Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ASHAMBULIA CHUO NA KUUA WATU 9 MAREKANI

Mmoja wa majeruhi katika shambulio la Oregon akipatiwa huduma ya kwanza. Muuaji wa watu tisa katika shambulio hilo, Chris Harper-Mercer, 26, enzi za uhai wake.
Baadhi ya wafanyakazi na wanafunzi wa Umpqua wakiwa na sintofahamu baada ya kutokea shambulio…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Picha: Watu 9 wauawa kwa kupigwa risasi kwenye chuo nchini Marekani

Watu 9 wameuwa na wengine saba kujeruhiwa kufuatia mauaji kwa kutumia bunduki yaliyotokea kwenye chuo kilichopo kwenye jimbo la Oregon, Marekani. Muuaji mwenye umri wa miaka 26 alifyatua risasi kwenye chuo cha Umpqua jana asubuhi kwa saa za Marekani na yeye kuuawa na polisi. Polisi wamedai kuwa jina la mtu huyo ni Chris Harper Mercer. […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yakiri kuua raia

Marekani imekiri, kwa mara ya kwanza kuhusika na mapigano ya anga dhidi ya kikosi cha kiislamu yaliyopelekea baadhi ya raia kuuawa.

 

9 years ago

Habarileo

20 kortini tuhuma ya kuua watu 2

WATU 20 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya kuua watu wawili.

 

9 years ago

GPL

NDEGE YA JESHI LA MAREKANI YAANGUKA AFGHANISTAN NA KUUA 12

Ndege ya kijeshi ya Marekani aina ya C-130 Hercules iliyoanguka. Ramani inayoonesha eneo ambapo ndege hiyo ilipata ajali. Ndege ya kijeshi ya Marekani aina ya C-130 Hercules imeanguka usiku wa leo katika Uwanja wa Ndege wa Jalalabad nchini Afghanistan na kuua watu 12. Kanali wa jeshi la Marekani Brian Tribus ameiambia AFP kwamba watao kati ya waliokufa walikuwa wanajeshi wa Marekani, watano walikuwa raia wa… ...

 

9 years ago

BBCSwahili

Jengo labomoka na kuua watu 17 Uchina

Jengo la ghorofa mbili limebomoka katika mkoa wa Henan, katikati mwa Uchina na kuua wafanyakazi mjengo 17 na kujeruhi wengine 23.

 

11 years ago

Habarileo

Watu saba watuhumiwa kuua polisi 2

WATU saba wamekamatwa na Polisi mkoani Tabora wakituhumiwa kuhusika katika mauaji ya askari Polisi wawili na unyang’anyi wa kutumia silaha, yaliyofanyika mwezi uliopita.

 

10 years ago

GPL

NDEGE YA TAIWAN YAANGUKIA MTONI NA KUUA WATU 12

Waokoaji wakinasua watu waliokuwa ndani ya ndege hiyo. Taswira kutoka eneo la ajali hiyo. Ndege inayoimilikiwa na Shirika la Ndege la Taiwan, la TransAsia imepata ajali na kuangukia kwenye mto katika mji mkuu, Taipei na kuua watu 12. Vyombo vya habari vya Taiwan vimesema watu zaidi ya 50 walikuwa ndani ya ndege hiyo, wakati ajali ilipotokea na idadi kubwa ya watu wameripotiwa kujeruhiwa. Shirika la… ...

 

10 years ago

GPL

SOMALIA: AL SHABAAB YASHAMBULIA NA KUUA WATU 9 MOGADISHU

Maofisa wa Polisi nchini Somalia wakiingia ndani ya jengo lililovamiwa na Al Shabaab ili kukabiliana nao. Watu 9 wameripotiwa kuuawa katika jengo ya Wizara ya Elimu mjini Mogadishu, Somalia. Vyombo vya habari mjini Mogadishu vimeripoti kuwa wavamizi hao walilipua bomu lililotegwa ndani ya gari kwenye ukuta wa jengo la waizara ya elimu nchini humo. Kabla ya wavamizi kadhaa kuingia ndani ya jengo walianza kwa  kupiga risasi za...

 

11 years ago

BBCSwahili

Njama ya Nazi kuua watu kwa Malaria

Mwanabayologia mmoja nchini Ujerumani amesema amepata ushahidi kuwa utawala wa Nazi uliokuwa unaongozwa na Adolf Hitler, ulipanga kutumia Mbu kama silaha wakati wa vita vya pili vya dunia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani