Billnass aeleza alichoenda kufanya South
Rapper Billnass yupo nchini Afrika Kusini ambako amekutana na muongozaji Justin Campos, rapper Kid X.
Billnass amesema safari hiyo imeweza kumfungulia connection na wadau wa sanaa nchini humo. “Nipo SA kuendeleza harakati zingine za kumuziki ikiwemo kutafuta connection na kufanya project zangu,” ameiambia Bongo5.
“Nilitembelea vituo vya SABC na Ukhozi FM ambapo pia nilifanya interview. Pia nimekutana na watayarishaji wa video kama Justin Campos na wengine wa huku huku hata wasanii wakubwa...
Bongo5
Habari Zinazoendana
5 years ago
Bongo514 Feb
Billnass alipanga kumshirikisha Maua Sama kwenye Mazoea, aeleza jinsi Mwana FA alivyoingia
Maua Sama ndiye alikuwa amepangwa kushirikishwa kwenye wimbo Mazoea, kwa mujibu wa Billnass.
Akizungumza kwenye kipindi cha Ngaz Kwa Ngaz, Bill alisema wimbo huo aliurekodi mwaka 2014 ambapo aliingiza verse mbili na chorus yake lakini akahitaji pia sauti za Maua Sama.
“Maua ni mshkaji wangu lakini ikija kwenye biashara mimi siletagi tena ushkaji, lazima nifuate management yake na nini. Kwahiyo nikamfuata Mwana FA nikamuambia nina demo ya wimbo wangu nataka uisikilize, sababu mara nyingi pia...
10 years ago
Bongo Movies06 Jun
Kallage Aeleza Kwanini Ameacha Kufanya Video za Muziki
Mtayarishaji video za muziki na filamu anayeshikilia rekodi ya kushinda tuzo mbili za filamu za TAFA 2015, John Kallaghe amefunguka juu ya sababu za kuacha kufanya video za muziki, kubwa ikiwa ni mabadiliko ya soko na kupungua kwa wawezeshaji katika soko hilo.
Kallaghe ameiambia eNewz ya EATV kuwa soko la utayarishaji video linabadilika kwa kasi kinguvu kazi na kiteknolojia likihitaji vipaji vipya na mtu aliye tayari kwenda kwa kasi hiyo, pili ikiwa ni kuanza kupotea kwa wadau ambao...
9 years ago
Bongo501 Oct
Video: Rossie M aeleza alichojifunza baada ya kufanya kazi na Avril
9 years ago
Bongo526 Oct
Man Walter aeleza kwanini wasanii wakongwe wanashindwa kufanya vizuri
10 years ago
Bongo522 Sep
Diamond au Alikiba? Mr Blue aeleza yupi anayependa kufanya naye ngoma
9 years ago
Bongo510 Dec
Madee aeleza sababu za Mb Dogg kushindwa kufanya vizuri baada ya kuondoka Tip Top
![MB-DOGG](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/06/MB-DOGG-300x194.jpg)
MB Dogg ni miongoni mwa majina yaliyoshiriki kwenye kuichora ramani iliyotumika kwenye ujenzi wa kiwanda ya muziki wa Bongo fleva miaka kadhaa iliyopita. Hits zake kama Latifah, Si uliniambia, Inamaana na zingine zilimuweka kwenye nafasi za juu kipindi hicho akiwa chini ya Tip Top Connection.
Hivi sasa jina la MB Dogg liko kwenye orodha ya wasanii wa zamani walioshindwa kurudi na kukaa kwenye nafasi zao, na msanii mwenzake Madee wa Tip Top anaifahamu sababu iliyomkwamisha MB Dogg ashindwe...
9 years ago
Bongo522 Dec
Joh Makini aeleza alichokuwa amepanga kufanya kama AKA asingetokea wakati wa kushoot video ya ‘Don’t Bother’
![Johmakini.1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/Johmakini.1-300x194.jpg)
Tumekuwa tukishuhudia baadhi ya wasanii wakilazimika kushoot video bila wasanii waliowashirikisha kwenye nyimbo zao, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo wasanii walioshirikishwa kukosa muda wa kushiriki kwenye video, au kushindwa kuelewana au tu kuamua kuzingua.
Ili kukabiliana na changamoto kama hizo, rapper wa Weusi Joh Makini alijipanga kikamilifu wakati anaenda Afrika Kusini kushoot video ya collabo yake na AKA ‘Don’t Bother’.
Joh amesema kuwa aliandaa version mbili ya wimbo huo ili...
10 years ago
Bongo508 May
Wakazi aeleza kwanini haikuwa rahisi kufanya collabo na kina Wiz Khalifa, Kanye West na Diddy alipokutana nao