Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Akupigaye risasi mkono wa kuume, mpe amalizie wa kushoto

Siku za nyuma mtangazaji mahiri wa michezo wa zamani wa Redio Tanzania, Charles Hillary (sasa yupo BBC London) alishindwa kutamka jina la mchezaji. Siku hiyo Timu ya Tanzania ilipambana na timu ya Ghana katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Lukuvi aomba kuchaguliwa amalizie miradi ya maendeleo

Aliyekuwa mbunge wa Isimani (CCM), mkoani Iringa, William Lukuvi anayetetea tena kiti hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, amewaomba wakazi wa jimbo hilo kumchagua kwa mara nyingine ili akamilishe miradi ya maendeleo aliyoianzisha.

 

10 years ago

Africanjam.Com

TOFAUTI YA CHOZI LA JICHO LA KUSHOTO NA KULIA


Binadamu akilia machozi, chozi la kwanza likitoka kwenye jicho la kulia ni ishara ya furaha na chozi la kwanza likitoka kwenye jicho la kushoto ni ishara ya huzuni na uchungu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba limeanza kwa mguu wa kushoto!

NILIKUWA nasoma makala ya mwandishi Majid Mjengwa. Ilinikumbusha mbali sana. Ilinikumbusha hadithi aliyowahi kuitoa hayati Baba wa Taifa. Ni simulizi fupi ambayo Mjengwa aliitoa  akishiriki naye mjadala wa kinachoendelea Dodoma,...

 

9 years ago

Raia Mwema

Kwani ukisifu kulia, maana yake ni kusuta kushoto

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

9 years ago

Global Publishers

Oya jombaa… usifosi kiatu cha kushoto mguu wa kulia!

Inakuwaje wakali wangu wa nguvu? Oya masela barida? Basi kipande hii haina kwikwi chaliiangu. Ni mpango mzima makachaa wangu.

Ebana maandalizi ya kitu cha mnuso wa Eksimasi kwani vepee? Maana kama sielewielewi f’lani hivi. Naona pipo wapo bize kinoma hata hatupeani michongo kama ishu inakuwaje wazazi? Bati freshi hata kama chama langu hana kitu masti kitu cha holidei kihapeni.

Tangu tulipomingo lasti wiki kumekrosi mambo kibwena hadi tudei tunamiti hapa kwa fasi ya jamvini. Wanangu Saa Godi...

 

10 years ago

Habarileo

Steve Kilindo (kushoto). (Na Mpigapicha Wetu). RCC yapendekeza jimbo jipya la Ilula

KAMATI ya Ushauri ya Mkoa wa Iringa (RCC) imeridhia jimbo la Kilolo ligawanywe kutoa jimbo jingine la Ilula, kwa lengo la kurahisisha ufikishaji wa huduma bora kwa wananchi.

 

9 years ago

Vijimambo

CCM WANAENDELEA KUPIGA KUSHOTO NA KULIA,MWIGULU NDANI YA KAHAMA ,USHETU NA MSALALA HII LEO

Mwigulu Nchemba Mjumbe wa kamati ya kampeni ya Chama cha Mapinduzi akimnadi Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Msalala Ndg.Maige."Ilani ya Chama cha Mapinduzi imeweka bayana kuwa itajenga Reli ilikurejesha huduma za Kiuchumi zilizosimama kwa muda,Kwa hapa Msalala ujenzi wa Bandari kavu utaanza mapema baada ya kuanza kwa matumizi ya reli kama alivyoahidi magufuli.Hivyo wananchi mchagueni Magufuli akasimamie Ujenzi wa Reli,Ujenzi wa bandari kavu,Ujenzi wa barabara ya Rami kutoka Msalala kwenda...

 

11 years ago

GPL

MPE SABABU ZA KUKUFANYA WAKE WA MAISHA!

Nawatakia heri ndugu zangu Waislam popote duniani ambao mpo katika funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Mwenyezi Mungu awajalie, maana mnatimiza moja ya nguzo muhimu katika imani na Inshallah Mola awafanyie wepesi muweze kutekeleza vyema. Sasa turejee katika mada yetu ambayo naamini itawafumbua wengi. Watu wote wana umuhimu wa kuingia kwenye ndoa lakini kuna tofauti kidogo, kwamba mwanamke anasubiri kufuatwa na mwanaume, wakati...

 

10 years ago

GPL

NYAMA YA ULIMI MPE LAAZIZ WAKO

Mmmh mshaanza eti nimeishaingia mama Chaunabe, kitanga na njia nisiye na breki kwenye domo langu, wahenga wanasema kinywa cha mkubwa kinanuka lakini maneno hayanuki. Najua maneno yangu ya shombo huenda hayakufurahishi wewe, ambaye kila kukicha unabadili wanaume na kuonekana una hila. Shutuuu dada mwanamke tabia babu wee, mwanamke kujua mumeo anataka nini, mwanamke kujituma kwenye kiwanja kifupi cha sita kwa sita.
Unasahau cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani