Berlusconi aanza kuwahudumia wazee
Waziri mkuu wa zamani wa Italia, Silvio Berlusconi amewasili katika makao ya wazee ya kanisa katoliki kutekeleza adhabu yake ya kuwahudumia wazee
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili15 Apr
Mahakama yamuadhibu Silvio Berlusconi
Waziri mkuu wa zamani wa Italia, Silvio Berlusconi, ameshuritishwa kufanya kazi na kuhudumia jamii kwa mwaka mmoja kama adhabu ya kukwepa kulipa kodi.
11 years ago
TheCitizen23 Jul
Free from trial woes, Berlusconi dreams of political comeback
The media magnate is now rumoured to be attempting to rekindle relations with his former right-hand man and prodigy, Interior Minister Angelino Alfano, who broke ties in November to set up his own party, the “New Centre Right†(NCD).
10 years ago
VijimamboMATUKIO KATIKA PICHA YA MTANANGE WA WAZEE WA KUNDUCHI YANGA 0 NA WAZEE WA SAUZI SIMBA 0
MATOKEO KAMILI YA MECHI ZA LIGI KUU KATIKA VIWANJA SITA HII LEO:-
YANGA 0- SIMBA 0
NDANDA...
5 years ago
MichuziWAZEE WAIPONGEZA SERIKALI SHINYANGA KUPUNGUZA MAUAJI YA WAZEE
Wazee wametoa pongezi hizo leo Machi 11,2020 kwenye kikao cha Baraza la Wazee Mkoa wa Shinyanga, kilichofanyika kwenye hospitali ya rufani ya mkoa wa Shinyanga, kilichokuwa na lengo la kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi likiwamo suala la matibabu. Akisoma...
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
TBS yajipanga kuwahudumia wateja
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limesema limejipanga kuwahudumia watanzania na wateja wake kwa kutoa huduma bora. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam jana, Msemaji wa TBS, Roida Andusamile,...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-uf_FNEsT7Ac/U3hpNt_eq-I/AAAAAAAFjaM/S69zkimJzmc/s72-c/Kk7Rs4DHaEXKOr1iZbsLZ4mNHLeN_sx-5fCVhhiOjp0.jpg)
Benki ya Wanawake kuwahudumia watanzania wa Disapora
BENKI ya Wanawake Tanzania (TWB) imeanziasha utaratibu au hudama wa kibenki ambayo itawawezesha wanawake wa Kitanzania wa Diaspora (wanaoishi ughaibuni) kuchangia katika shughuli mbalimbali za kijamii na uchumi hapa nchini.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Bi. Margareth Chacha,aliwaambia waandishi wa habari mwishoni mwa wiki kuwa hivi karibuni wanawake waishio Washington, Virginia and Maryland (DMV) walituma mwaliko kwa benki yake kwenda kuwaelezea ninamna gani watanufaika endapo...
5 years ago
MichuziSERIKALI IKO IMARA KUWAHUDUMIA WANANCHI-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano iko imara na inamipango madhubuti ya kuwahudumia na kuwatumikia Watanzania katika maeneo yote nchini.
Ili kutimiza adhima hiyo, Waziri Mkuu amepiga marufuku kitendo cha watumishi wa umma kumaliza wiki wakiwa maofisini na badala yake amewataka watumie siku nne kwenda kwa wananchi katika maeneo yao.
Waziri Mkuu aliyasema hayo jana jioni (Jumatatu, Machi 2, 2020) wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika...
Ili kutimiza adhima hiyo, Waziri Mkuu amepiga marufuku kitendo cha watumishi wa umma kumaliza wiki wakiwa maofisini na badala yake amewataka watumie siku nne kwenda kwa wananchi katika maeneo yao.
Waziri Mkuu aliyasema hayo jana jioni (Jumatatu, Machi 2, 2020) wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-cARgfkA64bY/Xm-PhqHteCI/AAAAAAAC8og/9W8NT55xvNUQV9CLoZI1Rs5uQGe8Ddo9ACLcBGAsYHQ/s72-c/01.jpg)
Serikali itaendelea kusimamia miradi ya kimakatakati ili kuwahudumia Watanzania
Na Eleuteri Mangi, WHUSM-Dodoma
Serikali itaendelea kutekeleza majukumu yake ya kusimamia miradi mikubwa ya kitaifa ya kimkakati ili taifa liendelee kusonga mbele katika sekta za Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza wakati wa ufunguzi wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa wizara hiyo lililofanyika leo jijini Dodoma.
Miradi ambayo wizara itaendelea kuisimamia ni pamoja na kuendeleza na kutekeleza shughuli za...
5 years ago
BBCSwahili12 May
Siku ya wauguzi duniani: Watu wanaohatarisha maisha kuwahudumia wagonjwa wa COvid -19
Wauguzi duniani kote wamekuwa wakipambana na janga la corona. Kazi hii ni ngumu sana kwa kuwa wengi wamepoteza maisha kutokana na ugonjwa huu. Katika siku hii, BBC imezungumza na wauguzi wanne kutoka maabara nne wakieleza changamoto katika shughuli hii ya kuwa mstari wa mbele kupambana na Covid-19.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania