Baadhi ya wanasiasa, wachambuzi wamkosoa Rais Kikwete
Na Waandishi wetu
Dar Es Salaam, Kagera, Tanga.
Baadhi ya wanasiasa na wachambuzi wa siasa nchini wamekosoa hatua iliyochukuliwa na Rais Jakaya Kikwete dhidi ya watuhumiwa wa kashfa ya uchotwaji wa fedha za akaunti ya Tegeta Escrow kwa kusema kuwa ameshindwa kukata kiu ya watanzania waliotaka kuona anawawajibisha wahusika wote wa sakata hilo.
Wamesema kumfukuza kazi Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka na kumuweka kiporo Waziri wa Nishati na Madini na...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziVIJANA MSIKUBALI KUTUMIWA VIBAYA NA BAADHI YA WANASIASA KWA FAIDA YA WACHACHE-MAMA SALMA KIKWETE
Rai hiyo imetolewa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwa nyakati tofauti na wananchi wa kijiji cha Kikomolela kilichopo jimbo la Mchinga na mtaa wa Likotwa uliopo Jimbo la Lindi mjini waliohudhuria kampeni ya kuwanadi wagombea wa nafasi za udiwani, ubunge na urais...
10 years ago
Habarileo20 Mar
Wanasiasa waonywa kumsemea Rais Kikwete
VIONGOZI wa kisiasa wametakiwa kutomsemea wala kumuwekea maneno mdomoni Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete kuwa ana nia ya kukata baadhi ya majina ya ugombea urais kwenye uchaguzi mkuu.
10 years ago
Mtanzania06 Jun
Wabunge wamkosoa Maghembe
Na Arodia Peter, Dodoma
WABUNGE wamemkosoa Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, wakisema miradi mingi aliyoisema katika hotuba yake haina uhalisia.
Wakichangia mapitio ya utekelezaji wa bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2015/2016, wabunge hao bila kujali itikadi zao za kisiasa, waliikosoa hotuba yake wakisema miradi mingi haitekelezeki.
Mbunge wa Viti Maalumu, Azza Hamad (CCM), aliikosoa kwa kuainisha kuwa vituo vya maji vinavyofanya kazi katika Kijiji cha Kagongwa, mkoani...
10 years ago
BBCSwahili13 Dec
Neville na Scholes wamkosoa Van Gaal
10 years ago
Tanzania Daima14 Nov
Mama Maria Nyerere akerwa na wanasiasa wanaomkejeli Kikwete
FAMILIA ya baba wa Taifa, Hayati mwalimu Julius Nyerere, imetoa pole kwa Rais Jakaya Kikwete, kutokana na kufanyiwa upasuaji wa tezi dume. Taarifa iliyotolewa jana na kusainiwa na mbunge wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-qZ_taV7lQAc/VURfrlc_KXI/AAAAAAAAtDQ/HowY65av2gE/s72-c/shemeji.jpg)
Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA
![](http://2.bp.blogspot.com/-qZ_taV7lQAc/VURfrlc_KXI/AAAAAAAAtDQ/HowY65av2gE/s640/shemeji.jpg)
RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.
Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...
11 years ago
Mwananchi19 Mar
Warioba awakuna wasomi, wachambuzi
10 years ago
Mwananchi07 Feb
Rais wa Ujerumani ameacha funzo kwa wanasiasa
10 years ago
BBCSwahili16 Jan
AFCON:Charles Hillary awahoji wachambuzi