Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BINTI ATEKWA NA WACHUNA NGOZI

Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
MBONA majanga! Mrembo aliyejitambulisha kwa jina la Latifa Abdallah (19), mkazi wa Kinondoni –Mkwajuni, Dar amesimulia alivyotekwa na watu aliodai ni wachuna ngozi wakiwa na mwanamke aliyevalia kininja ndani ya gari jeusi. Binti anayetambulika kwa jina la Latifa Abdallah (wa pili kushoto) akiwa na ndugu zake. Akizungumza na Uwazi jijini Dar, juzi, Latifa alidai Oktoba 19,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Binti mlemavu wa ngozi anusurika kutekwa

BINTI mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Kulwa Joseph (21) mkazi wa kijiji cha Usonga, Kata ya Silambo wilaya ya Kaliua mkoani Tabora ameponea chupuchupu kutekwa na baada ya kuvamia makazi alikokuwa akiishi.

 

11 years ago

Mwananchi

AFYA YA NGOZI: Saratani ya ngozi aina ya Melanoma ni hatari kiasi gani?

>Tangu tuanze kuichambua mada hii ya maradhi ya saratani ya ngozi, tumeangazia mambo mbalimbali ikiwamo saratani ni nini, aina za saratani, makundi ya watu yanayoathiriwa zaidi na saratani hii ya ngozi.

 

11 years ago

Habarileo

'Mawakili wengi ni wachuna fedha'

ONGEZEKO la Mawakili wa Kujitegemea wanaotetea wananchi katika mahakama za ngazi ya wilaya na mkoa nchini linadaiwa kusababisha mafuriko ya wanasheria hao ambapo baadhi sasa wamebainika kutumia fursa hiyo vibaya kwa ajili ya kujipatia fedha badala ya kuwatetea wananchi ili wapate haki yao kwa wakati.

 

11 years ago

Mwananchi

AFYA YA NGOZI: Maradhi ya ngozi kwa njia ya ngono

>Baadhi ya maswali tuliyopokea, mengi yalihusu maradhi ya sunzua ambayo kitaalmu yanajulikana kama warts.

 

10 years ago

GPL

POLISI ATEKWA

Haruni Sanchawa na Shani Ramadhani Askari Polisi wa Kikosi  cha Tazara jijini Dar es Salaam  kinachosimamia ulinzi na usalama wa Reli ya Tanzania na  Zambia  aliyetajwa kwa jina la PC Gineneko, ametekwa kisha kuporwa bunduki aina ya SMG ikiwa na risasi 30 , Mei 27, mwaka  huu. PC Gineneko akiwa na majeraha baada ya kuvamiwa na majambazi. Watekaji hao mara baada ya kumpora bunduki askari huyo eneo la Yombo, Ilala...

 

10 years ago

GPL

MWANAFUNZI ATEKWA, AUAWA

Na Waandishi Wetu
DUNIA imekwisha jamani! Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Mabibo, Dar, Irene Said (15) ametekwa, amebakwa na kuuawa kikatili kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili huku ikidaiwa kuwa, kijana mmoja asiyejulikana alifika nyumbani kwao, Kigogo Luhanga na kutaka kiroba na mtu mmoja waongozane akabebe ndizi. Polisi wakiwa wamebeba mwili wa marehemu. Akizungumzia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge CHADEMA atekwa

HUKUMU ya wagombea ubunge wa Jimbo la Kalenga inatarajiwa kujulikana leo baada ya wakazi wake kupiga kura za kumchagua mbunge. Uchaguzi huo unafanyika kutokana na kifo cha William Mgimwa, aliyefariki...

 

10 years ago

GPL

MWANACCM ATEKWA, AUAWA

Stori: Denis Mtima na Haruni Sanchawa
UKATILI! Watu wasiojulikana wameyakatisha maisha ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM),  Tawi la Mkwajuni, Kigamboni jijini Dar,  Ibrahim Hamis (30).Tukio hilo la kusikitisha na lililowaacha midomo wazi wakazi wa eneo hilo, lilijiri usiku wa saa mbili hivi karibuni. Waombolezaji wakiubeba mwili wa aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi...

 

11 years ago

Habarileo

Dereva bodaboda atekwa, auawa

MWENDESHA pikipiki maarufu kama bodaboda, Nuru James (19), ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiofahamika wilayani hapa, mkoani Mara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani