Wabunge wamkosoa Maghembe
Na Arodia Peter, Dodoma
WABUNGE wamemkosoa Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, wakisema miradi mingi aliyoisema katika hotuba yake haina uhalisia.
Wakichangia mapitio ya utekelezaji wa bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2015/2016, wabunge hao bila kujali itikadi zao za kisiasa, waliikosoa hotuba yake wakisema miradi mingi haitekelezeki.
Mbunge wa Viti Maalumu, Azza Hamad (CCM), aliikosoa kwa kuainisha kuwa vituo vya maji vinavyofanya kazi katika Kijiji cha Kagongwa, mkoani...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 Jun
Wabunge wamshukia Prof Maghembe
10 years ago
BBCSwahili13 Dec
Neville na Scholes wamkosoa Van Gaal
10 years ago
StarTV24 Dec
Baadhi ya wanasiasa, wachambuzi wamkosoa Rais Kikwete
Na Waandishi wetu
Dar Es Salaam, Kagera, Tanga.
Baadhi ya wanasiasa na wachambuzi wa siasa nchini wamekosoa hatua iliyochukuliwa na Rais Jakaya Kikwete dhidi ya watuhumiwa wa kashfa ya uchotwaji wa fedha za akaunti ya Tegeta Escrow kwa kusema kuwa ameshindwa kukata kiu ya watanzania waliotaka kuona anawawajibisha wahusika wote wa sakata hilo.
Wamesema kumfukuza kazi Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka na kumuweka kiporo Waziri wa Nishati na Madini na...
11 years ago
GPLYANGA (WABUNGE) WALIVYOISAMBARATISHA SIMBA (WABUNGE) KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI 2014
10 years ago
TheCitizen06 Jun
Maghembe accused of cheating
9 years ago
TheCitizen17 Aug
Prepare for defeat, Maghembe told
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
Prof. Maghembe jiuzulu — Mnyika
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amemtumia ujumbe Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, akimshauri ajiuzulu kutokana na usugu wa tatizo la maji jijini Dar es Salaam. Mnyika pia aliwataka...
9 years ago
Mwananchi23 Aug
Profesa Maghembe awekewa pingamizi
9 years ago
Mtanzania30 Dec
Nyalandu: Msaidieni Profesa Maghembe
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
“Watendaji ni kiungo muhimu kwa waziri kutekeleza majukumu yake, ni matumaini yangu mtampa ushirikiano katika hili,” alisema.
Nyalandu alisema ushirikiano huo utawezesha rasilimali za nchi kama misitu na wanyama kuendelea kuwapo na kutumika kwa njia endelevu.
Alisema umuhimu wa wizara kuendelea kutangaza vivutio vya utalii ili kuhakikisha malengo katika sekta hiyo unazidi kufikiwa.
“Wizara hii ina watendaji wema na wanaojitolea kutimiza majukumu yao, kuna...