kwa kuishi kufuatia kutekwa na kuuawa kwa wasichana wawili na mfanyabiashara mmoja huku watoto wawili wakiwa hawajulikani walipo, Uwazi lina data za kutosha. Marehemu Jack enzi za uhai wake. Kwa nyakati tofauti, gazeti hili limewahi kuripoti mara kadhaa juu ya...

 

10 years ago

CloudsFM

MTUHUMIWAWA MAUAJI YA MWANAFUNZI WA TEKU AHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA.

ASKARImmoja kati ya watatu waliokuwa wakituhumiwa kwa mauaji kwa aliyekuwa mwanafunziwa Chuo kikuu TEKU, amehukumiwa kunyongwa hadi kufa huku wenzie wakiachiwahuru.

Hukumuhiyo ilitolewa katika Mahakama kuu kanda ya Mbeya na Jaji Rose Temba baada yakuridhishwa na ushahidi wa pande zote mbili uliotolewa mahakamani hapo kwanyakati tofauti.


Mwendeshamashtaka wa Serikali, Archiles Mulisa akisaidiwa na Catherine Paul aliwatajawashtakiwa kuwa aliyehukumiwa ni Askari polisi F5842DC Maduhu na...

 

10 years ago

GPL

ASAKWA NA POLISI KWA UTEKAJI

Na Makongoro Oging’
JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni jijini Dar, linamsaka mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Godfrey Mushi kwa kosa la kumshambulia na kumjeruhi Robert Ridoch Tillya ambaye ni mfanyakakazi wa Kampuni ya Global Publishers Limited. Godfrey Mushi anatafutwa na polisi kwa kosa la utekaji. Mushi ambaye awali alijitambulisha kwa Tillya kama ni askari polisi anadaiwa kufanya kosa hilo Februari 15,...

 

11 years ago

BBCSwahili

Palestina yalaumiwa kwa utekaji nyara

Waziri mkuu nchini Israel Benjamin Netanyahu amelishtumu kundi la wapiganaji wa Hamas kwa kuwateka nyara vijana watatu wa Israel.

 

5 years ago

Michuzi

MSHUKIWA WA MAUAJI YA BINTI WA KAZI KIZIMBANI KWA KESI YA MAUAJI NA MADAWA YA KULEVYA

Mtuhumiwa wa mauaji wa binti wa kazi Salome Zakaria,Mkami Shirima Akiwa amejifunika gubi gubi la mtandio wa dera akitoka kusikiliza kutajwa kwa kesi hiyo leo jijini Arusha.Mtuhumiwa wa mauaji wa binti wa kazi Salome Zakaria,Mkami Shirima Akiwa amejifunika gubi gubi la mtandio wa dera akitoka kusikiliza kutajwa kwa kesi hiyo. Pichani ni mtuhumiwa wa kesi ya mauaji ya binti wa kazi akiingizwa kwa hakimu mkazi mfawidhi Analia Mushi kutajwa kwa kesi yake huku akijifunika uso gubigubi kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani