Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BrighterMonday yaingia makubaliano na facebook

TOVUTI ya kutangaza nafasi za kazi ‘BrighterMonday’, imeanza ushirikiano na Facebook internet.org, ili kuwawezesha Watanzania wengi kupata maudhui kadha ya intaneti. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania yaingia makubaliano na Algeria

SERIKALI ya Tanzania na Algeria zimeingia makubaliano ya ushirikiano kwenye sekta ya madini na nishati, ambapo wataalamu na watafiti watapata fursa ya kubadilishana uzoefu kupitia sekta hizo ili kujenga uchumi....

 

9 years ago

Michuzi

NHIF YAINGIA MAKUBALIANO YA UDHAMINI WA BIMA VPL

Mfuko wa Bima ya Afya nchini (NHIF) umeingia makubaliano ya udhamini wa bima ya afya kwa wachezaji na viongozi wa benchi la ufundi kwa vilabu 16 vya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Akiongea na waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika leo ofisi za TFF zilizopo Karume, Katibu Mkuu wa TFF Mwesigwa Selestine amesema wanaishukuru NHIF kwa kuwapa udhamini huo ambao utavisaidia vilabu vya Ligi Kuu katika matibabu ya wachezaji na bechi ka ufundi.
Tumekua na kilio...

 

10 years ago

Michuzi

Acacia Mining yaingia makubaliano na halmashauri tatu nchini

Makamu wa Rais wa Acacia, Deo Mwanyika (wa pili kushoto waliokaa) akitiliana saini ya Makubaliano na wawakilishi wa halmashauri za Wilaya ya Msalala na halmashauri ya Mji wa Kahama. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Msalala, Patrick Karangwa anaemfuatia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama, Felix Kimaryo. Wanaoshuhudia ni Kamishna Msaidizi wa Madini- Ukaguzi wa Migodi, Ally Samaje (wa kwanza kulia waliosimama) na Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Benson Mpesya (wa...

 

11 years ago

Michuzi

TIC YAINGIA MKATABA WA MAKUBALIANO YA UWEKEZAJI NA WAKUU WA MIKOA YA KANDA YA ZIWA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Julieth Kairuki (wa pili kushoto) akisaini Mikataba ya Makubaliano ya Uwekezaji na Wakuu wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa,wakiwemo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mh. Everist Ndikilo (wa pili kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga,Mh. Yohana Balele (kushoto).Wanaoshuhudia ni Waziri wa Viwanda na Biashara,Mh. Abdallah Kigoda pamoja na Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi),Mh. Aggrey Mwanri.na Kulia ni Mwenyekiti wa Kongamano la...

 

11 years ago

Michuzi

YANGA SC YAINGIA MAKUBALIANO YA KUNUNUA NYUMBA KWA AJILI YA WACHEZAJI WAKE NA NSSF

KLABU ya yanga imeingia makubaliano ya kununua nyumba kwa ajili ya wachezaji wake  na  Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) .
Akizungumza leo katika mkutano maalum na wachezaji hao Mkurugenzi wa  uendeshaji NSSF , Crecentius Magori amewaambia wachezaji hao kijana mjanja mjini ni yule ambaye ana miliki nyumba ama ardhi kuliko magari huku akiwahamasisha wachezaji wa Yanga kuchangamkia ununuzi wa nyumba hizo ambazo ziko katika mradi wa makao mapya katika kijiji cha
Dege Kigamboni jijini Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

Twanga pepeta yaingia makubaliano na Proin Promotions kupambana na wezi wa kazi zao

BENDI ya muziki wa dansi nchini ya African Stars 'Twanga Pepeta', wameingia mkataba maalumu na kampuni ya Proin Promotions Limited kwa ajili ya utengenezaji wa kazi zao.  Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Twanga Pepeta, Asha Baraka, alisema mkataba huo una manufaa kwa bendi hiyo kutokana na kutaka kuwanufaisha wanamuziki na wasanii wa nchini kwa ujumla.  Baraka alisema kampuni hiyo ambayo awali ilikuwa ikijishughulisha na usambazaji wa kazi za filamu,...

 

10 years ago

Michuzi

Acacia Mining yaingia makubaliano na halmashauri tatu nchini ya ulipaji wa ushuru wa huduma (Service levy)

Kampuni ya Acacia Mining Ltd imetiliana saini ya Makubaliano (MoU) na Halmashauri za Wilaya ya Tarime, Kahama na Msalala ili kuweza kutekeleza ulipaji wa ushuru wa huduma (service levy) kwa kiwango cha asilimia 0.3 ya mapato ghafi ya kampuni hiyo kwa mwaka mzima kwa mujibu wa sheria ya Serikali za Mitaa.  Tukio hilo limefanyika tarehe 10 Juni, 2015 jijini Dar es Salaam makao makuu ya Wizara ya Nishati na Madini na kushuhudiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Benson Mpesya, Makamu wa Rais wa...

 

9 years ago

Michuzi

UTT-PID YAINGIA MAKUBALIANO NA WIZARA YA MAMBO YA NJE KWA DHUMUNI LA KUENDELEZA VIWANJA VINAVYOMILIKIWA NA WIZARA KATIKA BALOZI MBALIMBALI UGHAIBUNI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi Liberata Mulamula (kulia) pamoja na mtendaji mkuu wa UTT-PID Dr. Gration Kamugisha (kushoto) wakiweka sahihi mikataba ya makubaliano ya uendelezaji wa maeneo hayo yanayomilikiwa na wizara katika balozi mbalimbali ili yawe na manufaa kibiashara huku wakishuudiwa na wasaidizi wao. Watendaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wakishuhudia utiaji wa Sahihi katika mkataba wa Makubaliano hayo.Picha ya pamoja ya watumishi wa UTT-PID pamoja na Balozi Liberata...

 

10 years ago

Bongo5

Facebook kuja na mtandao mpya ‘Facebook at Work’

Facebook inaanzisha mtandao wa kijamii kwaajili ya wafanyakazi kuwasiliana na kushirikiana kuhusiana na masuala ya kazi. Facebook at Work utaonekana vile vile kama Facebook ya kawaida, lakini watumiaji watakuwa na uwezo wa kutengenesha akaunti zao binafsi. Watumiaji watakuwa na uwezo wa kuchat na wenzao, kutengeneza mtandao wa kazi na kushare nyaraka mbalimbali. Mtandao huo ambao […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani