Akamatwa na heroine za mil 64/-
MKAZI wa Tabata Liwiti, Dar es Salaam, Maulid Mfaume (36) amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA) akiwa na pipi 83 za dawa za kulevya aina ya heroin, zinazokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Sh milioni 64 zikiwa tumboni.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo14 Dec
Wasicha wadakwa na Heroine za mil. 135/-
WASICHANA wawili raia wa Tanzania wamekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakihusishwa na pipi 187 za dawa za kulevya aina ya heroin zenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 135 walizokuwa wamezimeza.
10 years ago
Habarileo05 Jan
Akamatwa na mil.400/-feki
JESHI la Polisi mkoani hapa linamshikilia mkazi wa Buzuruga jijini hapa, Zakaria Matiku Werema (35) baada ya kukamatwa akiwa na fedha bandia za Tanzania na za kigeni, ambazo kama zingekuwa halali zingekuwa na thamani ya zaidi ya Sh milioni 400.
10 years ago
TheCitizen17 Nov
Meet the unlikely heroine
11 years ago
Mwananchi03 Sep
Heroine zaongoza kuingizwa nchini
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Mliberia adakwa na Heroine JNIA
11 years ago
GPL
GONJWA LA RAY C HATARI, LAPUKUTISHA WATU MIL 2, MIL 100 WAAMBUKIZWA!
11 years ago
BBCSwahili28 Apr
Utata kuhusu Heroine iliyonaswa Kenya
11 years ago
BBCSwahili29 Aug
Kenya yaharibu Kilo 370 ya Heroine
5 years ago
Michuzi
KOKA AKABIDHI BAISKELI 95 ZENYE THAMANI YA MIL.25 PAMOJA NA BARAKOA,NDOO,SANITIZER ZA MIL .3



………………………………………………………………………………………………..
NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA .
MBUNGE wa Jimbo la Kibaha Mjini, Silvestry Koka, amekabidhi baiskeli 95 zenye thamani ya sh.milioni 25 kwa viongozi wa matawi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimboni humo ,kwa ajili ya urahisishaji wa utendaji kazi.
Aidha Koka ametoa ndoo za Maji,dawa ya kunawia mikono “Sanitizer” na barakoa zenye thamani ya sh.milioni 3 kwa ajili ya kutumika katika Ofisi za Chama za matawi na kata na kuwakumbusha kujihadhari dhidi ya Ugonjwa wa...