Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ANYOFOA TITI LA MKEWE, ATAFUNA!

Dustan Shekidele, Moro My God! Mwanaume aliyetajwa kwa jina moja la Nigar, mkazi wa Kijiji cha Kinole, Morogoro Vijijini anadaiwa kumcharanga mapanga mkewe, Halima Abdallah (28) na kummyofoa titi kisha kulitafuna na kumgeukia mwanaye Tausi (3) na kumtenganisha kichwa na kiwiliwili. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1EwRaMm

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Atafuna Moyo wa adui wake A.Kusini

Mwanamume mmoja amekamatwa kwa mauaji ya mwanamume mwingine aliyekuwa na uhusiano wa kimapenzi na mpenzi wake za zamani

 

10 years ago

Bongo5

Rapper amuua mkewe na kujiua, mkewe alimsaliti na Trey Songz, Mayweather ashuhudia tukio zima la mauaji!

Rapper wa Marekani, Earl Hayes amemuua mke wake Stephanie Moseley aliyekuwa staa kwenye kipindi cha “Hit the Floor” cha VH1 kwa risasi na yeye kujiua kutokana na wivu wa mapenzi. Stephanie Moseley Hayes alikuwa ameumizwa na uhusiano wa kimapenzi aliokuwa nao mke wake na Trey Songz. Stephanie Moseley aliuawa nyumbani kwao na mume wake huyo […]

 

11 years ago

Mwananchi

Titi limetoboka, nisaidieni

Ni saa kumi jioni napandisha kilima kurejea mahali ninapoishi nikitokea Hospitali ya wilaya ya Kondoa mkoa wa Dodoma, kitengo cha akina mama wanaosubiri kujifungua, nafika katika Mtaa wa Chemchem nasikia nikiitwa, nilipogeuka nikakutana na mzee aliyejitambulisha kwa jina la Azidini.

 

11 years ago

GPL

DALILI ZA KUSAMBAA KWA KANSA YA TITI

Wiki iliyopita tuliendelea kueleza matatizo ya kansa ya matiti, leo tunaelezea dalili za kusambaa kwa saratani hii mwilini.Kitendo cha kansa kusambaa mwilini kupitia mkondo wa damu na limfu huitwa metastasis.  Kusambaa kwa saratani hadi kwenye viungo na tishu muhimu kama vile ubongo, ini, mifupa au mapafu  bado kunaufanya ugonjwa huo kuwa hatari. Dalili za saratani kusambaa mwilini ni maumivu ya mifupa, maumivu kwenye...

 

11 years ago

GPL

MASKINI MAMA HUYU, TITI LIMEOZA!

SOFIA Nsoba (45) mkazi wa Manzese - Uzuri jijini Dar es Salaam yuko katika mateso mazito kwa mwaka wa nne sasa baada ya kugundulika kuwa ana kansa ya matiti hali inayomfanya apoteze matumaini ya kuendelea kuishi kutokana na kukosa msaada wa matibabu. Sofia Nsoba mkazi wa Manzese - Uzuri jijini Dar es Salaam yuko katika mateso mazito kwa mwaka wa nne sasa baada ya kugundulika kuwa ana kansa ya matiti. Akisimulia mkasa huo wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Maumivu katika titi (breast pain)

Tatizo hili huwapata zaidi wanawake kuliko wanaume, hujulikana kitaalamu kama mastalgia, takribani theluthi mbili ya wanawake hukumbwa na tatizo hili. Kwa ufafanuzi ni maumivu yenye ukali wa kumfanya mwanamke atafute matibabu.

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE ALIPA MILIONI 33 KUONGEZEWA TITI LA TATU

Jasmine Tridevil katika pozi . MWANAMKE aliyejitambulisha kwa jina la Jasmine Tridevil (siyo jina lake halisi) mwenye umri wa miaka 21 amedai kufanyiwa upasuaji na kuongezwa titi la tatu kupitia mahojiano aliyoyafanya redioni. Jasmine ambaye ni raia wa Tampa jijini Florida nchini Marekani anayejishughulisha na utoaji huduma ya massage, alilipa kiasi cha dola za Kimarekani 20,000 sawa na milioni 33.4 za Tanzania kufanyiwa...

 

5 years ago

Michuzi

Upasuaji wa Saratani bila kuondoa titi waanza Mloganzila

Wataalam wa upasuaji, radiolojia, patholojia, tiba ya mionzi na dawa wamekutana kwa lengo la kujengeana uwezo ili kuboresha huduma za upasuaji kwa wagonjwa wanaogunduliwa na saratani ya matiti mapema ili kupunguza vifo vinavyotokana na ugonjwa huo.
Kwa mujibu wa takwimu za Hospitali ya Taifa Muhimbili zinaonyesha kuwa wanaogunduliwa na saratani ya matiti ni kati ya wanawake wenye umri wa miaka 40 hadi 80.
Hayo yamesemwa na Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Upendo Peneza: Binti mwenye fikra za Mandela, Biko, Nyerere, Bibi Titi

“KAMA miujiza ingekuwa jambo la hiari, ningeamua mara moja mimi niwe mwanachama wa ‘TANU Youth League,’ ili niwe miongoni mwa kina Nyerere, Sykes, Kawawa na wanasiasa wengi makini kama hao,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani