Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Warioba awakuna wasomi, wachambuzi

>Baadhi ya wasomi na wachambuzi wa masuala ya kisiasa hapa nchini wamesema hotuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadilko ya Katiba, Jaji  Joseph Warioba itasaidia kubadilisha msimamo wa wajumbe wengi wa Bunge Maalumu la Katiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

AFCON:Charles Hillary awahoji wachambuzi

Dimba la mataifa ya Afrika likisubiriwa kwa hamu, mtangazaji wa BBC Charles Hillary ahawoji wachambuzi kuangazia timu

 

10 years ago

StarTV

Baadhi ya wanasiasa, wachambuzi wamkosoa Rais Kikwete

Na  Waandishi wetu

Dar Es Salaam, Kagera, Tanga.

 

Baadhi ya wanasiasa na wachambuzi wa siasa nchini wamekosoa hatua iliyochukuliwa na Rais Jakaya Kikwete dhidi ya watuhumiwa wa kashfa ya uchotwaji wa fedha za akaunti ya Tegeta Escrow kwa kusema kuwa ameshindwa kukata kiu ya watanzania waliotaka kuona anawawajibisha wahusika wote wa sakata hilo.

Wamesema kumfukuza kazi Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka na kumuweka kiporo Waziri wa Nishati na Madini na...

 

10 years ago

Mwananchi

WACHAMBUZI:Watangaza nia WANAYO KAZI YA KUWAKUNA Watanzania

Mpaka sasa wanaCCM waliotangaza nia ni Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, Waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa, Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani, Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, Charles Makongoro ambaye ni mtoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.

 

9 years ago

Mwananchi

Idadi ya wapigakura siyo msingi wa vyama kushinda-Wachambuzi

Wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchini wamesema idadi kubwa ya wapigakura katika mikoa ambayo ni ngome kuu za baadhi ya vyama vya siasa siyo msingi wa vyama hivyo kushinda Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu.

 

9 years ago

Michuzi

JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA KWENYE KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KAWE

 Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba.
Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, akipongezwa na wanaCCM katika mkutano wa kampeni...

 

10 years ago

Habarileo

Mwandosya awakuna wazee wa Tabora

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark MwandosyaWAZEE na viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini mkoani Tabora wamempongeza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya kwa kuwakumbuka na kula nao futari ya pamoja katika siku ya kwanza ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete awakuna wawekezaji India

Rais Jakaya Kikwete.WAFANYABIASHARA nchini India wamemuahidi Rais Jakaya Kikwete na Watanzania kwa ujumla wataendelea kuwekeza Tanzania kwa kuwa ni nchi inayozingatia kanuni na mazingira ya uwekezaji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfalme Siboka awakuna mashabiki Mbeya

MSANII wa nyimbo za asili nchini, Costa Siboka ‘Mfalme Siboka’ mwishoni mwa wiki aliwapagawisha wakazi wa Jiji la Mbeya na vitongoji vyake baada ya kuimba wimbo mmoja wa Kinyakyusa, moja...

 

9 years ago

Vijimambo

JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA

Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba.  PICHA ZOTE/JOHN BADI WA DAILY MITIKASI BLOGWaziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akizungumza wakati akiwanadi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani