Bendera ya ANC yamliza Graca
Jana asubuhi ulikuwa ni wakati wa familia ya Rais wa Kwaza Mzalendo wa Afrika Kusini, Mzee Nelson Mandela walipokutanishwa katika hafla ya kusema buriani kwa kiongozi huyo, iliyoandaliwa na chama tawala cha African National Congress (ANC).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
KUMBUKUMBU YA JESHINI YAMLIZA JB
10 years ago
Mtanzania10 Feb
‘Sijazoea’ yamliza mke wa AT
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MWIMBAJI wa muziki wa mduara, Ally Ramadhani ‘AT’, amesema ameshangazwa kwa mara ya kwanza kumuona mkewe akitoa macho baada ya kusikia wimbo wake mpya wa ‘Sijazoea’.
Akizungumza na MTANZANIA jana, AT alisema, mkewe amekuwa hana kawaida ya kusikiliza nyimbo zake, lakini ameshangazwa kumuona akiusikiliza wimbo huo na kulia.
“Kitendo hicho kimenifurahisha sana na nimejiona nimefanya kazi nzuri, mke wangu yupo tofauti, hapendi na wala hatakagi kusikiliza kazi...
11 years ago
GPL
NJAA YAMLIZA BABY MADAHA
10 years ago
GPL
Penalti ya Ajibu yamliza Okwi
11 years ago
BBCSwahili06 May
Sare ya 3-3 yamliza Luis Suarez
10 years ago
GPL
PETE YA UCHUMBA YAMLIZA WOLPER
10 years ago
Habarileo04 Mar
Mazishi ya Komba yamliza Kikwete
Rais Jakaya Kikwete jana alishindwa kujizuia kutoa machozi, wakati mwili wa mbunge Mbinga Magharibi wilaya ya Nyasa mkoa wa Ruvuma, Kapteni John Komba wakati ukishushwa kaburini kwenye mazishi yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi, jana.
10 years ago
Mwananchi26 Jul
Mapokezi yamliza Lembeli Kahama
11 years ago
GPL
Majeruhi yamliza Loga, apata hofu