Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge kuwajadili JK, Warioba

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, ameridhia maombi ya wajumbe wa Bunge hilo ya kutaka hotuba za Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba ateka Bunge

>Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba jana aliliteka Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma, alipowasilisha Rasimu ya Katiba na kushangiliwa katika maeneo mengi nyeti na kupigiwa kelele katika vipengele vichache vya uraia na ardhi.

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge lajigeuza Tume ya Warioba

Neville Meena na Fidelis Butahe, Mwananchi Dodoma. Kitendo cha Bunge Maalumu la Katiba kukusanya maoni ya makundi na wananchi mbalimbali, kimepokewa kwa hisia tofauti, baadhi ya wasomi wakisema ni kinyume cha sheria na kuonyesha kutapatapa huku Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akisema linafanya kazi ambayo tayari tume yake ilishaifanya. Hata hivyo, Katibu wa Bunge hilo, Yahya Khamis Hamad amesema litaendelea kupokea mapendekezo kutoka kwa watu na...

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba kuhutubia Bunge

>Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba leo anakabiliwa na kibarua kigumu pale atakapowasilisha Rasimu ya Katiba mbele ya Bunge Maalumu la Katiba.

 

10 years ago

Mtanzania

Jaji Warioba: Bunge lisitishwe

Jaji Joseph Warioba

Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba

WAANDISHI WETU, DAR NA DODOMA

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema ni vyema Bunge Maalumu la Katiba likasitishwa kwani Katiba bora haiwezi kupatikana kwa muda wa wiki mbili.

Kauli hiyo ya Jaji Warioba imekuja siku moja baada ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kumtaka Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta, kulisitisha, huku mwenyewe akisema litaendelea na hadi kufikia Oktoba 4 Katiba inayopendekezwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM watumia Bunge kumzima Warioba

BAADA ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukwama kumdhibiti Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, aondoe pendekezo la muundo wa Muungano wa Serikali Tatu kwenye Rasimu ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Korti: Bunge lizingatie rasimu ya Warioba

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imelitaka Bunge Maalumu la Katiba kuandika na kupitisha vipengele kwa kuzingatia rasimu iliyowasilishwa bungeni na Tume ya Mabadiliko ya Katiba chini ya Jaji...

 

11 years ago

Habarileo

Kamati ya Bunge yairarua Tume ya Warioba

Ummy Mwalimu WAJUMBE wengi wa Kamati Namba Moja ya Bunge hilo, wameona kuwa hatua ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, kupendekeza uwepo wa serikali tatu, imekiuka Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Warioba ahimiza maridhiano Bunge la Katiba

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema wajumbe wa kundi la walio wengi linaloundwa na wabunge wa CCM na baadhi ya 201 katika Bunge la Katiba hawawezi kupitisha Katiba kwa kuwa hakuna maridhiano

 

11 years ago

Mwananchi

Ufafanuzi wa Warioba ‘wasia’ kwa Bunge la Katiba

Tumesoma kwa umakini mkubwa taarifa ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba ambayo inatoa ufafanuzi wa baadhi ya maeneo nyeti yaliyomo katika Rasimu ya Katiba ambayo itajadiliwa na Bunge la Katiba linalokutana mjini Dodoma, ikiwa ni sehemu ya mchakato wa kuipatia nchi yetu Katiba Mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani