Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Boko Haramu wazidi kuitesa Nigeria

Boko Haramu waukaribia mji wa Mubi ulioko kaskazini mashariki mwa mji mkuu Nigeria.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Ujangili wazidi kuitesa Tanzania

msigwa1

Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii, Peter Msigwa.

Na Mwandishi wetu

Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii, Peter Msigwa, amemwaga ushahidi namna ujangili unavyofanyika na kushamiri nchini kwa kufanywa na watu waliogawiwa vitalu halali lakini hawafuati sheria za nchi, hivyo kufanya uwindaji haramu huku serikali ikiwa inalifumbia macho suala hilo.

Akiongea na waandishi wa habari, Jijini Dar es Salaam, Msigwa alionyesha video ya kampuni ya uwindaji ya green miles safaris limited, inayoonekana...

 

10 years ago

Vijimambo

UCHAGUZI NIGERIA WAAHIRISHWA KUHOFIA BOKO HARAMU

Wananchi wakiwa na mabango ya kupinga kuahirishwa kwa uchaguzi huo.
TUME ya uchaguzi nchini Nigeria imeahirisha uchaguzi mkuu ambao ulikuwa ufanyike tarehe 14 mwezi huu kutokana na sababu za kiusalama.

Uchaguzi huo sasa utafanyika Machi 28 mwaka huu.

Mkuu wa tume hiyo Attahiru Jega alisema kuwa amejulishwa na maofisa wa usalama kuwa wanajeshi hawatakuwepo kulinda vituo vya kupigia kura kwa kuwa watakuwa wakipigana na wanamgambo wa Boko Haram kaskazini mashariki mwa nchi.

Awali tume hiyo ilikuwa...

 

10 years ago

StarTV

Boko Haram wazidi kufanya mashambulizi.

Watu 150 wameuawa baada ya Boko Haram kuvamia kaskazini mashariki mwa Nigeria.

Walioshuhudia mashambulizi hayo wanasema watu tisini na saba wameuawa siku ya Jumatano katika kijiji cha Kukawa kilichopo karibu na Ziwa Chad.

Habari zinasema pia wanaume 48 wamepigwa risasi na wapiganaji katika mashambulizi tofauti siku ya Jumanne.

Mashuhuda wanaokimbia eneo lililopo karibu na Ziwa Chad wanasema idadi kubwa ya wapiganaji wamevamia vijiji vitatu ambapo wameuwa wanaume, wanawake na watoto.

Baadhi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haramu wajisalimisha kwa IS.

Kundi la wanamgambo wa kiislam la Islamic State limekubaliana na kiapo cha utii kutoka kwa kikundi cha Nigeria cha Boko Haram.

 

10 years ago

GPL

MATEKA 27 WAACHIWA NA BOKO HARAMU

Rais wa Cameroon, Rais wa Cameroon, Chantal Biya. Rais wa Cameroon, Rais wa Cameroon, Chantal Biya leo amesema mateka 27 wakiwemo raia 10 wa China na mke wa naibu waziri mkuu wa nchi hiyo wameachiwa na Kundi la Boko Haram. (CREDIT: BBC SWAHILI)

 

10 years ago

GPL

KAMANDA MKUU WA BOKO HARAMU AUAWA, NGOME YAO YASAMBALATISHWA

Meja Jenerali Chris Olukolade. Msemaji wa jeshi la Nigeria amesema kuwa, vikosi vya nchi hiyo vimemuua kamanda wa ngazi za juu wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram. Meja Jenerali Chris Olukolade amesema kuwa, Abu Mojahid kamanda wa ngazi za juu wa kundi la Boko Haram ameuawa katika mapigano kati ya jeshi la Nigeria na wapiganaji wa kundi hilo kaskazini mashariki mwa nchi hiyo. Msemaji wa jeshi la Nigeria ameongeza kuwa,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko:H yaendeleza mashambulizi Nigeria

Hali ya vurugu na mauaji inazidi kuwa mbaya Nigeria siku hadi siku.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tutawakabili Boko Haram:Nigeria

Msemaji wa rais wa Nigeria,Muhammadu Buhari,amesema amejipanga kupambana na kundi la kigaidi la Boko Haram.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi 11 wauawa na Boko:H Nigeria

Taarifa kutoka mjini Buni Yadi katika jimbo la Yobe, Nigeria, zinasema kuwa watu 24 wakiwemo wanajeshi 11 wameuawa na Boko Haram

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani