Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Biashara ya kununua noti chakavu yaimarika

Siku hizi ukipita mitaani katika mikoa mbalimbali si jambo la ajabu kusikia na kusoma matangazo yanayoelekeza mahali fedha chakavu zinaponunuliwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Shibuda: Fikra za UKAWA ni chakavu



Sitta awapuuza, asema Bunge litaendeleaWasomi wawashangaa, wawaonya wananchi
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
MAMBO yanazidi kwenda mrama kwa viongozi wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kutokana na kuendelea kuvurumishiwa makombora kutokana na kususia vikao vya Bunge Maalumu la Katiba.

Mbunge wa Maswa Magharibi (CHADEMA), John Shibuda, amesema kundi hilo lina fikra chakavu na ndiyo sababu amewazidi uwezo wa kufikiri na kuamua kurejea kushiriki vikao vya bunge hilo.
Shibuda, ambaye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zanzibar ni jalala la bidhaa chakavu?

HIVI karibuni nikiwa nimepumzika katika baraza moja ya kahawa iliopo Malindi, hatua chache kutoka lango kuu la Bandari ya Zanzibar, ulipita msururu wa magari yaliojaa bidhaa chakavu. Magari hayo, makubwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Shilingi yaimarika sokoni

>Siku mbili baada ya shilingi ya Tanzania kuanza kuimarika dhidi ya Dola, Waziri wa Fedha na Uchumi, Saada Mkuya amezitaja mbinu zilizochukuliwa ili kuiimarisha ikiwa ni pamoja na kuzuia uhamishwaji wa fedha kutoka benki moja kwenda nyingine kitaalamu ‘swapping.’

 

10 years ago

BBCSwahili

Afya ya Pele yaimarika

Hali ya afya ya gwiji wa soka duniani Pele imemarika baada ya kutoka kwenye hali mahututi.

 

11 years ago

Mwananchi

Afya ya Marsh yaimarika

Hali ya afya ya aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Sylvester Marsh ambaye amelazwa katika Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam imeelezwa kwamba imezidi kuimarika na sasa ameanza kula mwenyewe.

 

11 years ago

BBCSwahili

Hali ya Schumacher yaimarika

Madaktari wa bingwa wa zamani wa mbio za magari ya langa langa, Michael Schumacher, wamesema hali yake imeimarika kiasi

 

10 years ago

Raia Tanzania

Afya ya Mbowe yaimarika

AFYA ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, imeimarika na tayari ameruhusiwa kutoka hospitalini.

Mbowe alilazwa Muhimbili baada ya afya yake kutetereka wakati akitoka kumsindikiza mgombea urais wa chama hicho, Edward Lowassa, kuchukua fomu ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) mwanzoni mwa wiki hii.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa Chadema, Tumaini Makene, alisema Mbowe yupo nyumbani kwake kwa sasa kwa mapumziko...

 

10 years ago

Habarileo

Mabasi chakavu yapelekwa Lindi, Mtwara

OPERESHENI maalumu iliyofanywa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imebaini mabasi yanayokwenda katika mikoa ya kusini mengi yamechakaa na hakuna basi la daraja la kwanza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani