Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BI. MWENDA, JENGUA WAONESHANA MALOVEE MSIBANI

NG’OMBE hazeeki maini! Katika hali ya kushangaza, waigizaji wakongwe, Fatuma Makongoro ‘Bi. Mwenda’ na Jengua walioneshana malovee msibani kwa kuitana mume na mke. Muigizaji mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo, Mohammed Fungafunga 'Jengua' akiwa msibani kwa aliyekuwa gwiji la vichekesho marehemu Mzee Small. Ishu hiyo ilitokea juzi, Jumatatu kwenye msiba wa nguli wa vichekesho nchini, Said Ngamba...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Ukatili Wampa Ulaji Jengua

Muigizaji mkongwe wa hapa Bongo, Mzee Jengua  amesema kuwa ameshirikishwa  katika filamu ya Sio Dili inayohusu mauaji ya Albino kutokana na hulka yake ya ukatili awapo kazini.

Akizungumza na Gazeti la Nipashe , Jengua  alisema  muandaaji wa filamu hiyo aliona yeye ndio  anafaa kuwa mtu  anayefanya biashara ya viungo vya Albino kutokana na uigizaji wake wa ukatili, katika filamu zilizopita.

Jengua hata hivyo amesema anaumizwa na tabia za watu ambao hukata viungo vya au kuwaua  kwa imani za...

 

11 years ago

GPL

MASTAA WAONESHANA JEURI YA FEDHA

Stori: Mayasa Mariwata na Hamida Hassan
FEDHA inaongea! Mastaa wanaowakilisha Klabu ya Bongo Movie Unity na Shirikisho la Filamu Nchini (TAFF) wameonesha jeuri ya fedha kwa kuwatunza maharusi, mwigizaji Vanita Omary na mumewe Paul Mtenda. Mastaa wa Bongo Movies wakionyesha jeuri ya fedha katika harusi ya msanii Vanita Omary na mumewe Paul Mtenda. Sherehe hiyo ilifanyika Jumamosi iliyopita katika Ukumbi wa Mwika, Sinza jijini...

 

10 years ago

GPL

SKENDO! LULU, WOLPER WAONESHANA JEURI YA MABWANA!

Stori:musa mateja/Ijumaa
Sakata la kupangishiwa nyumba za kifahari na wanaume linazidi kuchukua sura mpya kwa mastaa wa kike ndani ya tasnia ya sinema za Kibongo ambapo safari hii mastaa wawili, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Jacqueline Walper ‘ Wolper’ Massawe wanadaiwa kuoneshana jeuri ya mabwana wakipima ni yupi mwenye mshiko zaidi huku akina Wema Isaac Sepetu na Kajala Masanja ambao awali walikuwa juu...

 

9 years ago

GPL

WEMA, IDRISS, WAONESHANA MAHABA LIVE IKULU

Richard bukos MASTAA wa Bongo, Idriss Sultan na Wema Sepetu, Alhamisi iliyopita walikuwa kwenye Ikulu ya Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli wakionesha mahaba yao hadharani. Mastaa wa Bongo, Idriss Sultan na Wema Sepetu wakikumbatiana. Mastaa hao ambao mara kadhaa wamekuwa wakikanusha vikali kuwa na uhusiano wa kujifunika shuka moja lakini mapozi yao ndiyo yalisababisha wawe gumzo...

 

10 years ago

GPL

RAY, CHUCHU HANS WAONESHANA MAHABA HADHARANI!

Richard bukos
MAHABA popote! Licha ya kudaiwa ‘wamemwagana’, wapenzi wawili ambao ni wasanii ndani ya Bongo Movie, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans wameoneshana mahaba mazito hadharani na kuwaziba midomo waliodhani hawawezi kuwa pamoja tena. Wasanii ndani ya Bongo Movie, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans wakionyeshana mahaba. Ishu hiyo ilinaswa hivi karibuni na ‘kasuku’...

 

10 years ago

Bongo Movies

UBUYU: Lulu na Jacqueline Wolper Waoneshana Jeuri ya Mabwana!

Warembo na waigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Jacqueline Walper ‘ Wolper’ Massawe wanadaiwa kuoneshana jeuri ya mabwana wakipima ni yupi mwenye mshiko zaidi huku akina Wema Isaac Sepetu na Kajala Masanja ambao awali walikuwa juu wakipotezwa.

Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti la Ijumaa, wamebaini  kwamba, kumekuwa na kasumba ya baadhi ya mastaa hao kutambiana kuwa ni nani zaidi anayemiliki bwana mwenye mawe au mshiko kuliko wengine.

Inadaiwa kwamba, baada ya Lulu...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Jay Z na Beyonce waoneshana mahaba kwa ku-kiss jukwaani kwenye tamasha la Tidal X: 1020

Jay Z na Beyonce ni miongoni mwa mastaa walioshambulia jukwaa kwenye tamasha ya Tidal X: 1020 lililofanyika Jumanne Oct 20 jijini New York. Beyonce na mumewe Jay Z hawakusita kuudhihirishia ulimwengu kuwa mapenzi yao bado yana nguvu kwa kushare ‘kiss’ wakiwa jukwaani. Wengine waliotumbuiza kwenye tamasha hilo ni Nicki Minaj, Usher na Lil Wayne, Meek […]

 

10 years ago

GPL

WEMA AMRUDISHA UJANA BI. MWENDA

Stori: Na Mwandishi Wetu/Ijumaa Wikienda
STAA wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu amemfanyia ‘sapraizi’ msanii mkongwe, Fatuma Makongoro ‘Bi. Mwenda’ kwa kumnunulia simu ya kisasa na kumfanya awe kama kijana. Staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu. Wema alimfanyia sapraizi hiyo hivi karibuni kwa kummpeleka Bi.Mwenda katika maduka ya Mlimani City pasipo kumwambia wanakwenda kufanya nini na alipofika,...

 

10 years ago

GPL

BI MWENDA: MAIMARTHA AKINIRUHUSU, NAOLEWA

Stori: Gladness Mallya MSANII mkongwe kunako gemu la filamu Bongo, Fatuma Makongoro ‘Bi Mwenda’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kwamba ataolewa endapo somo wake ambaye ni mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse atamruhusu. Mkongwe kunako gemu la filamu Bongo, Fatuma Makongoro ‘Bi Mwenda’. Akistorisha na paparazi wetu, Bi Mwenda alisema ruhusa ya yeye kuolewa tena atatoa Maimartha kwani ndiye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani